kua na single mother ni ishara kua mwanamke ulie nae yupo na fertility kwahyo kazi kwako...siku hizi watu wanaona tu bila kujua fertility status zao kwa malengo ya kuzaa baada ya ndoa kumbe mtu yupo na sterility alishatoa mimba hata 100 bahati mbaya akatoa na kizazi
Labda nikupe njia moja kama upo na inlove na single mother ambae ana watoto 2 au 1 wewe jitahid uzae nae watoto zaid ya uliomkuta nae,,yan kama alikua na watoto 2 wewe ongeza 3 wawe 5 au hata 4 wawe 6 haraka haraka..hiii itasadia hata aliezaa nae hapo aone kua kashatumika so hata habar za kufuatana futana zitapungua
Lakin pia usiogope kuona kisa utasalitiwa hayo yapo tu hata usioe single mother au bikra hayo yapo tu,,,oa kwa upendo na kutokana na objectives zako ulizojiwekea katika maisha..