Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Ndiyo gari nyingi used ila hiyo namba A.
Bro. Hakuna mtu mbaya na wa hatari kwako mwanaume kama mtu aliyemtoa bikira na aliyezaa na demu wako. Wakitokeza na wakitaka lazima wapewe.
Mamako mwanamke. Analijua hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuoa hata mimi nakushauri big no,na usipokuwa mwangalifu utategeshewa mimba umkimbie awe double maza,tuliza akili na punguza hisia.
 
Kumbuka icho kitendo hakijaribiwi wazazi wameona mbali kiumri kakuzidi tayari ni mke wa mtu huyo anachofata kwako ni unafuu wa maisha ila kurudi kwa mume wake ni lzm unapotea shida ya vijana wakikutana na mwanamke mkubwa sbb anaweza kumpa kila siki anaona ndo kayapatia maisha maisha ni zaidi ya kufanya mapenzi
Ndoa si kufanya mapenzi
 
Huu ni upuuuzi first class.

Mtu kuwa mama yako haina maana anakumiliki, na wewe kuzaa mtoto haina maana unammiliki.

Huu uzwazwa wa watanganyika kudhani wanawamiliki watoto wao ndo unaokwambisha maisha ya wengine, kila mtu ana utashi na chaguzi zake.

Kwahiyo Mama yako akisema kuwa shoga unakua sababu tu kasema? Akisema usioe maisha yako yote huoi sabbau Mama kasema? Ukomo wa kukuamulia mambo yako ni upi? Ndo nyie ambao mnaoa ila kila kitu ni Hadi Mama aseme.

Hakuna cha laana wala nini kama mama sio muelewa. Hilo ni tatizo lake. Na ndoa ni zaidi ya kulalana
Hakuna hata mama mmoja atakaekuambia ujunga uliouainisha

Hakuna cha laana kwa sababu huna mama, pengine una mzazi tu wa kike

Kuwa mwangalifu na nyege zako
 
Mtu kamzidi umri wa nini sasa, kala maisha huko ndo aje kumalizia stress kwa dogo, hao wanafaaga kuwa mchepuko tu si wa kuweka ndani
Hapo sasa
Halafu dogo asikii wala haambiwi
Sijui ndo hawa ambao wanaambiwa wasiingie kwenye mapenzi hadi wamalize chuo na wapate kazi
 
Nahisi wanafahamu kwa uzoefu wao kero za mama/mtoto

mie kwa uzoefu wangu mdg watoto wa single maza hata umsomeshe umuhudumie vp akili zao huwa wanawaza kutengwa tu
No matter how much they have experience na haya mambo waace kutuchagulia watu wa kuoa au kuolewa nao na kama tukiendekeza hili kuna baadhi yetu tusingekua duniani leo hii
Ukipenda boga penda na ua lake
Huo ndo uchawi wa single mazaZ
Hakikisha unalea mtoto kama wako n cut off all the expenses from mzazi mwenzie!
Maoni yangu ndo hayo

Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
 
No matter how much they have experience na haya mambo waace kutuchagulia watu wa kuoa au kuolewa nao na kama tukiendekeza hili kuna baadhi yetu tusingekua duniani leo hii
Ukipenda boga penda na ua lake
Huo ndo uchawi wa single mazaZ
Hakikisha unalea mtoto kama wako n cut off all the expenses from mzazi mwenzie!
Maoni yangu ndo hayo

Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
alafu mkizaa mtoto mwenye matatizo mnawasukumia tena wazazi wawasaidie.
 
Back
Top Bottom