Heisenberg blue meth
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,310
- 1,633
Hii ni kwa wale tuliowahi kujilipua na kua na mahusiano na hawa wanawake wenye watoto tayari (single mothers).
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee nikikumbuka nasikitika sanaaa!
Ok kwa upande wangu yule mwanamke niliyewahi kua nae alikua na mtoto mmoja, ila hizi kauli zake zilikua zinaniboa sana na nilikua namwambia aachane nazo maana ipo siku tutaachana kwa ajili ya kauli zake za kijinga kama zile maana nilikua najihisi kama nipo na MKE WA MTU.
kauli zake zilikua kama :-
1. Yaani we mtoto unaroho mbaya sijui umeitoa wapi, mbona baba yako ana roho nzuri tuu?!! (wakati anamgombeza mtoto wake hapo)
2. Yaani huyu mtoto wangu ana lips [emoji182] nzuri kama za babaake
3. Yaani unafanyia mimi hivyo?! Hata baba Corona tumeishi nae sana lakini hakuwahi kunifanyia hivyo?! (mkigombana tuu kidogo anamsifia baba wa mtoto wake)
4. Leo baby hivi viatu ulivyonunua vizuri hata baba Corona alikua navyo kama hivi ila vyake vilikua vipya kabisa alinunulia dukani!
Nikaona isiwe tabu, Ngoja nitafute ambae hajazaa.
Kama nawewe ulishawahi kuishi na single mother hembu shusha kauli hapo alizokua anazitoa lakini kwa upande wako ilikua anakukera sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo kupashana kiporo ni changamoto, ila huyo mwanamke hatakaa kwa amani, laana ya chedi itamtafuna sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure, sisi ni naniImeandikwa "mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe" sisi wanaume ni nani hata tutake kulipindua hilo andiko?,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hapo bado, watamchezea sanana ni kweli mkuu sahivi anaangaika wanamchezea tu na kashaongezwa mtoto mwengine
Usipite tuu, akipatika wakueleweka Kaliza,
Hakuwahi kukwambia kuwa utombaji wako unakaribia kidogo kwa baba mtoto wake?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ni kwa wale tuliowahi kujilipua na kua na mahusiano na hawa wanawake wenye watoto tayari (single mothers).
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee nikikumbuka nasikitika sanaaa!
Ok kwa upande wangu yule mwanamke niliyewahi kua nae alikua na mtoto mmoja, ila hizi kauli zake zilikua zinaniboa sana na nilikua namwambia aachane nazo maana ipo siku tutaachana kwa ajili ya kauli zake za kijinga kama zile maana nilikua najihisi kama nipo na MKE WA MTU.
kauli zake zilikua kama :-
1. Yaani we mtoto unaroho mbaya sijui umeitoa wapi, mbona baba yako ana roho nzuri tuu?!! (wakati anamgombeza mtoto wake hapo)
2. Yaani huyu mtoto wangu ana lips [emoji182] nzuri kama za babaake
3. Yaani unafanyia mimi hivyo?! Hata baba Corona tumeishi nae sana lakini hakuwahi kunifanyia hivyo?! (mkigombana tuu kidogo anamsifia baba wa mtoto wake)
4. Leo baby hivi viatu ulivyonunua vizuri hata baba Corona alikua navyo kama hivi ila vyake vilikua vipya kabisa alinunulia dukani!
Nikaona isiwe tabu, Ngoja nitafute ambae hajazaa.
Kama nawewe ulishawahi kuishi na single mother hembu shusha kauli hapo alizokua anazitoa lakini kwa upande wako ilikua anakukera sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachache sanaUsipite tuu, akipatika wakueleweka Kaliza,
Kuna wadada waivo, wapo sababu ya jamaa zao tu kuamua kuwafanya hivo
Ila ni Wife material .
[emoji23][emoji23][emoji23]hapana, kuhusu hayo mambo alikua ananiambia et nat*omba mda mrefu sana halafu mashine yangu ni nzuriHakuwahi kukwambia kuwa utombaji wako unakaribia kidogo kwa baba mtoto wake?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali zuri, kama mwanaume mwenzako kamshindwa wewe unatakiwa ujipangengoja nikuweke sawa mkuu watu wanatofautiana maybe unaweza mpata single mmaza mwaminifu Mara nyingi wanakua 1 katika ambapo hapo utakuta mjane japo simuhesabii kwenye hili kundi au aliebakwa 1000 ni wachache mno almost 99% wanakuwa na tabia mbovu ziliowashinda wanaume wenzetu sasa mkuu kama mtoto anaunganisha wazazi ni zao la upendo kwa nini wenzetu wakimbie ?
kwakua wengi ni vivuruge ndo maana tunaamua kufanya generalization sio kama tunapenda ila ndo hivi inabidi tuwe makini
dah! alikua akisema "nimeruka mkojo nikakanyaga mavi"
(mkikwazana) hawa viumbe ni janga la taifa bt ukiwa unamchukua mpole na mwenye adabu zote
[emoji23][emoji23]dah! alikua akisema "nimeruka mkojo nikakanyaga mavi"
(mkikwazana) hawa viumbe ni janga la taifa bt ukiwa unamchukua mpole na mwenye adabu zote
Swali zuri, kama mwanaume mwenzako kamshindwa wewe unatakiwa ujipange
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisain short kitamaduni tu na kimalezi utaonekana mtu wa ajabu sana kijana kuoa single mother labda uwe tayari ushaoa uongeze na hakuna mzazi anaependa mwanae aoe mwanamke mwenye mtoto wengine wanakubali kishingo upande