Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Niliwahi ambiwa kuwa mwanamke akiwa na mtoto ni pasua kichwa nikakaidi nikaoa ndoa yetu ilikuwa na misukosuko tukipanga kitu tufanye pamoja ananiambia naenda muandalia maisha mwanangu mara ya mwisho alisepa zake.Usioe mwanamke mwenye mtoto utakuja kujuta
 
Kwangu mimi kuoa mwanamke au binti aliyezalishwa nyumbani ni ugonjwa.

Haiwezekani mwanaume huna tatizo lolote unaoa binti/mwanamke wa hivyo.

Wengine mtasema mimba bahati mbaya! Serious kabisa kivipi mtu anatongozwa anakubali hadi anavua chupi bado anakubali jamaa anapiga kavu et! Bahati mbaya acheni utani.

Kama ni kubakwa leteni hizo statistics zinazoenyesha kuwa waliobakwa lazima wapate mimba. Binti ameendekeza chips na hela za wakware mimi nije kukuoa na mtoto wako eh!

Najua mtasema na wanaume wenye watoto, je hao wamechukua watoto nyie mbona waliowazalisha hawajachukua watoto?

Nyie wanawake/wasichana wenye watoto pambaneni na hali zenu.

NOTE: HAPA WAJANE HAWAHUSIKI.

Wengine wamezaa na waume za watu kabisa duh!

Poleni single mother.

WANAUME WANAOKUBALI KUANZA NDOA IKIWA WAO BILA NA WANAWAKE MOJA WANAITAJIKA KUTIWA MOYO. Mara zote mechi inatakiwa kuanza bila bila.
 
Hakuna wanawake wasumbufu Kama hawa viumbe tena wanapenda kulazimisha ndoa, uache kuolewa na aliyekuzalisha uje unigande mimi, pambaneni na hali zenu.
Haa haa haa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee nongwa nakuona
Nakuona na Iceman 3D mnavyo sababisha mgogoro hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ni rahisi kujipangia aina ya mwanamke wa kuoa kama haujafikia maamuzi ya kuoa.
Siku utakapo amua kuoa,uwezekano ni mkubwa kuoa mwanamke ambaye hakuwa kwenye matarajio yako.Sababu zipo nyingi sana,moja wapo ni kupata mwanamke wa ndoto yako kwa zaidi ya 80% haiwezekani.Baada ya kuumizwa na mtarajiwa wako,unakutana na mwanamke aliye zaa na ameumizwa na mtarajiwa wake...Mnajikuta kama mnaendana vile,na huo unakuwa mwanzo wa mahusiano hadi kuoana.
Kama ni kurudi kwenye makoloni ya zamani wanaume tunaongoza.Rejea misemo hii..."Mtalaka hatongozwi" au "Mke mmoja hulemaza akili"
 
uko sahihi mkuu kwa WAJANE hamna shida kwa sababu naamini hawakupenda
ila hawa waliopata kwa kupenda kwao hapana aisee.
kuna wengine hawataki kutumia kinga mwisho wanapata mimba
Hv mwanamke anaweza kuzaa bila mwanaume kuhusika? Kama wewe mwenyewe huna mpango wa kuoa na unagegeda kama kawaida tena bila kinga, unategemea nn?

Suala la kuzaa nyumbani kwa nn alaumiwe ke wakati me nae anahusika 100%? Mnashangaza sana aisee. Yaani nyie mnaongoza kuwatumia wadada hovyo wakichakaa mnaanza kuwananga ati makombo? Shame on u men
 
Mmh. Ke kiaje Mkuu wakati kuna wanawake hawana watoto ila wametumika hatari.

Au hayo hayawi makombo?
Nadhani hoja ya mtoa hoja ni ule ushahidi ndo unaoumiza, mengine kama huyajui ni poa tu.
 
Basi namatatizo ya akili aisee

Nilijitaid kuwakwepa ila nikagundua na nyota ya kuwa baba wa kambo


Wacha nifaid tu maana dah
 
Kwa taarifa yako n mimi naolewa ndani ya mwaka huu na mwanaum nadhifu kabisa na wa dini moja.....alafu yeye ndio kaanza kuzimika kwangu[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hongera nakunong'oneka [emoji4] [emoji4] [emoji4] kadi usinisahau
 
Tuachieni cc wanaume hao single maza kwakuwa tunaujua uzur na utamu wao nyie kachukueni hivyo vipenda chips kuku yai
 
Hii mada wachangiaji wavulana na wasichana ngoja mwanaume nile ganzi
 
Ila jamani kufika miaka kama 15 ujayo
Tanzania itakuwa ni kizazi cha ma baba wa kambo na mama wa kambo. This is not good for our nation jamaani.
Wabongo punguzine mchezo huu, tumieni kinga basi, wengine tumetulia kuwa mababa wa kambo mtakuwa mnatuonea. Kuna kina dada wametulia kuwa mama wa kambo mna waonea.
Kina dada pia muwe makini usizae na mtu asiye na mpango na wewe. Wale walio fiwa sina tatzo nao.
Tatizo vichwa havielewi wanabaki kujuta na kulaumu upande mwingine na upande mwingine unamlaumu mwenzie.
 
Back
Top Bottom