Ndoa si kufanya mapenziKumbuka icho kitendo hakijaribiwi wazazi wameona mbali kiumri kakuzidi tayari ni mke wa mtu huyo anachofata kwako ni unafuu wa maisha ila kurudi kwa mume wake ni lzm unapotea shida ya vijana wakikutana na mwanamke mkubwa sbb anaweza kumpa kila siki anaona ndo kayapatia maisha maisha ni zaidi ya kufanya mapenzi
Usimuoe mkuu, fuata ushauri wa ndugu zako amekuzidi kila kitu, kwanza umri, pili mtoto, bila shaka hata akili amekuzidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa akiolewa na huyo mwana mamaa atapata tabuu snaaaa...Usimuoe mkuu, fuata ushauri wa ndugu zako amekuzidi kila kitu, kwanza umri, pili mtoto, bila shaka hata akili amekuzidi
Mtu kamzidi umri wa nini sasa, kala maisha huko ndo aje kumalizia stress kwa dogo, hao wanafaaga kuwa mchepuko tu si wa kuweka ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa akiolewa na huyo mwana mamaa atapata tabuu snaaaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna hata mama mmoja atakaekuambia ujunga uliouainishaHuu ni upuuuzi first class.
Mtu kuwa mama yako haina maana anakumiliki, na wewe kuzaa mtoto haina maana unammiliki.
Huu uzwazwa wa watanganyika kudhani wanawamiliki watoto wao ndo unaokwambisha maisha ya wengine, kila mtu ana utashi na chaguzi zake.
Kwahiyo Mama yako akisema kuwa shoga unakua sababu tu kasema? Akisema usioe maisha yako yote huoi sabbau Mama kasema? Ukomo wa kukuamulia mambo yako ni upi? Ndo nyie ambao mnaoa ila kila kitu ni Hadi Mama aseme.
Hakuna cha laana wala nini kama mama sio muelewa. Hilo ni tatizo lake. Na ndoa ni zaidi ya kulalana
Hapo sasaMtu kamzidi umri wa nini sasa, kala maisha huko ndo aje kumalizia stress kwa dogo, hao wanafaaga kuwa mchepuko tu si wa kuweka ndani
Mueleweshe mleta mada, maana jamaa anafikiria kwa kutumia mbo* sasa hivi.
Nahisi wanafahamu kwa uzoefu wao kero za mama/mtotoLakini why do we allow third part kutuchagulia mke/mume wakat sisi jdo tutaishi nae??
Sent using Jamii Forums mobile app
No matter how much they have experience na haya mambo waace kutuchagulia watu wa kuoa au kuolewa nao na kama tukiendekeza hili kuna baadhi yetu tusingekua duniani leo hiiNahisi wanafahamu kwa uzoefu wao kero za mama/mtoto
mie kwa uzoefu wangu mdg watoto wa single maza hata umsomeshe umuhudumie vp akili zao huwa wanawaza kutengwa tu
alafu mkizaa mtoto mwenye matatizo mnawasukumia tena wazazi wawasaidie.No matter how much they have experience na haya mambo waace kutuchagulia watu wa kuoa au kuolewa nao na kama tukiendekeza hili kuna baadhi yetu tusingekua duniani leo hii
Ukipenda boga penda na ua lake
Huo ndo uchawi wa single mazaZ
Hakikisha unalea mtoto kama wako n cut off all the expenses from mzazi mwenzie!
Maoni yangu ndo hayo
Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
alafu mkizaa mtoto mwenye matatizo mnawasukumia tena wazazi wawasaidie.
alafu mkizaa mtoto mwenye matatizo mnawasukumia tena wazazi wawasaidie.