Kwangu mimi kuoa mwanamke au binti aliyezalishwa nyumbani ni ugonjwa.
Haiwezekani mwanaume huna tatizo lolote unaoa binti/mwanamke wa hivyo.
Wengine mtasema mimba bahati mbaya! Serious kabisa kivipi mtu anatongozwa anakubali hadi anavua chupi bado anakubali jamaa anapiga kavu et! Bahati mbaya acheni utani.
Kama ni kubakwa leteni hizo statistics zinazoenyesha kuwa waliobakwa lazima wapate mimba. Binti ameendekeza chips na hela za wakware mimi nije kukuoa na mtoto wako eh!
Najua mtasema na wanaume wenye watoto, je hao wamechukua watoto nyie mbona waliowazalisha hawajachukua watoto?
Nyie wanawake/wasichana wenye watoto pambaneni na hali zenu.
NOTE: HAPA WAJANE HAWAHUSIKI.
Wengine wamezaa na waume za watu kabisa duh!
Poleni single mother.
Haa haa haaHakuna wanawake wasumbufu Kama hawa viumbe tena wanapenda kulazimisha ndoa, uache kuolewa na aliyekuzalisha uje unigande mimi, pambaneni na hali zenu.
Nakuona na Iceman 3D mnavyo sababisha mgogoro hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee nongwa nakuona
Hv mwanamke anaweza kuzaa bila mwanaume kuhusika? Kama wewe mwenyewe huna mpango wa kuoa na unagegeda kama kawaida tena bila kinga, unategemea nn?uko sahihi mkuu kwa WAJANE hamna shida kwa sababu naamini hawakupenda
ila hawa waliopata kwa kupenda kwao hapana aisee.
kuna wengine hawataki kutumia kinga mwisho wanapata mimba
Bro n kweli lkn huku kwangBraza si unajua mapenzi haya chagui [emoji1]
Nadhani hoja ya mtoa hoja ni ule ushahidi ndo unaoumiza, mengine kama huyajui ni poa tu.Mmh. Ke kiaje Mkuu wakati kuna wanawake hawana watoto ila wametumika hatari.
Au hayo hayawi makombo?
Kabla hujaanza kutoa kibanzi cha mwenzio angalia kwanza borit katika jicho lakoHaa haa et ngoma draw
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hongera nakunong'oneka [emoji4] [emoji4] [emoji4] kadi usinisahauKwa taarifa yako n mimi naolewa ndani ya mwaka huu na mwanaum nadhifu kabisa na wa dini moja.....alafu yeye ndio kaanza kuzimika kwangu[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee wajameniWanaooa wanawake wakiozalishwa kimsingi ni tabia ya kupenda mteremko.
Kivip embu nifafanulie mteremko unakujaje apo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee wajameni
Mimi sina kad ni muislam c unajua hatunaga makuu...njoo tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hongera nakunong'oneka [emoji4] [emoji4] [emoji4] kadi usinisahau
Embe muulize SNAP. JKivip embu nifafanulie mteremko unakujaje apo?
Kama ni huko mie siwezi kuweka shungi huo ubwabwa basiMimi sina kad ni muislam c unajua hatunaga makuu...njoo tu
Tatizo vichwa havielewi wanabaki kujuta na kulaumu upande mwingine na upande mwingine unamlaumu mwenzie.Ila jamani kufika miaka kama 15 ujayo
Tanzania itakuwa ni kizazi cha ma baba wa kambo na mama wa kambo. This is not good for our nation jamaani.
Wabongo punguzine mchezo huu, tumieni kinga basi, wengine tumetulia kuwa mababa wa kambo mtakuwa mnatuonea. Kuna kina dada wametulia kuwa mama wa kambo mna waonea.
Kina dada pia muwe makini usizae na mtu asiye na mpango na wewe. Wale walio fiwa sina tatzo nao.