Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
Yaan bob tuna kaziii! Mweeh!Tatizo vichwa havielewi wanabaki kujuta na kulaumu upande mwingine na upande mwingine unamlaumu mwenzie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan bob tuna kaziii! Mweeh!Tatizo vichwa havielewi wanabaki kujuta na kulaumu upande mwingine na upande mwingine unamlaumu mwenzie.
Atleast u have a point...It always begins with you.
Kila mtu akielewa hii mambo mengi yangekuwa hayaleti shida,
Wanaume tuache kuzalisha mtu ambae huna future nae....ila tatizo ubinafsi mwingi kizazi hiki.
Hlo halina ubish japo tulioKabla hujaanza kutoa kibanzi cha mwenzio angalia kwanza borit katika jicho lako
Haa haaa haaa ulitegwa ukategekaBasi namatatizo ya akili aisee
Nilijitaid kuwakwepa ila nikagundua na nyota ya kuwa baba wa kambo
Wacha nifaid tu maana dah
Ni shida sana watu wanaongea kweli wakati kwao madada , shangazi, mama wadogo wamezalishwa naHlo halina ubish japo tulio
wengi tunatunza wajomba zetu
Lkn kuoa alie zalishwa n ndoto
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanaooa wanawake wakiozalishwa kimsingi ni tabia ya kupenda mteremko.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni shida sana watu wanaongea kweli wakati kwao madada , shangazi, mama wadogo wamezalishwa na
matumizi wanatoa hivyo matusi yote yawaendee ndugu zao
Mimi sina kad ni muislam c unajua hatunaga makuu...njoo tu
Msamehe bure. Ni mtazamo wake japo ametukana. Ni ishara tu ya ni mtu wa aina gani - si muungwana- simple. Unachoona hakifai kwako si lazima kisifae kwa mwingine pia. Unapopenda piza na burger kilimbukeni, mwenzio anapenda matembele kiafya zaidi.Mie nataka nikwambie tu ukiona cha nini wenzio wanasema watavipata lini hivyo we waone ni ugonjwa huku wenzio kwao ni dawa.
Mie naona ni namna mtakavyoelewana tu na huyo single mother sababu kwani mtoto kitu gani mkuu wacha mawazo mgando hivyo wasipate wenza kisa wana watoto. Mmh.
Katafakari upya aiseee. Sababu ndio wapo tayari hivyo hapaswi kuwa na mahusiano mengine sababu wana watoto?
Ni shida sana watu wanaongea kweli wakati kwao madada , shangazi, mama wadogo wamezalishwa na
matumizi wanatoa hivyo matusi yote yawaendee ndugu zao
Hapo kunakuwa hakuna ushahidi wa moja kwa moja,ila mtoto ni ushahidi kuwa ulivua pichu na kupigwa kavukavu na mara nyingi siyo mara moja, kwamba kilikuwa kimchezo cha mara kwa maraMmh. Ke kiaje Mkuu wakati kuna wanawake hawana watoto ila wametumika hatari.
Au hayo hayawi makombo?
Kwann mtu uombe gameAtleast u have a point...
Kama mwanamke huna future nae kwa nn usitumie kinga kuepusha mtoto asiyetarajiwa?
Yaani kabisa mwanaume unakoment hapa eti mwanamke atumie kinga, [emoji849] wewe unasubiri nini usitumie? Nyie ndo mnawarubuni wadada, na mdada anafanya unavyotaka kukuridhisha matokeo yake unamshusha thamani na kumuona mjinga!! Wasted sperm
Msamehe bure. Ni mtazamo wake japo ametukana. Ni ishara tu ya ni mtu wa aina gani - si muungwana- simple. Unachoona hakifai kwako si lazima kisifae kwa mwingine pia. Unapopenda piza na burger kilimbukeni, mwenzio anapenda matembele kiafya zaidi.
Acha utakuta kwao dada zake wote wapo nyumbani wanatoboa tu tumidomo tuhapo baba zao hakuna[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii laana n ya herufi kubwa
Hapo kunakuwa hakuna ushahidi wa moja kwa moja,ila mtoto ni ushahidi kuwa ulivua pichu na kupigwa kavukavu na mara nyingi siyo mara moja, kwamba kilikuwa kimchezo cha mara kwa mara
Kila raheri mkuuhiyo sio case Ila kuoa aliye zalishwa ni big NO.
kama hao wameolewa ni wao na walio oa aliyezalishwa kila mtu ana mtizamo wake
.Mimi HAPANA kwakweli