It always begins with you.

Kila mtu akielewa hii mambo mengi yangekuwa hayaleti shida,

Wanaume tuache kuzalisha mtu ambae huna future nae....ila tatizo ubinafsi mwingi kizazi hiki.
Atleast u have a point...
Kama mwanamke huna future nae kwa nn usitumie kinga kuepusha mtoto asiyetarajiwa?

Yaani kabisa mwanaume unakoment hapa eti mwanamke atumie kinga, [emoji849] wewe unasubiri nini usitumie? Nyie ndo mnawarubuni wadada, na mdada anafanya unavyotaka kukuridhisha matokeo yake unamshusha thamani na kumuona mjinga!! Wasted sperm
 
Hlo halina ubish japo tulio
wengi tunatunza wajomba zetu

Lkn kuoa alie zalishwa n ndoto
Ni shida sana watu wanaongea kweli wakati kwao madada , shangazi, mama wadogo wamezalishwa na
matumizi wanatoa hivyo matusi yote yawaendee ndugu zao
 
Wanaooa wanawake wakiozalishwa kimsingi ni tabia ya kupenda mteremko.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mkuu hebu fafanua vzr huo
Mteremko unatokea wap
Ilihal unalea mtt wa mwanaume mwenzio
 
Ni shida sana watu wanaongea kweli wakati kwao madada , shangazi, mama wadogo wamezalishwa na
matumizi wanatoa hivyo matusi yote yawaendee ndugu zao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hii laana n ya herufi kubwa
 
Msamehe bure. Ni mtazamo wake japo ametukana. Ni ishara tu ya ni mtu wa aina gani - si muungwana- simple. Unachoona hakifai kwako si lazima kisifae kwa mwingine pia. Unapopenda piza na burger kilimbukeni, mwenzio anapenda matembele kiafya zaidi.
 
Ni shida sana watu wanaongea kweli wakati kwao madada , shangazi, mama wadogo wamezalishwa na
matumizi wanatoa hivyo matusi yote yawaendee ndugu zao

hiyo sio case Ila kuoa aliye zalishwa ni big NO.
kama hao wameolewa ni wao na walio oa aliyezalishwa kila mtu ana mtizamo wake
.Mimi HAPANA kwakweli
 
Kwann mtu uombe game
Sku za hatar Kwa mwanamke na
Hutak kutumia kinga???
Kwa hili alaumiwe mwanaume

Na wadada Kwann wakubali
kutoa mchezo ilihal wanajua wako
Kwenye read na co green??
Mwanamke nae hapa analaumiwa
cz ule mchezo co wa lazma n maelewano
 
Msamehe bure. Ni mtazamo wake japo ametukana. Ni ishara tu ya ni mtu wa aina gani - si muungwana- simple. Unachoona hakifai kwako si lazima kisifae kwa mwingine pia. Unapopenda piza na burger kilimbukeni, mwenzio anapenda matembele kiafya zaidi.

@msundi mama Mimi sijatukana ila nimejaribu kutoa mtizamo wangu siwasemei wanaume wote.
wapo wanao oa waliowazalishwa .
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hii laana n ya herufi kubwa
Acha utakuta kwao dada zake wote wapo nyumbani wanatoboa tu tumidomo tuhapo baba zao hakuna
 
Hapo kunakuwa hakuna ushahidi wa moja kwa moja,ila mtoto ni ushahidi kuwa ulivua pichu na kupigwa kavukavu na mara nyingi siyo mara moja, kwamba kilikuwa kimchezo cha mara kwa mara

hahaha ni kweli bora hiyo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…