mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
tatizo hawamuhesabu kama mjukuu wao.Ana mtoto mmoja wa 4 years,kiukweli najiweza hela + nyumba nzuri + gari ninavyo,kibongo bongo hivi ndo viashiria vya mtu anaejiweza, kuhusu historia kwa kweli sijawaambia
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanavaa mavazi wanayopendelea....tena wananiambia niwanunulie modo kama zangu....mavazi si tabia, tabia si mavaziDah! Nawazia kama mama unavaa suruali vipi hao watoto wako wakike
"Hatikvah"
Nivivae nivipeleke wapi?Jaribu kuvaa viatu vya huyo mama kwanza
"Hatikvah"
Nivivae nivipeleke wapi?
Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
Kama huku ndiyo kujiweza basi hujitambui mkuu....na kwa huyo mwanamke ukubali kushare papuchi na mwenye mtotoAna mtoto mmoja wa 4 years,kiukweli najiweza hela + nyumba nzuri + gari ninavyo,kibongo bongo hivi ndo viashiria vya mtu anaejiweza, kuhusu historia kwa kweli sijawaambia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ishu imekuwa ikinisumbua sana tangu mwaka jana. Kuna mwanamke mwenye mtoto nataka kumuoa, tangu siku ya kwanza nimwambie mama yangu hizo habari alionesha kwa wazi kabisa kutokukubaliana nami. Ananiambia kama yeye hakuniweka tumboni miezi tisa basi nimuoe huyu single mother. Mashangazi nao na dada zangu nao wananisema chini chini.
Mdogo wangu wa kike ndo huwa ananivujishia hizo habari kuwa shangazi huwa anasema mimi ni mwanaume niliyesoma na kukamilika inakuwaje naoa mwanamke mwenye mtoto? Mama mdogo ndiyo ameniita mimi mpumbavu, hiyo nimeinyaka kwenye group lao la Whatsapp kupitia simu ya mdogo wangu.
Baba yangu kaniambia niwe makini sana kuoa mwanamke mwenye mtoto ila uamuzi nichukue mwenyewe.
Hii inaniweka njia panda sana. Najua humu kuna wamama watu wazima na wazee wenye umri mkubwa na busara, naombeni maoni yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
"Baba yangu kaniambia niwe makini sana kuoa mwanamke mwenye mtoto ila uamuzi nichukue mwenyewe." Ushauri gani tena unataka.. baba kasema kuwa makini.Hii ishu imekuwa ikinisumbua sana tangu mwaka jana. Kuna mwanamke mwenye mtoto nataka kumuoa, tangu siku ya kwanza nimwambie mama yangu hizo habari alionesha kwa wazi kabisa kutokukubaliana nami. Ananiambia kama yeye hakuniweka tumboni miezi tisa basi nimuoe huyu single mother. Mashangazi nao na dada zangu nao wananisema chini chini.
Mdogo wangu wa kike ndo huwa ananivujishia hizo habari kuwa shangazi huwa anasema mimi ni mwanaume niliyesoma na kukamilika inakuwaje naoa mwanamke mwenye mtoto? Mama mdogo ndiyo ameniita mimi mpumbavu, hiyo nimeinyaka kwenye group lao la Whatsapp kupitia simu ya mdogo wangu.
Baba yangu kaniambia niwe makini sana kuoa mwanamke mwenye mtoto ila uamuzi nichukue mwenyewe.
Hii inaniweka njia panda sana. Najua humu kuna wamama watu wazima na wazee wenye umri mkubwa na busara, naombeni maoni yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana. Umenena bora mno kabisa. Mtu unabeza mtoto na mama yake halafu utegemee kupata mtoto? Wakati mwingine tunafuata ushauri ambao ni majanga tu mbeleni. Hata yale masononeko ya yule mama aliyekataliwa yanaweza kuwa laana pia.Pole sana ..akili kichwani mwako..
Kuna mtu ninayemfahamu alikataliwa kuoa mwanamke kama uyo kisa ana mtoto ,jamaa akasikiliza maneno ya familia akasahau ile familia haiendi kuishi na yule mwanamke yeye ndo ataishi nae...jamaa akaachana na yule mwanamke ..akaa kwa mieezi sita hivi akaja kutambulisha msicha mmoja hivi kuwa anataka amuoe huyo hapo wazazi wakafurahia kweli kweli nakumwambia huyu sawa ,hatua zote za utambulisho+ndoa zikafanyika na baraka za wazazi juu lakini kuna kitu kimoja walikikosa katika maisha yao ni MTOTO huu mwaka wa 11 sasa wamehangaika kila mahali lakini hawajafanikiwa.
kwahiyo kazi kwako akili ya kuambiwa changanya na ya kwako
Akili yako kubwa sana mkuu. Keep it up. Eti mama kasema, eti baba kasema, eti dada zangu, eti sijui shangazi. To hell with them. Hao baada ya kufikisha 30 years (kwa waafrika wengi) hutawategemea kamwe. Hapo utakuwa unasomesha na mambo kibao ya maisha yako na mkeo tu. Yaani kabla ya kupelekeshwa ni vizuri mtu kukaa chini na kutafakari sana.Huu ni upuuuzi first class.
Mtu kuwa mama yako haina maana anakumiliki, na wewe kuzaa mtoto haina maana unammiliki.
Huu uzwazwa wa watanganyika kudhani wanawamiliki watoto wao ndo unaokwambisha maisha ya wengine, kila mtu ana utashi na chaguzi zake.
Kwahiyo Mama yako akisema kuwa shoga unakua sababu tu kasema? Akisema usioe maisha yako yote huoi sabbau Mama kasema? Ukomo wa kukuamulia mambo yako ni upi? Ndo nyie ambao mnaoa ila kila kitu ni Hadi Mama aseme.
Hakuna cha laana wala nini kama mama sio muelewa. Hilo ni tatizo lake. Na ndoa ni zaidi ya kulalana
Pimbi kweli weweOk! Siku nyengine tumia busara na akili kwenye kuchangia mada wacha mihemko!! Na usijibu kwa hisia !!
"Hatikvah"