King smoker
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 1,002
- 675
Wataolewa na akina
nani sasa mbona
mnataka
kuwa tenga jamani,
nani sasa mbona
mnataka
kuwa tenga jamani,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana nilikwambia kuwa wewe bado. Hivi nikuulize hao wanawake uliowahi kutembea nao [na pengine kuwatia ujauzito halafu ukawaacha wana makosa gani?Utakuwa na tatizo mkuu. Yaani ulioa mwanamke mwenye watoto 2 huku were ukiwa huna? Kwann usichukue mdada ambaye hana mtoto?
Bila shaka ulilazimika kumuoa huyo singo mama kwa kuwa ulichelewa kuoa hivyo umri ulikuwa umeenda sana halafu ulikuwa huna hela, hivyo wasichana walikuwa wanakukataa.
Nilimuoa mama watoto wangu baada ya kushindwana na "kasuku" niliye mtoa bikra tukiwa tumezaa watoto wakiume wawili. Mke wangu aliachana na "pimbi" wake aliye mtoa bikra wakiwa wamezaa watoto wawili wakike. Tulianza kama marafiki kwa muda wa miezi mitano bila kunyanduana. Tarehe 2 Octoba miaka kumi iliyopita tukafungua mahusiano rasmi, kwa kweli bado tunaulizana kwanini hatukukutana mapema?!!Utakuwa na tatizo mkuu. Yaani ulioa mwanamke mwenye watoto 2 huku were ukiwa huna? Kwann usichukue mdada ambaye hana mtoto?
Bila shaka ulilazimika kumuoa huyo singo mama kwa kuwa ulichelewa kuoa hivyo umri ulikuwa umeenda sana halafu ulikuwa huna hela, hivyo wasichana walikuwa wanakukataa.
Ah kumbe na mechi ilianza 2 - 2 bas sawa, nyie ni exception, ila ingekuwa 2 - 0 yeye kashapiga 2 wewe ndo unajisogeza sogeza ningekuona mwenye rehema sana mkuuNilimuoa mama watoto wangu baada ya kushindwana na "kasuku" niliye mtoa bikra tukiwa tumezaa watoto wakiume wawili. Mke wangu aliachana na "pimbi" wake aliye mtoa bikra wakiwa wamezaa watoto wawili wakike. Tulianza kama marafiki kwa muda wa miezi mitano bila kunyanduana. Tarehe 2 Octoba miaka kumi iliyopita tukafungua mahusiano rasmi, kwa kweli bado tunaulizana kwanini hatukukutana mapema?!!
Tuna mtoto mmoja, jumla wapo watano. Nawalea bila kubagua, mke wangu ni rafiki yangu mkubwa, yeye ndiye chanzo cha mafanikio yangu.
Nilianza nae nikiwa geto na usafiri wangu wa pikipiki. Leo hii anakusanya kodi na kila mtu na usafiri wake.
Tusiwabeze akina mama wenye watoto bila baba zao, mara nyingi chanzo ni tamaa ya ngono ndio husababisha kutokea mtoto asiye kuwa (kwa Mungu mtoto ni zawadi kwa wazazi) ametarajiwa.
Endelea kutafuta bikra, wengine walitushinda kuwahimili.
Unataka kusema kwenda extra time ndio imechangia? Hapana, mwanamke aliye zaa anahitaji mwanaume mwenye uwezo mkubwa wa kumsoma mapungufu yake na kutokuyarudia makosa yaliyo sababisha ndoa yake kuvunjika.Ah kumbe na mechi ilianza 2 - 2 bas sawa, nyie ni exception, ila ingekuwa 2 - 0 yeye kashapiga 2 wewe ndo unajisogeza sogeza ningekuona mwenye rehema sana mkuu
Hamna mkuu wewe ulishazalisha nje, ile huruma unayomwonea mwanao akiwa na mama yake ndo hiyo hiyo iliyokufanya usiwe mzito kumleta akalelewa na mama mwingine na wewe ukawa baba wa watoto wake, ndomana nasema ungekuwa umeanza naye ana watoto wawili nje afu unahudumia watoto wake mda wote huo mnaofahamiana kabla hamjaoana ndo ningekuona una herema kweli mkuu. Ila kwa scenerio hiyo hata ningekuwa mimi sioni uzito maana ningependa watoto wangu walelewe na mama huyu na watoto wake ningependa niwalelee mimi, otherwise mkuu inahitaji neema na upendo mwiiingiUnataka kusema kwenda extra time ndio imechangia? Hapana, mwanamke aliye zaa anahitaji mwanaume mwenye uwezo mkubwa wa kumsoma mapungufu yake na kutokuyarudia makosa yaliyo sababisha ndoa yake kuvunjika.
Kabla ya kuingia kwenye mahusiano nae, kuwe na muda wa kusomana tabia.
AiseeNimebahatika kuishi na single mom kwa takriban miaka 2
Yuko vizuri Kila idara, ila sometimes kuna communications sizielewi elewi.
Na kitu Cha ajabu kunapotokea misunderstandings ndio na hizo communications zinaongezeka. Strategy yangu ni kuendelea kujifanya zezeta ili niusome vizuri mchezo
Nina Mwanamke mwingine niliyezaa nae miaka 7 iliyopita hivi sasa ameolewa jana nimemwita kumkabidhi mazaga zaga ya mtoto kwa ajili ya Christmass na School for next year yaaani hana shida kabisa yuko tayari kwa roroote
Kati nyuzi za single mother huu wa kwako na wa ule wa Duke Tachez Ni noma,mliwanyosha Sana single mothersSingo mama sioi hata uniongeze hela. Kila nikiwafikiria mzuka unakata, napata kichefuchefu.
Kwa case yako hakuna atakayeshangaa. Maana mlikutana wote mmechanganyikiwa na mahusiqno yaliyopita. Hivyo ni rahisi kuendana. Na hamuwezi kuachqna kwasabb nani atawatakeni na watoto wote hao?Nilimuoa mama watoto wangu baada ya kushindwana na "kasuku" niliye mtoa bikra tukiwa tumezaa watoto wakiume wawili. Mke wangu aliachana na "pimbi" wake aliye mtoa bikra wakiwa wamezaa watoto wawili wakike. Tulianza kama marafiki kwa muda wa miezi mitano bila kunyanduana. Tarehe 2 Octoba miaka kumi iliyopita tukafungua mahusiano rasmi, kwa kweli bado tunaulizana kwanini hatukukutana mapema?!!
Tuna mtoto mmoja, jumla wapo watano. Nawalea bila kubagua, mke wangu ni rafiki yangu mkubwa, yeye ndiye chanzo cha mafanikio yangu.
Nilianza nae nikiwa geto na usafiri wangu wa pikipiki. Leo hii anakusanya kodi na kila mtu na usafiri wake.
Tusiwabeze akina mama wenye watoto bila baba zao, mara nyingi chanzo ni tamaa ya ngono ndio husababisha kutokea mtoto asiye kuwa (kwa Mungu mtoto ni zawadi kwa wazazi) ametarajiwa.
Endelea kutafuta bikra, wengine walitushinda kuwahimili.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kwa case yako hakuna atakayeshangaa. Maana mlikutana wote mmechanganyikiwa na mahusiqno yaliyopita. Hivyo ni rahisi kuendana. Na hamuwezi kuachqna kwasabb nani atawatakeni na watoto wote hao?
Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo?
Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume kuwa mti wa kivuli cha shida zake za hisia, kiuchumi, kijamii, n.k. Wahenga wanasema "moyo wa mapenzi ni kama glasi, ukipasuka ufa wake hauzibiki". Maana yake kupenda hakujirudii mara mbili, hasa hasa mwanamke akisha zalishwa...ni kana kwamba moyo wa kupenda unatoka pamoja na mtoto kule leba.
Wewe mwanaume uliyekamilika na unajiamini unaanzaje kumuoa single mama?? Ona kinyaa ndugu yangu. Single mama alishapenda tayari na ndiyo maana akaamua kumpa yule mzazi mwenzie mpk akapata ujauzito. Si ajabu alimkuta bikra jamaa akaitoa, kisha akarudia na kurudia na kaurudia hadi mimba. Leo wewe mkolomije unaenda kuoa. Acha uzembe kwenye mapenzi.
Tafiti zinaonyesha kwamba mwanaume wanao oa masingle mama-- wako katika mojawapo ya makundi yafuatayo;-
--hawajiamini
--wanafuata maslahi
--ni washamba washamba Fulani HV
--waliruka stage ktk makuzi yao
WITO; raha ya soda ukute haijaonjwa
Hahaha! Duuh!KUOA MWANAMKE MWENYE MTOTO NI SAWA NA KUNUNUA SHAMBA IKO NA KESI[emoji23][emoji23][emoji23]

Jamaa ana maneno makali sana[emoji1][emoji1][emoji1]Daaah
Jamaa ana maneno makali sana[emoji1][emoji1][emoji1]
Binadamu hatuna uwezo wa kujichagulia jambo zuri isipokuwa kwa kumshirikisha Mwenyezi Mungu kimaombi.Mpaka nimemkumbuka single mothers wangu daah maneno machafu sana
Binadamu hatuna uwezo wa kujichagulia jambo zuri isipokuwa kwa kumshirikisha Mwenyezi Mungu kimaombi.
Kwema kiongozi?
Namshukuru Mungu kila jambo lina kwenda kwa wakati wakeKwema ndugu yangu, Mungu mkuu vipi mambo yanaenda