Leloo June
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 1,001
- 933
[emoji23][emoji23][emoji23] Yupo mmoja kanisumbua kinoma mwishoni nikaamua kumpotezea.
Kapigwa mimba uko jamaa kaikataa eti anarudi kwangu kiaina daaah kitakachomkuta atoamini, Mjinga sana hii mimba ingekuwa ya kwangu sasa hivi angekuwa anaishi kama malkia ila kujifanya kwake anapenda wapaka poda kumemponza.