Ila ni vipi kwa wale wanaume wenye watoto nje hawatakiwi kuoa wanawake wasio na watoto?


Ulishawai kuona mechi inaanza goal zikiwa 2 bila, kama unataka kushuhudia oa hao, utapigiwa hatarii.
 
Umekosea mzee,kwa hiyo kama mtu mama ake alikuwa single mother na yeye ndo aoe single mother???
R???
A
 
We single mother tulia wewe,ulivua chupi mwenyewe ukazalishwa ukaachwa pambana na hali yako,mwanamke unas
hindwa kujitunza unakuja kumwaga mapovu hapa,mtoa maada ana msimamo wake kwamba hawezi kuoa single mother ndo msimamo wake huo,povu la nini sasa na msimamo wake mimi sioni kama una shida

R
 
Bora aliyetoa mimba unakuwa hujui
 
mkuu nielewe nachomaanisha mtu kupata mimba hilo ni juu yake yeye.. Ila mm sioi mwanamke aliyezalishwa.

watoto wangu kuzalizwa haina uhusiano mimi kuoa mwanamke aliyezalishwa .
Huyo single mother anakumwagia mapovu,alivua chupi mwenyewe akazalishwa akaachwa anakuja kukwambia sijui nini nini,apambane na hali yake,kwani wewe ndo ulimwambia afanye umalaya apate mimba?
 
Nilipokuwa kijana niliapa kutokuoa single mother. Kuna mama wa Mtwara (alikuwa na mtoto 1 wa kike) alininipenda sana ila nilikataa kumuoa. Haiwezekani uibe mpaka ukutwe na kidhibiti red handed.
Nilimpata binti 1 tukaenda kwa wazazi hadi ndoa kanisani. Amenizalia watoto 2 mpaka sasa nina familia yenye furaha. Single mothers siyo wote wabaya ila ukiamua kumuoa, jiandae kwamba kuna tukio fulani maishani litamuunganisha na X wake hasa kuhusu mtoto, hivyo control your jealous.

Dada zangu, kuweni makini. Hakuna mwamme kamili anayependa mmeoana leo anaanza majukumu ya kulea mtoto asiye wake. Kumbukeni na wanyama, hasa wa kike, hawataki kabisa watoto wasioeleweka. Furaha ya mapenzi inapungua. Single mother akioana na mimi mwenye watoto pia, hakuna shida tunaishi ila msiwabebeshe kazi vijana wadogo.
Epuka mimba za utotoni na ngono zembe.
 
Umekosea mzee,kwa hiyo kama mtu mama ake alikuwa single mother na yeye ndo aoe single mother???
R???
A
Ni maamuzi yake mtu mwenyewe, tatizo the way alivoongelea as if ni haifai kbs kuoa mwanamke aliyekwisha kuzaa
 
We ice tutuee ,,ndio vijana waanze kueleimishwa toka wadogo kujikinga na kutumia condom waelezwe ukweli
Hivi kuna kijana gani bongo hajui namna za kujikinga na mimba jaman!! Hapa mna wasingizia wahanga.
 
Nakuombea uoe single mom najua una akili nyingi na upendo mwingi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Yaan umeweka kwenye maombi kabsaa! Ushindweee na ulegee!
Ikitokea nime mpenda ntamuoa but its a budern si wish nchi iwe ina mababa wengi au mama wengi wa kambo.
 
Kuna demu alidanganya eti ana mtoto mmoja kumbe ana watoto wawili...kadanganya ana umri wa miaka 27 kumbe ana 32 sema ana umbo zuri ( hawa dada zetu wa kimachame) shida saana hapo anataka mwanaume wa kumuoa..kadanganya kila kitu

Ukimuoa mtu kama huyo bila kumfanyia uchunguzi wa kutosha..hapa unakuwa umeingia choo cha kike..kwanini mtu asiwe mkweli..na historia yake inaonesha aliolewa akaachika..now anatafuta ndoa kwa kasi ya 4G

Kwa kudanganya ana 27 kumbe ana 32 by age..issue ya kuolewa kwake kwa harusi hasemi hata kidogo

Wanaume tuwe makini...hawa wenye watoto wana siri kibao why wapo single mother..kwanini walio wazalisha waliwakimbia..kuna shida sana nyuma ya carpate
 

aisee kiukweli tuwe makini nao.

na kawaida yao wengi wao huwa hawasemi kwanini waliachwa na waliowazalisha wanajing'ata tu
 

maisha ni kuamua/kupanga .
Mimi kuweka msimamo wangu kuto_oa mwanamke aliyezalishwa
watu wanasena bado immature.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…