haaaaaa kuna jamaa yangu mmoja aliwahi pata msichana mwenye miaka 22's ana mtoto mdogo sana ananyonyesha jamaa kamsaidia kwa sababu aliyezaa naye kamkataa,sasa jamaa yangu akawa anakaa na yule msichana chumba kimoja lakini alikuwa apigi mambo kwa sababu alikuwa ana mtoto mdogo sana anaogopa kubemenda(as he said),basi siku jamaa yuko mishemishe yule dada akatafuta gari akachukua vyombo vyote anarudi anakuta chumba cheupeeee!!kuanza kumtafuta wakaja kumkamata yule dada kumbe wamerudiana na mshikaji aliyemzalisha..