Ana mtoto mmoja wa 4 years,kiukweli najiweza hela + nyumba nzuri + gari ninavyo,kibongo bongo hivi ndo viashiria vya mtu anaejiweza, kuhusu historia kwa kweli sijawaambia
Sent using Jamii Forums mobile app
I like this
Hapa ndiyo tatizo linapoanzia hasa kwa mama anaona utakuwa patronised kama katoto kake ka kiume.
Yeah sure,mkuu kuwa mtulivu Sana haswa kwenye hii issue yako abaadae usije juta.Hapa ndiyo tatizo linapoanzia hasa kwa mama anaona utakuwa patronised kama katoto kake ka kiume.
Hivi utaendaje kushiriki mechi ambayo kabla mpira haujaanza tayari MOJA BILA ??!!Hii ishu imekuwa ikinisumbua Sana kutoka mwaka jana,Kuna mwanamke single mother nataka kumuoa,tangu siku ya kwanza nimwambie mama angu hizo habari alionesha kwa wazi kabisa kutokukubaliana nami, ananiambia yeye Kama hakuniweka tumboni miezi Tisa Basi nimuoe huyu single mother,mashangazi nao na dada zangu nao wananisema chini chini,
mdogo wangu wa kike ndo huwa ananivujishia hizo habari kuwa shangazi huwa anasema Mimi Ni mwanaume niliyesoma na kukamilika inakuaje naoa single mother,mama mdogo ndiyo ameniita Mimi mpumbavu,hiyo nimeinyaka kwenye group lao la whatsapp kupitia simu ya mdogo wangu
Baba yangu kaniambia niwe makini Sana kuoa mwanamke mwenye mtoto ila uamuzi nichukue mwenyewe,hii inaniweka njia panda Sana ,najua humu Kuna wamama watu wazima na wazee wenye umri mkubwa na busara,naombeni maoni yenu[/URL]
Huyo mchumba angeitikia "marahaba" na hujambo juu.... jeuri mwenzie kusudi.Kuna dogo kitaa alimpata mdada mwenye life yake. Yule dada alikuwa na ajira ya kueleweka na alikuwa anaendesha maisha yake vizuri tu. Watoto wake wawili wako boarding school na ada anawalipia mwenyewe.
Mama yake dogo kusikia uchumba alisema big NO. Waliamua kuzaa, siku mama anakuja kumuona mjukuu makusudi alimsalimia mzazi “shikamoo”.
Kufika hapo dogo alimwaga manyanga chini. Analea mtoto wake na likizo anakwenda kwa bibi.
Mama alitumia kura ya vetoHuyo mchumba angeitikia "marahaba" na hujambo juu.... jeuri mwenzie kusudi.
Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.