Uzuri wenyewe huwa hamlazimishwi... waulizeni walio oa wenye watoto ilikuwaje!
U-mimi ni mbaya na ukizingatia kuwa mwanaume mwenyewe kishatia mimba zisizotarajiwa kibao...
 
Kweli braza mimi nimetulia sana yaan halaf nakutana na mwanamke tunaenda kila kitu ila ana mtoto. Ina add budern.
Halaf wenyewe wanachukuliaga simple et kama ume mpenda hutajali mtoto,ni kazi sana hii.
Sasa wale tulo tulia ndio tunaumia [emoji1]
Wewe huyu huyu??
 
Halafu kweli
 
Mmh. Mie hata sielewi kwa nini mlio wengi hofu ni kwa aliyemzalisha kwamba wataendelea.

Kwani kwa mwanamke uliyemkuta ameshatumika hawezi kuingia ndoani halafu akawa na mahusiano na jimbo lake la nyuma?
Kila siku watu wanalia wake zao wanacheat na makoloni ya zamani ili hali hawakuzaa na wengine wana anzisha mapya, tena mapya ndiyo mengi kweli
 
KUNA MMOJA NAMFAHAMU.

1. AMESOMA
2. ANA KAZ NZURI
3. AMEZAA NA MUME WA MTU TENA WATOTO WATATU AKIWA KAZN TENA HUYO MUME WA MTU NI MFANYAKAZ MWENZAKE
Watoto wote hao kwahiyo ni nyumba ndogo sasa naye ke ni kuumiza tu mwenzie mwenye mme
 
Ukitulia street ukianza kuhesabu hali inaogopesha kati ya mabinti 10 ,tisa ni single mama and it had been a fashion aisee [emoji23][emoji23]
Me ndo maana naona bora hata uki date ki form six chenye akili uanze nae maisha akianza chuo (please mbegu ya akiba hailiwi[emoji23])
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Stratergy yako nime ipenda, hiyo ita saidia asee kuliko hawa ready made.

Aaa! Mbegu ya akiba huwa hailiwi! [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…