Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Sio mbaya kuwa nao, ila ili kuwatengenesha kabisa na baba Mtoto wake Jitahidi ufanye hili..

Marufuku mkeo kuongea na baba mtoto wake, mnunulie simu house girl baba mtoto akitaka kujua hali ya mtoto wake ampigie house girl, hiyo inaenda sambamba na akitaka kumuona mtoto wake wewe isikuletwe usumbufu wowote, house girl ampeleke huyo mtoto kwa baba yake, kama ni stend sjui guest au hotel aende house girl.

Ni Marufuku mkeo kukutana na baba wa mtoto kwasababu yoyote ile..

Ukiona hataki hilo.. PIGA CHINI OA ASIYEZAA, MUANZE WOTE 0-0

Otherwise utachapiwa tu.
bado wadogo mkikuwa mtaacha!
ukweli uko hivi kila mwanaume anavigezo tofauti vya kuoa mwanamke. mwanadamu achungiki akiamua bado anaweza kufanya na swala la kuibiwa sio issue kivile kwa jinsi umri unavyokwenda muhimu tu usijue na akuheshimu kwa kuwa huna unaloweza fanya akiamua kufanya hata kama umemtoa bikira.
lakini japo la kujiuliza kabla ya kujihukumu ni je wewe katika mahusiano naye kama mke umekuwa mkamilifu kwa kiasi gani? hawa wanawake ni wazuri wanachohotaji ni kwamba uweze kutibu maumivu yake na pia aweze kukuamini kuwa unampenda na haufikiri katika maisha yako kumuumiza kabisa yeye na mtoto wake na akiwa na uhakika wa hivyo anakuwa mke mnzuri sana anayekujali na kukupenda na yuko tayari kukutetea kwa nguvu zote.
 
Nimesoma comments zote nimezidi kumpenda sana single mother wangu...
Wanapenda tena sana
Wanajua thamani ya mwanaume
Wavumilivu kutoka moyoni sio wanafiki
Wana adabu iliyo tukuka
Nimetembea na wanawake zaidi ya 260 humo kuna walio toa mimba wengine mikubwa sana wengine huko waliko ukute wana watoto wangu..

Huyu mwanamke ni zaidi ya mpenzi,ni zaidi ya rafiki hakuna anachonificha tunafurahi sana

Akikupigia simu hupatikani ataandika sms mume wangu ukiwa hewani nakuomba unipigie nimekumiss sana....sio hivi vinuka mkojo ambavyo havijazaa usipokuwa hewani ukiwasha simu utakutana na sms poa tu umezima simu kisa wanawake zako umaraya utakuua na utakufa na ukimwi..

Japo amezaa ila engine yake ipo vzuri kitu bado mnato japokuwa dushe yangu imeshiba lakini huyu mwanamke ana kitu tomson yani safi tofauti kabisa na ya mwajuma ambaye hajazaa,

Aaahhh huyu mwanamke ni mzuri sana naoa kwa ajili yangu mimi sio kwa ajili ya baba,mama,marafiki wala ndugu
 
Sio mbaya kuwa nao, ila ili kuwatengenesha kabisa na baba Mtoto wake Jitahidi ufanye hili..

Marufuku mkeo kuongea na baba mtoto wake, mnunulie simu house girl baba mtoto akitaka kujua hali ya mtoto wake ampigie house girl, hiyo inaenda sambamba na akitaka kumuona mtoto wake wewe isikuletwe usumbufu wowote, house girl ampeleke huyo mtoto kwa baba yake, kama ni stend sjui guest au hotel aende house girl.

Ni Marufuku mkeo kukutana na baba wa mtoto kwasababu yoyote ile..

Ukiona hataki hilo.. PIGA CHINI OA ASIYEZAA, MUANZE WOTE 0-0

Otherwise utachapiwa tu.
Shida zote za nn wanawake ambao hawajazaa wapo wengi tuu
Oa for your own risk
Yaan unaacha wanawake wadogo unachukua Mke wa mwenzako
Onyo
Usitaman Mke wa jiran yako
 
Ukioa single mother tafuta binti ambaye ajazalishwa piga mimba azae ili single mother akileta wenge la kumrudia baba wa mtoto unamfuata na wewe mzazi mwenzako ambaye mbichi kabisa anaendeleza maisha
 
Wanajua thamani ya mwanaume
Hawana namna, maana hawana soko hivyo lazima wajikombe kombe.
kuna walio toa mimba
Suala la kutoa mimba kwa single mother ndiyo balaa. Yaweza kuwa katoa mimba 10, ya 11 ikashindikana ndiyo akaamua kuzaa.
sio hivi vinuka mkojo ambavyo havijazaa usipokuwa hewani ukiwasha simu utakutana na sms poa tu umezima simu kisa wanawake zako umaraya utakuua na utakufa na ukimwi..
Hii ni tabia ya mtu. Tabia ni kama ngozi, haibadilishwi na kuzaa.
Japo amezaa ila engine yake ipo vzuri kitu bado mnato
Mkuu siku hizi mchina hashindwi kitu, hata ukitaka bikra anakuwekea. Huo mnato ni fake.
 
Hawana namna, maana hawana soko hivyo lazima wajikombe kombe.

Suala la kutoa mimba kwa single mother ndiyo balaa. Yaweza kuwa katoa mimba 10, ya 11 ikashindikana ndiyo akaamua kuzaa.

Hii ni tabia ya mtu. Tabia ni kama ngozi, haibadilishwi na kuzaa.

Mkuu siku hizi mchina hashindwi kitu, hata ukitaka bikra anakuwekea. Huo mnato ni fake.

Wakwangu soko analo kwanza akipita sehemu huwezi kuamini kama amezaa,sura baby face,shape ipo tena sio ya kubabaisha sio bonge wala sio kimbaumbau,elimu anayo pesa anayo unataka awe na soko gani????kichwani yupo smart book smart na street smart.. Aaww huyu mwanamke ni mzuri jamani.

Mimba alipata akiwa form two hizo mimba 10 alizitolea wapi mkuu????

Kwa idadi ya wanawake niliowavua chupi siwezi kushindwa kutofautisha k og na fake..

Navyosema ya kwake bado mnato namaanisha mkuu k mnato Og inakua na vitu vingi mkuu..

Fake ukishalifyatua mara 5 tu tayari mdebwedo..

Kuhusu tabia nauhakika haigizi ni ya kwake tokea mdogo,hana mapepe haropoki hovyo,nikiwa naongea naye anatulia ananisikiliza hawezi kuongea namm huku anachezea simu...

Huyu sio embe dodo asee hichi kiumbe kina vinasaba vya malaika sio mwanamke wa kawaida kama naowafahamu mimi..

Huyu kenge aliyemzalisha popote alipo ajitangulize kwa allah mapema
 
Nimebahatika kuishi na single mom kwa takriban miaka 2
Yuko vizuri Kila idara, ila sometimes kuna communications sizielewi elewi.
Na kitu Cha ajabu kunapotokea misunderstandings ndio na hizo communications zinaongezeka. Strategy yangu ni kuendelea kujifanya zezeta ili niusome vizuri mchezo
Nina Mwanamke mwingine niliyezaa nae miaka 7 iliyopita hivi sasa ameolewa jana nimemwita kumkabidhi mazaga zaga ya mtoto kwa ajili ya Christmass na School for next year yaaani hana shida kabisa yuko tayari kwa roroote
 
Wakwangu soko analo kwanza akipita sehemu huwezi kuamini kama amezaa,sura baby face,shape ipo tena sio ya kubabaisha sio bonge wala sio kimbaumbau,elimu anayo pesa anayo unataka awe na soko gani????kichwani yupo smart book smart na street smart.. Aaww huyu mwanamke ni mzuri jamani.

Mimba alipata akiwa form two hizo mimba 10 alizitolea wapi mkuu????

Kwa idadi ya wanawake niliowavua chupi siwezi kushindwa kutofautisha k og na fake..

Navyosema ya kwake bado mnato namaanisha mkuu k mnato Og inakua na vitu vingi mkuu..

Fake ukishalifyatua mara 5 tu tayari mdebwedo..

Kuhusu tabia nauhakika haigizi ni ya kwake tokea mdogo,hana mapepe haropoki hovyo,nikiwa naongea naye anatulia ananisikiliza hawezi kuongea namm huku anachezea simu...

Huyu sio embe dodo asee hichi kiumbe kina vinasaba vya malaika sio mwanamke wa kawaida kama naowafahamu mimi..

Huyu kenge aliyemzalisha popote alipo ajitangulize kwa allah mapema
pole sana mkuu kwa kuwa kipofu mbele ya single maza
ni issue ya muda tu, yakikukuta madhira huko usiache kutuletea mrejesho
 
Halafu hao ambao mnawaita ndo wapya mnajua background zao? Washatoa mimba kama utiriri huko nyuma! Washatumika zaisi ya mara elfu tena na wanaume tofauti[emoji57]. Halafu wewe unawakashfu single mothers. Nyooo..kafie mbele huko. Mfyuuuu[emoji9][emoji9]
Ka ukweli kanauma hapa....punguzeni povu
 
Back
Top Bottom