Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Ushoga unaletelezwa na vitu vingi. Hii ya ma single maza ni kidogo sana ila kwa upande mwingine watoto wa kiume wengi huishia kuwa majitu katili sana. Usimdharau mtoto ati hajui mnalofanya hapo mbele yake. Ma single maza wengine ni wamama ambao wanautegemea mwili wao kwa kula, kulala na kuvaa. Hivyo wana, mume wa kulipia kodi ya nyumba, kuna mume wa kumvika yeye na mwanaye, mume mwingine wa ulinzi. Sasa hawa wakija home, mtoto anaambiwa, Msalimi baba. Sasa anaona baba anajipinda kitandani kwa maza kesho mwingine, kesho kutwa mwingine. Sijui mnadhani anawaonaje nyiye.
Bila hofu mnamwacha hata anapoanza shule bado mnakuja kulala na kuondoka asubuhi. Tabia hizi humfanya mtoto ajue maovu mapema. Hivyo hata kujaribu mambo ka hayo kwake sawa tu. Huwezi fanya hayo mbele ya mwanao.
 
Ukweli utabaki pale hata kama wasipoelewa

mtoto wa kiume kulelewa na mama tu au kukulia

mazingira ya watoto wakike tu,mfano Single mama

ana watoto wa 4 watatu wakike 1 wakiume hapa

bila akili ya ziada huyu mtoto wa kiume lazima atabadilika tu.
 
Mimi ni mfano hai,sio shoga wala sitokaa niwe shoga

ila tukija kwenye maswala ya urembo na usafi "mtoto wa kike akasome"

Hamna mtoto wa kike anaeweza kuta mataka taka ya dressing table yangu.

Mimi nachamba hata Asha boko akasome,Asha ngedere akija namflotisha

hii yote ni kulelewa pamoja na watoto wakike,yani kama sio kuokolewa kupelekwa

shule za BOYS tupu nahisi ningekuwa kitu ya ajabu,Maisha nayo ndio yakanitia ugumu

ila kulelewa na mama TU bila baba kwa mtoto wa kiume asee hapana,mleta mada upo sahihi.
 
Umeona mbali mtoa mada.
Hii ni kweli mkuu.wanamama sasa hivi wanataka watoto wao waonekane ma HB jwmbo ambalo linawafanya watoto wapambwe na kuvishwa vimodo.

Wamama wenyewe wafuatiliaji wa mastaa wetu na watoto hawakatazwi.mwisho wa siku vijana wa mtaani wanatamani huyo kijana
MUHIMU:MAADA HAIJALENGA SINGLE MAMA WOTE, NI BAADHI, SIO WOTE

Habari wadau, siku hizi kumekuwa na kundi kubwa la wanawake kwenda kuomba haki sawa ofisi za ustawi wa Jamii kuhusu kulea mtoto pale baba anapomtelekeza mama.

Zamani kabla ya hizi haki Mara nyingi mtoto alikuwa anaenda kuishi na baba yake au kuishi na ndugu wa baba au mama vijijini ambako mila na desturi zinazingatiwa mno

Sasa siku hizi mambo ya kutupiana mizigo kwa ndugu imekuwa ngumu maana kila moja anapambana na hali ya maisha yake maana kila kitu ni pesa kitu kinachopelekea watoto wengi kuishia kuishi na mama zao bila malezi ya baba.

Ghafla mtoto wa kiume wanaweza kuanza kuona kila kitu anachofanya mama yake ni sahihi kuanzia kuongea, kitembea na hata Nguo, Wa kumfundisha jinsi ya kuishi kama mwanaume anakuwa hayupo matokeo yake kidogo kidogo anaweza kuanza kupigwa mabusu na wavulana wenzake ye akaona sawa tu maana anamuona sana mama anavyopigwa busu na rafiki zake.


Pia wamama hawa wengi naona wanapenda sana watoto wao kwa nia nzuri ila inaweza kuwa mbaya kwa mtoto, unakuta mama anataka mtoto wake aonekane Hb unaanza kumpaka poda, make up, lip gloss na hata kusuka, hiki kitu kinaweza kumuweka mtoto matatizo ni maana anaweza kuanza kujaribiwa kidogo kidogo na wenzake.


Kadri miaka inavyoenda mambo yanachanganya na inakuwa ngumu sana kurudisha nyuma tabia zilizogeuka mazoea.

Kwa ushauri Wangu katika malezi mtoto wa kiume inabidi awe mazingira atayolelewa kwa umakini na baba ama ndugu wa kiume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini mnapenda kutunga story zenu kichwani na kuwalaumu watu wasiohusika maana Sijawahi kuona single mama kampaka mwanae lip gloss, wanja au poda ili awe handsome. sio fair kabisa na hamjui ni ngumu kiasi gani kwao kulea watoto wa kiume na wengine huwa wakatili kabisaa kwa sababu hakuna fatherly figure around.
Usiwe mbishi na mtoa mada hajasema kwa wote.

Usibishe wewe sababu za ushoga ni nyingi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaposema "feminine kiasi" una maanisha nini?

Huo u feminine kiasi huoni kama unaendana na mada maoni ya mleta mada?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto huwa anaathiriwa na tabia ya waliomzunguka na akilelewa na mama pekee lazma kuna traits ambazo ni feminine kiasi atazipata ila haimaanishi atakuwa shoga. Kuwa feminine na kuwa gay ni vitu viwili tofauti japo kwa jamii less learned na homophobic hudhani ni kitu kimoja
 
Mkuu inaelekea unajifungia sana ndani na simu yako au hujichanganyi, Tembea uone, Watoto wadogo kabisa wa kiume wanawaiga hadi mama zao wnavyokata mauno, Baba akiwepo hawezi kuvumilia kuona mtoto wake wa kiume anakata kiuno
Mimi sijakulia pwani ambapo mama anaweza kukata kiuno mbele ya mwanae na hilo la kucheza lawezekana kiasi. Nilichotaka ni uthibitishe hayo ya watoto wa kiume kupakwa lipgloss na powder ili wawe "mahandsome" zaidi kama ulivyosema
 
Usiwe mbishi na mtoa mada hajasema kwa wote.

Usibishe wewe sababu za ushoga ni nyingi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushawahi kukaa na mashoga ukawaelewa. Ushawahi kujua walianzia wapi au na wewe upo kama mleta mada na watanzania wengi wanaokaa chumbani na kuanza kutoa assumptions zao . No research no right to speak
 
Umenishinda tabia khaaaa
Mimi ni mfano hai,sio shoga wala sitokaa niwe shoga

ila tukija kwenye maswala ya urembo na usafi "mtoto wa kike akasome"

Hamna mtoto wa kike anaeweza kuta mataka taka ya dressing table yangu.

Mimi nachamba hata Asha boko akasome,Asha ngedere akija namflotisha

hii yote ni kulelewa pamoja na watoto wakike,yani kama sio kuokolewa kupelekwa

shule za BOYS tupu nahisi ningekuwa kitu ya ajabu,Maisha nayo ndio yakanitia ugumu

ila kulelewa na mama TU bila baba kwa mtoto wa kiume asee hapana,mleta mada upo sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutalaumu mashoga mpaka kiama.

Ila wanaowachukua na kwenda kuwapiga mashine kama hatuwaoni vile.

In short mambo ya ushoga yapo tangu enzi za biblia ya kale ( watu walivamia nyumbani kwa Lutu wakitaka wapewe wageni waliokuwa wamekuja pale wawapige mashine )

Tofauti pekee iliyopo sasa na zamani ni kuwa watu wanaepuka unafiki. Kama mtu anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja anakuwa honest na dunia nzima inajua kuliko kufanya sirini.

Binafsi ninachoona kinachangia zaidi tatizo hili ni kuigana, ushawishi, kukata tamaa, ukatili, radicalisation, mazingira ( hasa jela ) n.k

Binadamu wamekuwa na hulka ya kutaka kujaribu kila kinachopita machoni kwake.

Wanaume wakiona mwanamke ana tako kubwa, wanataka waingize humo humo takoni ili wajue kuna nini.

Sasa ukianza kumgeuza mkeo leo, kesho unageuza mashoga na ukiona haitoshi na wewe unataka ujue kwanini mashoga wanapenda hatimaye na wewe unageuzwa.

Ushauri wangu jamani, siyo kila unachokiona duniani kinakuhusu. Vingine acha vipite tu.
 
Back
Top Bottom