Ndiyo maana nilikwambia kuwa wewe bado. Hivi nikuulize hao wanawake uliowahi kutembea nao [na pengine kuwatia ujauzito halafu ukawaacha wana makosa gani?
Hebu jiulize yafuatayo
1.Hivi kwa nini watu huoa?
2.Kwenye kuoa unatafuta mwanamke/mwanamke mwenye attributes zipi?
3. Maisha ya ndoa mazuri ni yepi?
4. Jee wewe wakati umeshafunga ndoa na baadaye ikaonekana unamatatizo ya uzazi, jee
mkeo akukimbie?
Mimi ninafahamu ku nwa wengi wenu sikuhizi mnaoa kutokana na infatuation, mnatafuta misambwanda mkasahau kuwa wake zetu ni kama nyanya kwani ikifika mahala ni lazima itasinyaa. Jee ikitokea hivyo, utamkimbia mkeo? Au jee, iwapo wewe humridhishi mkeo anahaki ya kwenda kufanya zinaa nje ya ndoa?
Hivi happy marriage ni ipi?
Ninakuuliza haya maswali randomly ili kuweza kuamsha kichwa chako.
Utafiti uliofanyika na ustawi wa jamii hasa wakitumia database ya wanandoa ambao wanataka au wameachana na kuna suala la watoto. kwenye utafiti wao inaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 40 ya watoto watokanao na ndoa hizo, siyo watoto halisi wa baba zao.
Ndoa ni life time partnership hivyo unapaswa kuwa mwangalifu sana katika uamuzi wake.
 
Nilimuoa mama watoto wangu baada ya kushindwana na "kasuku" niliye mtoa bikra tukiwa tumezaa watoto wakiume wawili. Mke wangu aliachana na "pimbi" wake aliye mtoa bikra wakiwa wamezaa watoto wawili wakike. Tulianza kama marafiki kwa muda wa miezi mitano bila kunyanduana. Tarehe 2 Octoba miaka kumi iliyopita tukafungua mahusiano rasmi, kwa kweli bado tunaulizana kwanini hatukukutana mapema?!!
Tuna mtoto mmoja, jumla wapo watano. Nawalea bila kubagua, mke wangu ni rafiki yangu mkubwa, yeye ndiye chanzo cha mafanikio yangu.
Nilianza nae nikiwa geto na usafiri wangu wa pikipiki. Leo hii anakusanya kodi na kila mtu na usafiri wake.
Tusiwabeze akina mama wenye watoto bila baba zao, mara nyingi chanzo ni tamaa ya ngono ndio husababisha kutokea mtoto asiye kuwa (kwa Mungu mtoto ni zawadi kwa wazazi) ametarajiwa.
Endelea kutafuta bikra, wengine walitushinda kuwahimili.
 
Ah kumbe na mechi ilianza 2 - 2 bas sawa, nyie ni exception, ila ingekuwa 2 - 0 yeye kashapiga 2 wewe ndo unajisogeza sogeza ningekuona mwenye rehema sana mkuu
 
SUALA NI KUWA NANI AMEWAHARIBU HAO SINGLE MOTHER??? UKISHAKUPATA JIBU BASI ITAKUA RAHISI KUCHUKUA MAAMUZI SAHIHI
 
Ah kumbe na mechi ilianza 2 - 2 bas sawa, nyie ni exception, ila ingekuwa 2 - 0 yeye kashapiga 2 wewe ndo unajisogeza sogeza ningekuona mwenye rehema sana mkuu
Unataka kusema kwenda extra time ndio imechangia? Hapana, mwanamke aliye zaa anahitaji mwanaume mwenye uwezo mkubwa wa kumsoma mapungufu yake na kutokuyarudia makosa yaliyo sababisha ndoa yake kuvunjika.
Kabla ya kuingia kwenye mahusiano nae, kuwe na muda wa kusomana tabia.
 
Hamna mkuu wewe ulishazalisha nje, ile huruma unayomwonea mwanao akiwa na mama yake ndo hiyo hiyo iliyokufanya usiwe mzito kumleta akalelewa na mama mwingine na wewe ukawa baba wa watoto wake, ndomana nasema ungekuwa umeanza naye ana watoto wawili nje afu unahudumia watoto wake mda wote huo mnaofahamiana kabla hamjaoana ndo ningekuona una herema kweli mkuu. Ila kwa scenerio hiyo hata ningekuwa mimi sioni uzito maana ningependa watoto wangu walelewe na mama huyu na watoto wake ningependa niwalelee mimi, otherwise mkuu inahitaji neema na upendo mwiiingi
 
Aisee
 
Singo mama sioi hata uniongeze hela. Kila nikiwafikiria mzuka unakata, napata kichefuchefu.
Kati nyuzi za single mother huu wa kwako na wa ule wa Duke Tachez Ni noma,mliwanyosha Sana single mothers
 
Kwa case yako hakuna atakayeshangaa. Maana mlikutana wote mmechanganyikiwa na mahusiqno yaliyopita. Hivyo ni rahisi kuendana. Na hamuwezi kuachqna kwasabb nani atawatakeni na watoto wote hao?
 
Kwa case yako hakuna atakayeshangaa. Maana mlikutana wote mmechanganyikiwa na mahusiqno yaliyopita. Hivyo ni rahisi kuendana. Na hamuwezi kuachqna kwasabb nani atawatakeni na watoto wote hao?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sasa nimejiridhisha, unawachukia masingo maza.
 
KUOA MWANAMKE MWENYE MTOTO NI SAWA NA KUNUNUA SHAMBA IKO NA KESI[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajua kwa nini umefanikiwa?
1. Mmejenga mahusiano ya ukaribu sana na kila mmoja anamuelewa mwenzake
2. Ninyi ni marafiki, mke, patner
3. Mna malengo mliokubaliana
Bro hapo mlipo bado hamjafika kunakostahili kwani safari ya mafanikio itakushangaza zaidi
Behind every successful men there is a woman
 

Daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…