mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
tatizo hawamuhesabu kama mjukuu wao.Ana mtoto mmoja wa 4 years,kiukweli najiweza hela + nyumba nzuri + gari ninavyo,kibongo bongo hivi ndo viashiria vya mtu anaejiweza, kuhusu historia kwa kweli sijawaambia
Sent using Jamii Forums mobile app
ni mtoto wa kawaida kwao.
wazee wanapenda kuibeba damu yako sio damu ya MWENZAKO.pia majukumu wanaona unabeba mzigo usiokuwa wako.
MIMI NINA MWANAMKE ANA MTOTO MMOJA.
ila sintokuja kumuoa.
ntaanzia wapi kumpeleka kwa wazee?
TAFUTA MWINGINE
Sent using Jamii Forums mobile app