Na waliolelewa na baba pekee wengi mateja.
MUHIMU:MAADA HAIJALENGA SINGLE MAMA WOTE, NI BAADHI, SIO WOTE
Habari wadau, siku hizi kumekuwa na kundi kubwa la wanawake kwenda kuomba haki sawa ofisi za ustawi wa Jamii kuhusu kulea mtoto pale baba anapomtelekeza mama.
Zamani kabla ya hizi haki Mara nyingi mtoto alikuwa anaenda kuishi na baba yake au kuishi na ndugu wa baba au mama vijijini ambako mila na desturi zinazingatiwa mno
Sasa siku hizi mambo ya kutupiana mizigo kwa ndugu imekuwa ngumu maana kila moja anapambana na hali ya maisha yake maana kila kitu ni pesa kitu kinachopelekea watoto wengi kuishia kuishi na mama zao bila malezi ya baba.
Ghafla mtoto wa kiume wanaweza kuanza kuona kila kitu anachofanya mama yake ni sahihi kuanzia kuongea, kitembea na hata Nguo, Wa kumfundisha jinsi ya kuishi kama mwanaume anakuwa hayupo matokeo yake kidogo kidogo anaweza kuanza kupigwa mabusu na wavulana wenzake ye akaona sawa tu maana anamuona sana mama anavyopigwa busu na rafiki zake.
Pia wamama hawa wengi naona wanapenda sana watoto wao kwa nia nzuri ila inaweza kuwa mbaya kwa mtoto, unakuta mama anataka mtoto wake aonekane Hb unaanza kumpaka poda, make up, lip gloss na hata kusuka, hiki kitu kinaweza kumuweka mtoto matatizo ni maana anaweza kuanza kujaribiwa kidogo kidogo na wenzake.
Kadri miaka inavyoenda mambo yanachanganya na inakuwa ngumu sana kurudisha nyuma tabia zilizogeuka mazoea.
Kwa ushauri Wangu katika malezi mtoto wa kiume inabidi awe mazingira atayolelewa kwa umakini na baba ama ndugu wa kiume
Usiwe mbishi na mtoa mada hajasema kwa wote.Kwa nini mnapenda kutunga story zenu kichwani na kuwalaumu watu wasiohusika maana Sijawahi kuona single mama kampaka mwanae lip gloss, wanja au poda ili awe handsome. sio fair kabisa na hamjui ni ngumu kiasi gani kwao kulea watoto wa kiume na wengine huwa wakatili kabisaa kwa sababu hakuna fatherly figure around.
Mtoto huwa anaathiriwa na tabia ya waliomzunguka na akilelewa na mama pekee lazma kuna traits ambazo ni feminine kiasi atazipata ila haimaanishi atakuwa shoga. Kuwa feminine na kuwa gay ni vitu viwili tofauti japo kwa jamii less learned na homophobic hudhani ni kitu kimojaUnaposema "feminine kiasi" una maanisha nini?
Huo u feminine kiasi huoni kama unaendana na mada maoni ya mleta mada?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijakulia pwani ambapo mama anaweza kukata kiuno mbele ya mwanae na hilo la kucheza lawezekana kiasi. Nilichotaka ni uthibitishe hayo ya watoto wa kiume kupakwa lipgloss na powder ili wawe "mahandsome" zaidi kama ulivyosemaMkuu inaelekea unajifungia sana ndani na simu yako au hujichanganyi, Tembea uone, Watoto wadogo kabisa wa kiume wanawaiga hadi mama zao wnavyokata mauno, Baba akiwepo hawezi kuvumilia kuona mtoto wake wa kiume anakata kiuno
Exactly amekuza vitu sana na kutupia wamama wa watu lawama. Hakuna mwanamke mjinga atampaka make up mwanae ili awe handsome zaidi. Sijawahi kuona na labda alete uthibitisho
Ushawahi kukaa na mashoga ukawaelewa. Ushawahi kujua walianzia wapi au na wewe upo kama mleta mada na watanzania wengi wanaokaa chumbani na kuanza kutoa assumptions zao . No research no right to speakUsiwe mbishi na mtoa mada hajasema kwa wote.
Usibishe wewe sababu za ushoga ni nyingi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mfano hai,sio shoga wala sitokaa niwe shoga
ila tukija kwenye maswala ya urembo na usafi "mtoto wa kike akasome"
Hamna mtoto wa kike anaeweza kuta mataka taka ya dressing table yangu.
Mimi nachamba hata Asha boko akasome,Asha ngedere akija namflotisha
hii yote ni kulelewa pamoja na watoto wakike,yani kama sio kuokolewa kupelekwa
shule za BOYS tupu nahisi ningekuwa kitu ya ajabu,Maisha nayo ndio yakanitia ugumu
ila kulelewa na mama TU bila baba kwa mtoto wa kiume asee hapana,mleta mada upo sahihi.