Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Hahaaaaa!!!! Hako kabinti kalikozaa na mwarabu kako wapi maana hata mimi kuna kabinti nakafahamu kamecheza mchezo huo huo kasije kakawa ndo hako
Kapo kwao Bunda huko mkoani mara, kanaishi kwao tu na mtoto wake jamaa yule mwarabu koko aliyekazalisha hata hana mpango nae wala mtoto. Na hao ndio aina ya single mothers wasioisha kutafuta huruma.
 
Hamna namna wapambane na hali zao
 
Ninunue nguo mtumba
Viatu mtumba
Gari mtumba

Na mke pia nioe mtumba.

Kwani nimemkosea nini mungu?
 
Khaa singo maza wana kazi jamani. Lakini mbona mnapenda kuwasema hapa lakini kutwa kucha mnawatongoza msituchoshe nyie wanaume.
 
KAMA UKOO WENU WOTE NI MANGOSHA BASI HAUTAPATWA NA HILI JAMBO UNALOLIKASHFU ILA KUMBUKA KITU KIMOJA BWANA MDOGO MAMA YAKO MPAKA ANAKULETA WEWE DUNIANI UNADHANI HAKUWAHI KUCHAPWA NA KUZAA NJE NDANI? ?

TENA MIMI NAHISI KABISA KWA MANENO YAKO YA NAMNA HIYO , NINA UHAKIKA UMEKOSA MALEZI YA BABA AU MAMA AU WOTE KWA PAMOJA.
 
Hapana aisee Naomba nauliza kwani mimi kusema kwamba siwezi kuoa single mother hiyo ni dhambi???
 
Sio mbaya kuwa nao, ila ili kuwatengenesha kabisa na baba Mtoto wake Jitahidi ufanye hili..

Marufuku mkeo kuongea na baba mtoto wake, mnunulie simu house girl baba mtoto akitaka kujua hali ya mtoto wake ampigie house girl, hiyo inaenda sambamba na akitaka kumuona mtoto wake wewe isikuletwe usumbufu wowote, house girl ampeleke huyo mtoto kwa baba yake, kama ni stend sjui guest au hotel aende house girl.

Ni Marufuku mkeo kukutana na baba wa mtoto kwasababu yoyote ile..

Ukiona hataki hilo.. PIGA CHINI OA ASIYEZAA, MUANZE WOTE 0-0

Otherwise utachapiwa tu.
 
[emoji121]
MKUU,

WEKA PICHA KWANZA NDIPO NIKUPE USHAURI MARIDHAWA!!!
 
Back
Top Bottom