Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Huyo kachemka kijinga sana,nadhani ni kitoto kilichomaliza chuo juzi sasa kinawaza mambo kichuochuo,
Maisha ya ndoa ni zaidi ya anavyofikiri,

pole mkuu we endlea nae tu haina noma haha
maana hili Jambo wewe ndiyo unaona sawa Kati ya watu 200
 
Wapo ambao hawajazaa lakini ni mama wa wafu, washageuzwa nje ndani, uzuri upo machoni pa mtazamaji, nikimpenda hata kama anao 6 kila mmoja na baba ake mi naoa
Asante kwa kuwa mwelewa
 
Huyo kachemka kijinga sana,nadhani ni kitoto kilichomaliza chuo juzi sasa kinawaza mambo kichuochuo,
Maisha ya ndoa ni zaidi ya anavyofikiri,
Yawezekana hata chuo bado anakula hela ya baba na ugali wa shikamoo mama
 
Kwann mtu uombe game
Sku za hatar Kwa mwanamke na
Hutak kutumia kinga???
Kwa hili alaumiwe mwanaume

Na wadada Kwann wakubali
kutoa mchezo ilihal wanajua wako
Kwenye read na co green??
Mwanamke nae hapa analaumiwa
cz ule mchezo co wa lazma n maelewano
Sawa lkn mara nyingi wanaume hawataki kutumia kinga. Wanaume wanaongoza kutokutumia kinga
 
Kuna umuhimu Wa kuchunga kauli zetu maana hatujui yajayo, kuna wanawake walioolewa wakiwa na watoto na ndoa zimekuwa mfano Wa kuigwa, wanapatana, mpk raha, hivyo hivyo kwa wanaume. Je mwanamke akifiwa na mumewe na walizaa asiolewa kwa kuwa ana watoto na kwa wanaume hivyo hivyo?
 
Aisee wadada/wamama karibuni kwenye ulimwengu wetu, huku hakuna kubaguliwa, kunyanyapaliwa wala kudhalilishwa na furaha na amani till death separate you two.

Mmh wakaka wa JF angalieni kauli zenu kwa dada na mama zenu kwani hao single moms walijizalisha wenyewe?? wewe kama mwanaume unaonaje kutokumlea mwanao akiwa na mama yake? hukua na mpango nae why hukutumia kinga!??

This is why i hate Men walai.

Ptuuuuu.
 
aisee haya kama unaamini hivyo hebu Soma michango ya walio wengi humu ndiyo utajua.

kama nakula kwa shikamoo.
pole maisha ni kuchagua KWANGU NO
Mie ugali wa shikamoo siku nyingi sana bali nami napewa hiyo shikamoo
 
Mie nataka nikwambie tu ukiona cha nini wenzio wanasema watavipata lini hivyo we waone ni ugonjwa huku wenzio kwao ni dawa.

Mie naona ni namna mtakavyoelewana tu na huyo single mother sababu kwani mtoto kitu gani mkuu wacha mawazo mgando hivyo wasipate wenza kisa wana watoto. Mmh.

Katafakari upya aiseee. Sababu ndio wapo tayari hivyo hapaswi kuwa na mahusiano mengine sababu wana watoto?
Chukua soda kwa mange hapo nakuja kulipia
 
Sawa lkn mara nyingi wanaume hawataki kutumia kinga. Wanaume wanaongoza kutokutumia kinga
Mi nasemaga ni elimu ya kutojikinga ndo inasababisha,masingo maza wengi nnaowaona huku kitaani ni wale hawakua na uelewa wa kujikinga na mimba(acha hawa wanaoamua wenyewe kuzaa bila kuolewa),kuna wale hawajui kuhesabu siku,wanajua kuna kondom lakini ujasir wa kumwambia bwanake avae kondom hana,na akimwambia bwana akikataa na ye haendelei kusisitiza,wengine wanazijua njia zote lakini unakuta labda ni mwanafunzi wa sekondari anaogopa kwenda hosp kupata vikinga mimba.Lakini kawaida suala la kuepuka mimba ni la mwanamke,uelewa na msimamo wake ndo vinavyomuokoa
 
Mie nataka nikwambie tu ukiona cha nini wenzio wanasema watavipata lini hivyo we waone ni ugonjwa huku wenzio kwao ni dawa.

Mie naona ni namna mtakavyoelewana tu na huyo single mother sababu kwani mtoto kitu gani mkuu wacha mawazo mgando hivyo wasipate wenza kisa wana watoto. Mmh.

Katafakari upya aiseee. Sababu ndio wapo tayari hivyo hapaswi kuwa na mahusiano mengine sababu wana watoto?
ngoja limkute bint yake, au dada ake ndo atapata akil
 
Aisee wadada/wamama karibuni kwenye ulimwengu wetu, huku hakuna kubaguliwa, kunyanyapaliwa wala kudhalilishwa na furaha na amani till death separate you two.

Mmh wakaka wa JF angalieni kauli zenu kwa dada na mama zenu kwani hao single moms walijizalisha wenyewe?? wewe kama mwanaume unaonaje kutokumlea mwanao akiwa na mama yake? hukua na mpango nae why hukutumia kinga!??

This is why i hate Men walai.

Ptuuuuu.

Duh ehee sawa mkuu
 
Aisee wadada/wamama karibuni kwenye ulimwengu wetu, huku hakuna kubaguliwa, kunyanyapaliwa wala kudhalilishwa na furaha na amani till death separate you two.

Mmh wakaka wa JF angalieni kauli zenu kwa dada na mama zenu kwani hao single moms walijizalisha wenyewe?? wewe kama mwanaume unaonaje kutokumlea mwanao akiwa na mama yake? hukua na mpango nae why hukutumia kinga!??

This is why i hate Men walai.

Ptuuuuu.

Duh ehee sawa mkuu
 
Mi nasemaga ni elimu ya kutojikinga ndo inasababisha,masingo maza wengi nnaowaona huku kitaani ni wale hawakua na uelewa wa kujikinga na mimba(acha hawa wanaoamua wenyewe kuzaa bila kuolewa),kuna wale hawajui kuhesabu siku,wanajua kuna kondom lakini ujasir wa kumwambia bwanake avae kondom hana,na akimwambia bwana akikataa na ye haendelei kusisitiza,wengine wanazijua njia zote lakini unakuta labda ni mwanafunzi wa sekondari anaogopa kwenda hosp kupata vikinga mimba.Lakini kawaida suala la kuepuka mimba ni la mwanamke,uelewa na msimamo wake ndo vinavyomuokoa

Bora tu umekuwa mkweli wanawake wana jukumu kubwa la kuepuka hizo .
 
Back
Top Bottom