Nadhan nihiki kizazi cha sasa + ukisasa mwingi .........,Wa mama huko zamani waliwezaje?
Eti wanadai hawawezi kumsahau waliezaa nae, hawa watu ni poison

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan nisawa namm nkae mbele ya mwanamke ,nianze kuzungumzia nakumlinganisha yeye na Ex wangu???


Badala ya kujenga ,unabomoa.
 
Nadhan nihiki kizazi cha sasa + ukisasa mwingi .........,Wa mama huko zamani waliwezaje? Yaan nisawa namm nkae mbele ya mwanamke ,nianze kuzungumzia nakumlinganisha yeye na Ex wangu???


Badala ya kujenga ,unabomoa.
Wanafanya mambo yanakua magumu, hawajui wanatengeneza mazingira ya kuachika, na wa aina hii kuolewa tena inakua ishu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aise R. I. P kwa Mr.Chediel, alikua msabato huyu jamaa?

Sent using Jamii Forums mobile app


sijawahi kumuona akienda kanisa so siwezi jua tulikuwa mda mwingi tupo nae maskani ye mwenyewe ukimuuliza dini anaamini ktk amani,upendo na kufanya matendo mazuri ndo dini


alimgharamikia sana yule single mama alimlelea mwanae kama mtoto wake vile na alisaidia sana ndugu wa mwanamke kumbe yule mama anaona kisirisiri na baba mtoto kiporo kinapashwa
 
Imeandikwa "mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe" sisi wanaume ni nani hata tutake kulipindua hilo andiko?,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
Nadhan nihiki kizazi cha sasa + ukisasa mwingi .........,Wa mama huko zamani waliwezaje? Yaan nisawa namm nkae mbele ya mwanamke ,nianze kuzungumzia nakumlinganisha yeye na Ex wangu???


Badala ya kujenga ,unabomoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake sijui nani aliwaroga kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo kupashana kiporo ni changamoto, ila huyo mwanamke hatakaa kwa amani, laana ya chedi itamtafuna sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…