Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Ila jamani kufika miaka kama 15 ujayo
Tanzania itakuwa ni kizazi cha ma baba wa kambo na mama wa kambo. This is not good for our nation jamaani.
Wabongo punguzine mchezo huu, tumieni kinga basi, wengine tumetulia kwa hiyo kuja kuwa mababa wa kambo mtakuwa mnatuonea. Kuna kina dada wametulia kuwa mama wa kambo mna waonea.
Kina dada pia muwe makini usizae na mtu asiye na mpango na wewe. Wale walio fiwa sina tatzo nao.
Baba Wa mtoto akifa fresh angalau hawez kupiga simu kumjulia hali mtoto
 
Aisee wadada/wamama karibuni kwenye ulimwengu wetu, huku hakuna kubaguliwa, kunyanyapaliwa wala kudhalilishwa na furaha na amani till death separate you two.

Mmh wakaka wa JF angalieni kauli zenu kwa dada na mama zenu kwani hao single moms walijizalisha wenyewe?? wewe kama mwanaume unaonaje kutokumlea mwanao akiwa na mama yake? hukua na mpango nae why hukutumia kinga!??

This is why i hate Men walai.

Ptuuuuu.
We unaoshi ulimwengu gani unao karibisha wenzio?
Ulimwengu ni mmoja huu huu tunao ishi wote
 
@msundi mama Mimi sijatukana ila nimejaribu kutoa mtizamo wangu siwasemei wanaume wote.
wapo wanao oa waliowazalishwa .
Jamaa hajielewi lets say kweli ungejuwa chuo. Kwani ukiwa chuo hauna akilo zankutambua lipi jambo jema na lipi baya!!
Watu wengine bhana!
 
Back
Top Bottom