Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Kama hujawasikiliza wazawazi wako je humu utamskiliza nani??

Umejipima kama unauwezo wa kumuoa single mother!
Una uhakika ndugu zako hawakuoni wewe kama tegemezi na hujiwezi??
Umewapa historia ya huyo mwanamke hadi akawa single mother?
Ana watoto wangapi wa umri gani?

Kama umempenda na unahakika nayeye amekupenda muoe mkuu kwa kuwa huyo ndio utakayekula unalala naye na kuamka naye kitanda kimoja..hutalala na shangazi yako wala mdogo wako...

NB.. WAKIKUSUMBUA SANA FANYA MCHONGO MDOGO WAKO APEWE MIMBA ALAFU JAMAA AKATE
 
.
IMG_20190118_024310_104.jpeg
 
Nimekuelewa mkuu tafuta wazee wa hekima muelezee mkasa wote,waombe wakawaelezee wazazi...amini mambo yatakua poa..
Labda kama huyo single mother alizaa na ndugu yako au ni mchepuko wa baba
Ana mtoto mmoja wa 4 years,kiukweli najiweza hela + nyumba nzuri + gari ninavyo,kibongo bongo hivi ndo viashiria vya mtu anaejiweza, kuhusu historia kwa kweli sijawaambia

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wazazi nao ni wabinafsi kidizaini. Ni desturi za huko kwenu kupangiwa mwanamke wa kuoa?

Kwetu unaweka ndani kwanza hayo mengine baadae. Ukimtambulisha ambaye hatampenda atajua mwenyewe, kama atajifunza kumpenda ni juu yake. Cha muhimu ni kuwa wawili mnao oana mnapendana basi.
 
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie, huyo mama pengine ana binti ambaye anaweza akawa single mother mtarajiwa na hajui hatma yake.

Kubaliana na mwenza wako abebe mimba, Mimba ikiwa changa pitisha ndoa hata km ya mkeka.
 
Hapa ndiyo tatizo linapoanzia hasa kwa mama anaona utakuwa patronised kama katoto kake ka kiume.
Yeah sure,mkuu kuwa mtulivu Sana haswa kwenye hii issue yako abaadae usije juta.
Nina ndugu yangu nae aliforce kuoa single mother abaadae ikawa majuto makali Sana,akawa anasema yule mwanamke kamloga ili aoe kilazima oh.

Note:
The difference between infatuation vs love is that infatuation is a short-lived passion for someone whereas love is a deep affection for someone that lasts the test of time. ... If you've only known the person for a short time, then it is infatuation vs love.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ishu imekuwa ikinisumbua Sana kutoka mwaka jana,Kuna mwanamke single mother nataka kumuoa,tangu siku ya kwanza nimwambie mama angu hizo habari alionesha kwa wazi kabisa kutokukubaliana nami, ananiambia yeye Kama hakuniweka tumboni miezi Tisa Basi nimuoe huyu single mother,mashangazi nao na dada zangu nao wananisema chini chini,

mdogo wangu wa kike ndo huwa ananivujishia hizo habari kuwa shangazi huwa anasema Mimi Ni mwanaume niliyesoma na kukamilika inakuaje naoa single mother,mama mdogo ndiyo ameniita Mimi mpumbavu,hiyo nimeinyaka kwenye group lao la whatsapp kupitia simu ya mdogo wangu

Baba yangu kaniambia niwe makini Sana kuoa mwanamke mwenye mtoto ila uamuzi nichukue mwenyewe,hii inaniweka njia panda Sana ,najua humu Kuna wamama watu wazima na wazee wenye umri mkubwa na busara,naombeni maoni yenu[/URL]
Hivi utaendaje kushiriki mechi ambayo kabla mpira haujaanza tayari MOJA BILA ??!!
 
Kuna dogo kitaa alimpata mdada mwenye life yake. Yule dada alikuwa na ajira ya kueleweka na alikuwa anaendesha maisha yake vizuri tu. Watoto wake wawili wako boarding school na ada anawalipia mwenyewe.

Mama yake dogo kusikia uchumba alisema big NO. Waliamua kuzaa, siku mama anakuja kumuona mjukuu makusudi alimsalimia mzazi “shikamoo”.

Kufika hapo dogo alimwaga manyanga chini. Analea mtoto wake na likizo anakwenda kwa bibi.
 
Shida ni mtoto wake? kabla hamjakutana huyo mtoto alikua analelewa vipi? na je mtoto wake ataathiri vipi mahusiano yako na yake au yake na familia yako??

Shida ni umri wake? je anakua anakubeba mgongoni na kutangazia uma kua amekuzidi umri au umri wake unaathiri nini mahusiano yako na yake au yako na familia yako?

Kuna anko wangu alipingwa vikali kuoa single mom, anko akaziba masikio kaweka kitu ndani, huu ni mwaka wa 9 wapo wote, na watoto wao.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
Kuna dogo kitaa alimpata mdada mwenye life yake. Yule dada alikuwa na ajira ya kueleweka na alikuwa anaendesha maisha yake vizuri tu. Watoto wake wawili wako boarding school na ada anawalipia mwenyewe.

Mama yake dogo kusikia uchumba alisema big NO. Waliamua kuzaa, siku mama anakuja kumuona mjukuu makusudi alimsalimia mzazi “shikamoo”.

Kufika hapo dogo alimwaga manyanga chini. Analea mtoto wake na likizo anakwenda kwa bibi.
Huyo mchumba angeitikia "marahaba" na hujambo juu.... jeuri mwenzie kusudi.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
Back
Top Bottom