He he mbn kama sijaelewa. Kwahio aliacha sababu mjukuu kasalimia bibi au?Kuna dogo kitaa alimpata mdada mwenye life yake. Yule dada alikuwa na ajira ya kueleweka na alikuwa anaendesha maisha yake vizuri tu. Watoto wake wawili wako boarding school na ada anawalipia mwenyewe.
Mama yake dogo kusikia uchumba alisema big NO. Waliamua kuzaa, siku mama anakuja kumuona mjukuu makusudi alimsalimia mzazi “shikamoo”.
Kufika hapo dogo alimwaga manyanga chini. Analea mtoto wake na likizo anakwenda kwa bibi.
Anajisahau kuwa mama nae ni mke wamtu!Nami nakusisitiza jambo katika kuoa tumia sana akili wazazi ni watu wa nyongeza katika kuijenga familia yako.
:Utamuacha mama yako pamoja na baba yako utaambatana naye kama mke nanyi mtakuwa mwili mmoja"
Sasa ww kila unachotaka kufanya mshirikishe mama yako tuone uko mbeleni kama hutapangiwa kila kitu cha kufanya kwenye familia yako. Kuwa mwanaume na simama kama mwanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nakuona mpumbavu, umeona humu ndio kuna watu wa maana kuliko wazee wako. Asiesikia la mkuu huvunjika guuHii ishu imekuwa ikinisumbua sana tangu mwaka jana. Kuna mwanamke mwenye mtoto nataka kumuoa, tangu siku ya kwanza nimwambie mama yangu hizo habari alionesha kwa wazi kabisa kutokukubaliana nami. Ananiambia kama yeye hakuniweka tumboni miezi tisa basi nimuoe huyu single mother. Mashangazi nao na dada zangu nao wananisema chini chini.
Mdogo wangu wa kike ndo huwa ananivujishia hizo habari kuwa shangazi huwa anasema mimi ni mwanaume niliyesoma na kukamilika inakuwaje naoa mwanamke mwenye mtoto? Mama mdogo ndiyo ameniita mimi mpumbavu, hiyo nimeinyaka kwenye group lao la Whatsapp kupitia simu ya mdogo wangu.
Baba yangu kaniambia niwe makini sana kuoa mwanamke mwenye mtoto ila uamuzi nichukue mwenyewe.
Hii inaniweka njia panda sana. Najua humu kuna wamama watu wazima na wazee wenye umri mkubwa na busara, naombeni maoni yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama aliyemzalisha kafa na ukaonyeshwa kaburi na mmepima, muoe.Ana mtoto mmoja wa 4 years,kiukweli najiweza hela + nyumba nzuri + gari ninavyo,kibongo bongo hivi ndo viashiria vya mtu anaejiweza, kuhusu historia kwa kweli sijawaambia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishaona mpenzi hakubaliki na wazazi basi acha kulazimisha ndoa utakuja kujuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Au pale mwanaume mwenzako anauwezo wa kumpeleka mwanae Feza schools, wewe shule za kata, hizo dharau sijui utazivumiliaje.Kuoa single mother sio tatizo tatizo ni pale atakapo anza kukutana na baba wa mtoto ili wajadili kuusu mtoto wao [emoji28][emoji28][emoji28]
Kama chanzo cha kuachana kwao hakikuhusisha kushindwana kimapenzi kama usaliti bali ugumu wa maisha kama ukosefu wa hela basi jua ukioa utakuwa unachapiwa sana. Hakikisha walishindwana kihisia na kati yao kuna ukuta mkubwa wa chuki baina yao kana kwamba hawawasiliani kabisa. Hapo utaishi kwa amani ila kinyume na hapo utaumia maana mwanamke akiwa bado ana hisia na jamaa yake hata kama wapo mbali akichombezwa atachojoa.Wewe hakuna tatizo oa kabisa...
Mimi nataka kuoa mwenye mtoto ila yupo hai na tatizo lake mchamungu ameshaoa mke mwingine ila sina imani naye
Wazee wa Kubet hii tuna ita Handcap +1Hii ishu imekuwa ikinisumbua sana tangu mwaka jana. Kuna mwanamke mwenye mtoto nataka kumuoa, tangu siku ya kwanza nimwambie mama yangu hizo habari alionesha kwa wazi kabisa kutokukubaliana nami. Ananiambia kama yeye hakuniweka tumboni miezi tisa basi nimuoe huyu single mother. Mashangazi nao na dada zangu nao wananisema chini chini.
Mdogo wangu wa kike ndo huwa ananivujishia hizo habari kuwa shangazi huwa anasema mimi ni mwanaume niliyesoma na kukamilika inakuwaje naoa mwanamke mwenye mtoto? Mama mdogo ndiyo ameniita mimi mpumbavu, hiyo nimeinyaka kwenye group lao la Whatsapp kupitia simu ya mdogo wangu.
Baba yangu kaniambia niwe makini sana kuoa mwanamke mwenye mtoto ila uamuzi nichukue mwenyewe.
Hii inaniweka njia panda sana. Najua humu kuna wamama watu wazima na wazee wenye umri mkubwa na busara, naombeni maoni yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni upuuzi kuoa mtu ili uwafirahishe wazazi hata kama wewe hufurahii hiyo ndoa you might as well ask them to choose one for you kama nia ni kuwafurahisha tu
Huoni kuwa ni mkubwa ameweka full stop 🛑 hapo?He he mbn kama sijaelewa. Kwahio aliacha sababu mjukuu kasalimia bibi au?
Usinge waambia mama ana mtotoHii ishu imekuwa ikinisumbua sana tangu mwaka jana. Kuna mwanamke mwenye mtoto nataka kumuoa, tangu siku ya kwanza nimwambie mama yangu hizo habari alionesha kwa wazi kabisa kutokukubaliana nami. Ananiambia kama yeye hakuniweka tumboni miezi tisa basi nimuoe huyu single mother. Mashangazi nao na dada zangu nao wananisema chini chini.
Mdogo wangu wa kike ndo huwa ananivujishia hizo habari kuwa shangazi huwa anasema mimi ni mwanaume niliyesoma na kukamilika inakuwaje naoa mwanamke mwenye mtoto? Mama mdogo ndiyo ameniita mimi mpumbavu, hiyo nimeinyaka kwenye group lao la Whatsapp kupitia simu ya mdogo wangu.
Baba yangu kaniambia niwe makini sana kuoa mwanamke mwenye mtoto ila uamuzi nichukue mwenyewe.
Hii inaniweka njia panda sana. Najua humu kuna wamama watu wazima na wazee wenye umri mkubwa na busara, naombeni maoni yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuja juta kama mimi...tafuta mke mpya jenga familia mpya.
Wanawake wenye mtoto/ watoto wanachangamoto sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hilo unaweza control lakini, labda huyo single mother awe kichwa maji maana wengi wanakuwaga kama mazombi mbele ya baba wa mtoto. Unatakiwa upige ultimatum kabisa na ikibidi u track kama kuna traces zozote za mawasiliano baada ya hapo. Kama baba wa mtoto atakuwa akilazimisha kuonana na mkeo basi hakikisha we ndio unampeleka mtoto then maisha yatakuwa smooth tu.Well articulated. Nina mdogo wangu nae naona anataka kujikaribishia shida. Lakini ukweli ndio huo wanawake single mothers ni shida. Kama unaoa mwanamke single mother hakikisha jamaa aliye zaa nae hayupo Duniani kabisa...... hapo mtaenda sawa.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Asee yani narudia kusoma a million times ila i dnt get it!Huoni kuwa ni mkubwa ameweka full stop 🛑 hapo?
Mbona hilo unaweza control lakini, labda huyo single mother awe kichwa maji maana wengi wanakuwaga kama mazombi mbele ya baba wa mtoto. Unatakiwa upige ultimatum kabisa na ikibidi u track kama kuna traces zozote za mawasiliano baada ya hapo. Kama baba wa mtoto atakuwa akilazimisha kuonana na mkeo basi hakikisha we ndio unampeleka mtoto then maisha yatakuwa smooth tu.
Muhimu kuwa na msimamo juu ya hilo tu. Kwa mwanamke decent ambaye ana uchungu wa kupoteza ndoa yake atakuwa msikivu na hatoleta mambo ya kijinga then mtaishi kwa amani sana as long as you are treating her child right.
Kuishi na single mom kunahitaji moyo mkuu. Unampenda anakupenda pia tatizo linakuja pale akili zikimkaa sawa anarudi kwa mzazi mwenzie hata kama umemuoa ipo siku wataanzisha mawasiliano tuu na ndio mwanzo wa wao kuwa pamoja tena.Hii ishu imekuwa ikinisumbua sana tangu mwaka jana. Kuna mwanamke mwenye mtoto nataka kumuoa, tangu siku ya kwanza nimwambie mama yangu hizo habari alionesha kwa wazi kabisa kutokukubaliana nami. Ananiambia kama yeye hakuniweka tumboni miezi tisa basi nimuoe huyu single mother. Mashangazi nao na dada zangu nao wananisema chini chini.
Mdogo wangu wa kike ndo huwa ananivujishia hizo habari kuwa shangazi huwa anasema mimi ni mwanaume niliyesoma na kukamilika inakuwaje naoa mwanamke mwenye mtoto? Mama mdogo ndiyo ameniita mimi mpumbavu, hiyo nimeinyaka kwenye group lao la Whatsapp kupitia simu ya mdogo wangu.
Baba yangu kaniambia niwe makini sana kuoa mwanamke mwenye mtoto ila uamuzi nichukue mwenyewe.
Hii inaniweka njia panda sana. Najua humu kuna wamama watu wazima na wazee wenye umri mkubwa na busara, naombeni maoni yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha kweli kiongozi, personally ntaoa mke naemuelewa vizuri tabia zake tu.Mateso yote hayo ya nini..... bora kuweka sawa tangu mwanzo..... Naongea kutokana na uzoefu..... na mimi ilibaki kidogo nitumbukie kwenye hilo janga lakini namshukuru Mungu kwa kunionesha viashiria mapema sana.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana ndugu!
Kwa hatua uliyoifikia sasa , huna budi kubwaga manyanga. Kama bwawa limeingia ruba au disco kaingia mmasai. Maana maneno huumba!
Mama ana nafasi kubwa sana juu ya mwanae katka ndoa na maisha kiujumla. Mama yako anakuelewa wewe vizuri sana na anawaelewa wanawake wenzie vyema. FUATA MANENO YAKE.
Ukisoma comments zako vizuri, ni kwamba si mama yako tu bali hata baba yako hakubaliani na hilo, ila hakutaka kukukatisha tamaa.
Pia kwa mbali inaonekana kama huyo single mom amekuteza nguvu, huna sauti kwake. Ingawa nimeshindwa kuja imekuja natural, dawa , au ugeni wako katika mapenzi.
Wayforwad:
Sitisha uchumba kwake, warudie wazazi wako uwatake radhi kwa hilo. Tafuta binti mdogo chini ya umri wako, jiridhishe kama hatopata pingamizi kabla hujampeleka home.
Sent using Jamii Forums mobile app