Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Hii ishu imekuwa ikinisumbua sana tangu mwaka jana. Kuna mwanamke mwenye mtoto nataka kumuoa, tangu siku ya kwanza nimwambie mama yangu hizo habari alionesha kwa wazi kabisa kutokukubaliana nami. Ananiambia kama yeye hakuniweka tumboni miezi tisa basi nimuoe huyu single mother. Mashangazi nao na dada zangu nao wananisema chini chini.

Mdogo wangu wa kike ndo huwa ananivujishia hizo habari kuwa shangazi huwa anasema mimi ni mwanaume niliyesoma na kukamilika inakuwaje naoa mwanamke mwenye mtoto? Mama mdogo ndiyo ameniita mimi mpumbavu, hiyo nimeinyaka kwenye group lao la Whatsapp kupitia simu ya mdogo wangu.

Baba yangu kaniambia niwe makini sana kuoa mwanamke mwenye mtoto ila uamuzi nichukue mwenyewe.

Hii inaniweka njia panda sana. Najua humu kuna wamama watu wazima na wazee wenye umri mkubwa na busara, naombeni maoni yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uliona wapi match Inaanza team moja inakuwa imetangulia kwa goli moja? 0:0 refa ndio anaanzisha mpira
 
Achana na huyo single maza atakusumbua raha ya mke umkute fresh chuchu zimesimama unakula mpaka zinalala ili aanze kulea watoto kwa upande mwingine kuoa mke asiekuwa na mtoto kuna raha yake akisikia unamchepuko mahali anapandisha mashetani mnaanza kudundana mara utasikia katunishiana misuli na dada wa jirani kisa wewe.

Ukija upande wa single maza wengi wamepooza wamekaa kizezeta yote kwao ni kawaida atakama akikukuta mahali hana chakupoteza muhimu upo nae maisha yanasonga.
 
Hii ishu imekuwa ikinisumbua sana tangu mwaka jana. Kuna mwanamke mwenye mtoto nataka kumuoa, tangu siku ya kwanza nimwambie mama yangu hizo habari alionesha kwa wazi kabisa kutokukubaliana nami. Ananiambia kama yeye hakuniweka tumboni miezi tisa basi nimuoe huyu single mother. Mashangazi nao na dada zangu nao wananisema chini chini.

Mdogo wangu wa kike ndo huwa ananivujishia hizo habari kuwa shangazi huwa anasema mimi ni mwanaume niliyesoma na kukamilika inakuwaje naoa mwanamke mwenye mtoto? Mama mdogo ndiyo ameniita mimi mpumbavu, hiyo nimeinyaka kwenye group lao la Whatsapp kupitia simu ya mdogo wangu.

Baba yangu kaniambia niwe makini sana kuoa mwanamke mwenye mtoto ila uamuzi nichukue mwenyewe.

Hii inaniweka njia panda sana. Najua humu kuna wamama watu wazima na wazee wenye umri mkubwa na busara, naombeni maoni yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sali sana na muombe Mungu akupe akili ya kufanya kilicho sahihi, bila kuvunja heshima ya ndugu zako na bila kujinyima matakwa ya moyo wako.. ( HAKIKISHA UNAFANYA MAAMUZI UKIWA NA AKILI TIMAMU bila kushinikizwa na mtu yeyote..)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ishu imekuwa ikinisumbua sana tangu mwaka jana. Kuna mwanamke mwenye mtoto nataka kumuoa, tangu siku ya kwanza nimwambie mama yangu hizo habari alionesha kwa wazi kabisa kutokukubaliana nami. Ananiambia kama yeye hakuniweka tumboni miezi tisa basi nimuoe huyu single mother. Mashangazi nao na dada zangu nao wananisema chini chini.

Mdogo wangu wa kike ndo huwa ananivujishia hizo habari kuwa shangazi huwa anasema mimi ni mwanaume niliyesoma na kukamilika inakuwaje naoa mwanamke mwenye mtoto? Mama mdogo ndiyo ameniita mimi mpumbavu, hiyo nimeinyaka kwenye group lao la Whatsapp kupitia simu ya mdogo wangu.

Baba yangu kaniambia niwe makini sana kuoa mwanamke mwenye mtoto ila uamuzi nichukue mwenyewe.

Hii inaniweka njia panda sana. Najua humu kuna wamama watu wazima na wazee wenye umri mkubwa na busara, naombeni maoni yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mzazi mwenzake alikufa kwa ajali, waweza muoa. Vinginevyo USIOE singo maza.
Wazazi wako hawakurupuki. Utaoa matatizo.
 
Mkuu upo ktk kipindi kigumu sanaaa,,

Mm nna ndugu yangu na yeye kilimtokea hiki kitu,, alinza kuniweka wazi mimi kwanza, kwa kuwa ni ndugu nliyeshibana naye tokea tukiwa wadogo, nlimuuliza swali moja tu nalo ni "moyo wako unatakana nn?" Alinijibu kuwa "huyu manzi mi namuelewa kupita maelezo"

Mm nkamwambia ww ndugu yangu niko nyuma yako,,

Kama wewe mwanzoni ndugu walileta kipingamizi ila mwisho wa siku mwana akamuoa binti yuko naye huu mwaka wa pili wameuanza na wamezaa mtoto mmoja tayari life lao linasonga,,

Ila yule shem nimemsifu kitu kimoja tu ana upepo wa kukubalika,, hivi nnavokwambi nlikuwa home boy juzi kati katika story mbili tatu na mother nikaona wanamsifia sanaaaaaa,, KWA HIYO HAPO KWAKO SIJAJUA HUYO MKE WAKO MTARAJIWA ATAKUBALIKA BAADA YA NDOA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama husikilizi mama baba shangazi na ndugu zako acha unafiki wa kutaka kusikiliza wanaJF ambao hata huwajui kwa sura na tabia. UTAKUWA KWELI KAMA ALIVYOSEMA MAMA MDOGO

Hii ishu imekuwa ikinisumbua sana tangu mwaka jana. Kuna mwanamke mwenye mtoto nataka kumuoa, tangu siku ya kwanza nimwambie mama yangu hizo habari alionesha kwa wazi kabisa kutokukubaliana nami. Ananiambia kama yeye hakuniweka tumboni miezi tisa basi nimuoe huyu single mother. Mashangazi nao na dada zangu nao wananisema chini chini.

Mdogo wangu wa kike ndo huwa ananivujishia hizo habari kuwa shangazi huwa anasema mimi ni mwanaume niliyesoma na kukamilika inakuwaje naoa mwanamke mwenye mtoto? Mama mdogo ndiyo ameniita mimi mpumbavu, hiyo nimeinyaka kwenye group lao la Whatsapp kupitia simu ya mdogo wangu.

Baba yangu kaniambia niwe makini sana kuoa mwanamke mwenye mtoto ila uamuzi nichukue mwenyewe.

Hii inaniweka njia panda sana. Najua humu kuna wamama watu wazima na wazee wenye umri mkubwa na busara, naombeni maoni yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sentensi hiyo ya baba ndo maelezo tosha mkuu hauna haja na jf,sio mama wala shangazi wala mdogo wako atakuja kuishi na huyo mwanamke bali ni ww mwenyewe hao ni washauri hawana uamuzi wowote na ww ndo unamjua mwanamke chakufanya sikiliza sababu zao kama wanazo chambua pumba weka pembeni chukua mchele then ufanye maamuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi Mama yangu alishawahi kuniambia kauli hiyo..na wala nilikuwa sijampelekea Single mother...ila kuna siku jirani yetu mmoja mtoto wake alioa single mother ambaye by then huyo dada alikuwa na mtoto mchanga wa kunyonyesha...sasa wakati nipo na bimkubwa tunachonga mawili matatu...akaniuliza kiutani au cjui alikuwa ana maanisha "Na wewe unaoa lini? vijana wenzako wote wameoa na wengine wana watoto, ila wewe hata stori za kuoa huzigusii" nikamwambia wakati aliopanga allah ukifika nitaoa tu mama angu mie sitooa kwa kufuata mkumbo...Mwisho ndo akamalizia na hili "HAO WACHUMBA UTAFUTE VIZURI TU, SITAKI UJE KUNILETEA MKWE MWENYE MTOTO, NATAKA NIANZE KUMLEA MJUKUU WANGU KWANZA NA SI MTOTO WA MKEO, NDO KWANZA NDOA YAKO YA KWANZA IWEJE UOE MWANAMKE MWENYE MTOTO NA ILHALI HATA HUJUI UCHUNGU/UTAMU WA MTOTO? UTAMUWEZA MTOTO WA MWANAMME MWENZAKO?" akaishia hapo nikamuunga mkono kwa kumuahidi kamwe sitoa single mom kama mke wangu wa kwanza..

Huyu ni mimi na wewe jaribu kujitafakari na yatafakari ya ndugu zako hasa mama yako...hakuna raha kama kuona mama yako anamfurahia mke wako na watoto wako (wajukuu zake)...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mechi inayoanza tu ikiwa 0 - 0 na nyingie inanza ikiwa 0 - 1 unachagua mechi ipi hapo???
 
Hii ishu imekuwa ikinisumbua sana tangu mwaka jana. Kuna mwanamke mwenye mtoto nataka kumuoa, tangu siku ya kwanza nimwambie mama yangu hizo habari alionesha kwa wazi kabisa kutokukubaliana nami. Ananiambia kama yeye hakuniweka tumboni miezi tisa basi nimuoe huyu single mother. Mashangazi nao na dada zangu nao wananisema chini chini.

Mdogo wangu wa kike ndo huwa ananivujishia hizo habari kuwa shangazi huwa anasema mimi ni mwanaume niliyesoma na kukamilika inakuwaje naoa mwanamke mwenye mtoto? Mama mdogo ndiyo ameniita mimi mpumbavu, hiyo nimeinyaka kwenye group lao la Whatsapp kupitia simu ya mdogo wangu.

Baba yangu kaniambia niwe makini sana kuoa mwanamke mwenye mtoto ila uamuzi nichukue mwenyewe.

Hii inaniweka njia panda sana. Najua humu kuna wamama watu wazima na wazee wenye umri mkubwa na busara, naombeni maoni yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini uoee single mother, wanawake wameishaaa,wee falaa nini acha kutuaibisha wanaume rejali kama sisi najua kabisaa wewe ni mwanaume wa daaa maana huwa sijui mnalishwa niniiii
 
Kumbukumbu la torati 22:5 Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako.
Binafsi sivutiwi na wanawake hasa wenye maungo mapana wanaovaa suruali/vimini na kuonyesha maungo yao. Ninaamini mwanamke mzuri anapaswa kuuficha uzuri wake iwe exclusive kwa mumewe/mwandani wake.
 
Kuna dogo kitaa alimpata mdada mwenye life yake. Yule dada alikuwa na ajira ya kueleweka na alikuwa anaendesha maisha yake vizuri tu. Watoto wake wawili wako boarding school na ada anawalipia mwenyewe.

Mama yake dogo kusikia uchumba alisema big NO. Waliamua kuzaa, siku mama anakuja kumuona mjukuu makusudi alimsalimia mzazi “shikamoo”.

Kufika hapo dogo alimwaga manyanga chini. Analea mtoto wake na likizo anakwenda kwa bibi.
Hata Dogo janja si alio single mother, ajifunze kutoka kwake........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna dogo kitaa alimpata mdada mwenye life yake. Yule dada alikuwa na ajira ya kueleweka na alikuwa anaendesha maisha yake vizuri tu. Watoto wake wawili wako boarding school na ada anawalipia mwenyewe.

Mama yake dogo kusikia uchumba alisema big NO. Waliamua kuzaa, siku mama anakuja kumuona mjukuu makusudi alimsalimia mzazi “shikamoo”.

Kufika hapo dogo alimwaga manyanga chini. Analea mtoto wake na likizo anakwenda kwa bibi.
hapana ndo sijakuelewa umeniacha njia panda
(Waliamua kuzaa, siku mama anakuja kumuona mjukuu makusudi alimsalimia mzazi “shikamoo”.
Kufika hapo dogo alimwaga manyanga chini. Analea mtoto wake na likizo anakwenda kwa bibi. )
 
Back
Top Bottom