hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hahaaaHahahaa
Watu wako careless sana halaf wanakwambia eti ukipenda ua sjui penda na boga lake, hata sjui ule msemo.
Ina niumiza sanaa wadada wanapewa mimba hovyo hovyo sku hizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaaHahahaa
Watu wako careless sana halaf wanakwambia eti ukipenda ua sjui penda na boga lake, hata sjui ule msemo.
Ina niumiza sanaa wadada wanapewa mimba hovyo hovyo sku hizi
Vipi unataka kunioa ili nianze kujiandaa [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Vipi unataka kunioa ili nianze kujiandaa [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Dada angu mwanaume hawezi kukushikia bastola ili a skide bila condom, wekeni mipaka yenu hakuna mwanaume atakaye cross. na if he is ignorant he will leave you kwa sababu za kijinga kama hizo ila kama ana akili ata kubaliana na msimamo wako.Sawa lkn mara nyingi wanaume hawataki kutumia kinga. Wanaume wanaongoza kutokutumia kinga
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Ndo Fikra Za Wanaume wa Dar Zilipoishia Hapa
Tusiwatenge lakini tu normalize hii kitu. Siyo nzuri kuwa na taifa la mababa wa kambo. Tuataanza kuona ndugu baadaye. [emoji1] maana familia zina ingiliana mno.Lakini sio kuwatenga kisa wamezalia nyumbani
Jamaa hajielewi lets say kweli ungejuwa chuo. Kwani ukiwa chuo hauna akilo zankutambua lipi jambo jema na lipi baya!!
Watu wengine bhana!
Bora aliyetumika angalau nitampa kumbukumbu ya kumpeleka labor, sasa Bikira nikose, hata kuwa wa kwanza kumpeleka labor nikose! Over my dead body.Mmh. Ke kiaje Mkuu wakati kuna wanawake hawana watoto ila wametumika hatari.
Au hayo hayawi makombo?
[emoji1] [emoji1]Baba Wa mtoto akifa fresh angalau hawez kupiga simu kumjulia hali mtoto
Huna roho ya fadhili that is the new reason why.Kwanza unaanza vipi kulea mtoto wa jamaa mwenzako. Yan haitakiwii kabisa makombo ya nini mimi!
Chuo ni watu wazima ndio maana hawapigwi fimbo, wako free kufanya chochote.na wanapeana minba sana ma vyuoni humoduh watu wanachekesha mbona chuo umri mkubwa tu huo watu wanamaliza form four wanaoa.
maisha ni kupanga/kuchagua.
Mi naona,kama ameshakuwa makombo lakini bado anapata mtu wa kumuoa wakati kuna wasio na watoto lakini hawapati wa kuwaoa,basi huyu aliozalishwa na kupata mtu atakuwa na mvuto wa hali ya juu sana unaomfanya aweze kukubalika pamoja na hali alionayo HIVYO anaestahili kuitwa makombo ni yule asiepata mtu wa kumuoa..Mmh. Ke kiaje Mkuu wakati kuna wanawake hawana watoto ila wametumika hatari.
Au hayo hayawi makombo?
Wengi wakiamua kulea mtoto mwenyew hata namba za simu hubadili ili asiwasiliane na mzaz mwenzieBaba Wa mtoto akifa fresh angalau hawez kupiga simu kumjulia hali mtoto
Ulimwengu wetu huwezi kuujua wala kuuona kwa macho... lolWe unaoshi ulimwengu gani unao karibisha wenzio?
Ulimwengu ni mmoja huu huu tunao ishi wote
Yakiwapata dada zao wataelewaKuna umuhimu Wa kuchunga kauli zetu maana hatujui yajayo, kuna wanawake walioolewa wakiwa na watoto na ndoa zimekuwa mfano Wa kuigwa, wanapatana, mpk raha, hivyo hivyo kwa wanaume. Je mwanamke akifiwa na mumewe na walizaa asiolewa kwa kuwa ana watoto na kwa wanaume hivyo hivyo?
Eehehehe!Ulimwengu wetu huwezi kuujua wala kuuona kwa macho... lol
HahaahahahaNikama watu wasiojulikana hawana tofauti
Na mi mejiwekea tayariAnzeni kukataa
Mimi sista wangu kaolewa very late alijiwekea mashart mtu mwenye mtoto hataki. Kwa sbabu mtoto hazaliwi na mama tuu. Yaab hii point ina apply kote
We washangaa hilo kuna jamaa alioa demu mwenye mimba ya mtu mwingine na alijua fika kuwa demu kapewa mimba kisha akatoswa hivyo mshkaji akaokota dodo chini ya mnazi na akalea mimba mpaka demu kajifungua sasa wanalea katoto.Kwanza unaanza vipi kulea mtoto wa jamaa mwenzako. Yan haitakiwii kabisa makombo ya nini mimi!
ewaaaaa hapo umeongea, kiukweli ulimwengu wetu hauna mambo za mimba za utotoni wala mimba za hovyo hovyo, huku ni full happy na kama mtu atataka kuzaa basi atakua kweli kadhamiria na amejipanga hivyo atafata procedures zote bila kumuathiri yeye wala mtoto.Eehehehe!
Sawa lakini uutaje at least una jina, japo naweza nisiuone.
Ili kama huo ukimwengu ndio suluhisho la mimba za hovyo basi tuhamaishe watua wengi wahamie huko.
Mimi hii shda ina nikera ujue