Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Ukitaka kufurahia mahusiano, tafuta mtu ambaye anaweza kukupa Faraja na Amani,
usiangalie kuwa ni single mother au vipi,
Unaweza ukawa na single mother na mkaishi kwa Amani na furaha na pia unaweza ukaishi na ambaye ni pure lakini usipate Amani kila siku unaishia kuumia tuu,

Ukiona upo na single mother halafu anakupa kauli usizozipenda jua huyo hamuendani naye muache coz kila unachomfanyia yeye anachukulia kipimo kuanzia kwa Baba Corona,

Hizi issues za kuwa na mahusiano na single mothers zinahitaji moyo wa kipekee na kama haupo committed acha kabisa, mana utaingia kufanya maamuzi magumu kwa kila jambo, utaishia kukonda na kukosa Amani ya moyo, ukifuata na kauli za mtaani "ushawahi ona wapi mechi inaanza 0:1"

Tafuta hela, fanya ibada sana, toa sadaka, jiheshimu na uuheshimu mwili wako maana Mungu anakupa unachoendana nacho "Ukiwa mchezaji utampata aliyechezewa na wenzako"

(MUOMBE MUNGU UPATE MKE MWEMA WA KUKUPA AMANI, FARAJA, NGUVU NA UJASIRI KWA KILA JAMBO)

Hii ni kwa wale tuliowahi kujilipua na kua na mahusiano na hawa wanawake wenye watoto tayari (single mothers).

[emoji23][emoji23][emoji23] aisee nikikumbuka nasikitika sanaaa!

Ok kwa upande wangu yule mwanamke niliyewahi kua nae alikua na mtoto mmoja, ila hizi kauli zake zilikua zinaniboa sana na nilikua namwambia aachane nazo maana ipo siku tutaachana kwa ajili ya kauli zake za kijinga kama zile maana nilikua najihisi kama nipo na MKE WA MTU.

kauli zake zilikua kama :-

1. Yaani we mtoto unaroho mbaya sijui umeitoa wapi, mbona baba yako ana roho nzuri tuu?!! (wakati anamgombeza mtoto wake hapo)

2. Yaani huyu mtoto wangu ana lips [emoji182] nzuri kama za babaake

3. Yaani unafanyia mimi hivyo?! Hata baba Corona tumeishi nae sana lakini hakuwahi kunifanyia hivyo?! (mkigombana tuu kidogo anamsifia baba wa mtoto wake)

4. Leo baby hivi viatu ulivyonunua vizuri hata baba Corona alikua navyo kama hivi ila vyake vilikua vipya kabisa alinunulia dukani!

Nikaona isiwe tabu, Ngoja nitafute ambae hajazaa.

Kama nawewe ulishawahi kuishi na single mother hembu shusha kauli hapo alizokua anazitoa lakini kwa upande wako ilikua anakukera sana!

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuwahi kukwambia kuwa utombaji wako unakaribia kidogo kwa baba mtoto wake?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nimeoa singo maza maisha mazuri na ya amani....

Sent using Jamii Forums mobile app

ngoja nikuweke sawa mkuu watu wanatofautiana maybe unaweza mpata single mmaza mwaminifu Mara nyingi wanakua 1 katika 1000 ambapo hapo utakuta mjane japo simuhesabii kwenye hili kundi au aliebakwa ni wachache mno almost 99% wanakuwa na tabia mbovu ziliowashinda wanaume wenzetu sasa mkuu kama mtoto anaunganisha wazazi ni zao la upendo kwa nini wenzetu wakimbie ?

kwakua wengi ni vivuruge ndo maana tunaamua kufanya generalization sio kama tunapenda ila ndo hivi inabidi tuwe makini
 
ngoja nikuweke sawa mkuu watu wanatofautiana maybe unaweza mpata single mmaza mwaminifu Mara nyingi wanakua 1 katika ambapo hapo utakuta mjane japo simuhesabii kwenye hili kundi au aliebakwa 1000 ni wachache mno almost 99% wanakuwa na tabia mbovu ziliowashinda wanaume wenzetu sasa mkuu kama mtoto anaunganisha wazazi ni zao la upendo kwa nini wenzetu wakimbie ?

kwakua wengi ni vivuruge ndo maana tunaamua kufanya generalization sio kama tunapenda ila ndo hivi inabidi tuwe makini
Swali zuri, kama mwanaume mwenzako kamshindwa wewe unatakiwa ujipange

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehe! Mimi siku tuko Kitandani, hapo anakatika nkagusa sehemu akasema "aisee we mwanaume umenikumbusha baba Corona" [emoji3][emoji3][emoji3]

Uzuri nadate naye kwa kupunguziana stress sio mipango ya maisha na ndoa na yeye anajua so ni win win situation, maana ingine ni mchepuko.
 
Back
Top Bottom