Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Kauli kama hii utakuja kuifuta miaka 30 ijayo pale mabinti zako watakapozalia nyumbani. Ogopa sana ulimi ni kiungo kidogo sana lakini kina simu Kali ambayo inaweza penya mpk kwa wajukuu zako. Be careful. Unless ni mgumba usiseme watoto wa watu angali uko na kizazi.
 
Vp kuoa mwanamke aliyetoa mimba zaidi ya tatu....mi naona bora huyo alozaa angalau atanizalia na mimi watoto maisha yaendelee
 
Ila jamani kufika miaka kama 15 ijayo
Tanzania itakuwa ni kizazi cha ma baba wa kambo na mama wa kambo. This is not good for our nation jamaani.
Wabongo punguzine mchezo huu, tumieni kinga basi, wengine tumetulia kwa hiyo kuja kuwa mababa wa kambo mtakuwa mnatuonea. Kuna kina dada wametulia kuwa mama wa kambo mna waonea.
Kina dada pia muwe makini usizae na mtu asiye na mpango na wewe. Wale walio fiwa sina tatzo nao.
Ati nini? Tupunguze huo mchezo? Tutapunguzaje wakati ndio starehe pekee tunayoimudu kwa sasa?[emoji12][emoji12]
 
Achana na vitoto hivi ambavyo vinajitoa ufahamu kwa kusahau mama zao waliowazaa kisa eti vimebalehe viko mijini huko vinajifunza kukausha kamasi puani

pole Sana mkuu kama unafikir jamii forums kila mtu ni mtoto.

wengine ni Kaka zako humu , na huo ni mtizano wangu sijasema mtu aniunge mkono lah .
 
Kauli kama hii utakuja kuifuta miaka 30 ijayo pale mabinti zako watakapozalia nyumbani. Ogopa sana ulimi ni kiungo kidogo sana lakini kina simu Kali ambayo inaweza penya mpk kwa wajukuu zako. Be careful. Unless ni mgumba usiseme watoto wa watu angali uko na kizazi.

mkuu nielewe nachomaanisha mtu kupata mimba hilo ni juu yake yeye.. Ila mm sioi mwanamke aliyezalishwa.

watoto wangu kuzalizwa haina uhusiano mimi kuoa mwanamke aliyezalishwa .
 
mkuu nielewe nachomaanisha mtu kupata mimba hilo ni juu yake yeye.. Ila mm sioi mwanamke aliyezalishwa.

watoto wangu kuzalizwa haina uhusiano mimi kuoa mwanamke aliyezalishwa .
Ni vipi ukioa huyo unaeona ww hajazalishwa kisha akazaa na mwanaume mwingine ukiwa nae ndoani? Kuna watu wanawatokea haya unafikiri wamepanga iwe hivo? Mambo mengine ni vema ukakaa kimya tu
 
Hahahaa. Nitapinga mpaka kesho Mkuu.

Mtoto sio ushahidi wa kutumika sana bwana sababu kuna visichana unakuta enzi za usichana siku alipojaribu huo mchezo akapata mimba hapo hapo sasa huyo utasema alikuwa mzowefu mwenye hako kamchezo.

Hapana aisee Mkuu.
Na kuna wengine wanapigwa kutwa mara tatu na hawana hata mimba iliyoharibika.
 
Na kuna wengine wanapigwa kutwa mara tatu na hawana hata mimba iliyoharibika.
Maisha hayana formula haya, muda wwt upepo unabadilika. Sijui watu wanawaza nini hadi kuleta nyuzi za namna hii, unapomsema single mama unamgusa mtoto aliyezaliwa na mama yule ambaye baba yake ( anaweza kuwa mleta mada) kwasababu za kipuuzi tu aliamua kumtelekeza hata mtoto wake mara baada ya kumjaza mimba mwanamke - leo hii anakuja pyeeeeee pyeeeeeee pyeeeeee anataka akaolewe na nani sijui! Shame on us wanaume tunaowazalisha wadada na kuwatelekeza
 
Back
Top Bottom