Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Hapa nafuu kiasi.Hivyo mwanamke akiwa kazalishwa huku mtoto yuko kwa baba wewe unaweza oa?
Mimi sihitimishi kuwa single mothers wote ni wabaya na hawafai kuolewa...coz kuna wengine hawajazaa ila wameshatoa mimba hadi kizazi hakifai tena.
Ila cha muhimu ni kuzingatia swali la msingi :-
1) Kwanini asiishi na aliyemzalisha mtoto/Watoto?
Kuoa single mother inawezekana ila labda aliyemzalisha asiwepo duniani....nachukia kukumbushiana kwao, hata wakiongea kuhusu mtoto ntahisi jamaa ananichora tu coz anajipigia muda wowote.