Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Lazima atakuwa wa dar huyu...mwenyewe kaniuzi sana!!
Kwanini uoee single mother, wanawake wameishaaa,wee falaa nini acha kutuaibisha wanaume rejali kama sisi najua kabisaa wewe ni mwanaume wa daaa maana huwa sijui mnalishwa niniiii
 
Kuoa single mother sio tatizo tatizo ni pale atakapo anza kukutana na baba wa mtoto ili wajadili kuusu mtoto wao [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Dah mkuu..natamani nikufuate inbox nizungumze nawe zaidi ila kwa sasa nikuulize tu;

1. Unajua na mmeshazunumza kuhusu baba wa mtoto? Yupo hai? kafa? anafanya nini? ulikuwaje uhusiano wao, ulianzaje na kwa nini ulikufa? huduma kwa mtoto? ni mtu mstaarabu? na mambo yafananayo na hayo.

2. Mmezungumza na kukubaliana juu ya malezi ya mtoto iwapo mkiwa pamoja? esp suala la nidhamu

3. Anakuheshimu?
 
Hii ishu imekuwa ikinisumbua sana tangu mwaka jana. Kuna mwanamke mwenye mtoto nataka kumuoa, tangu siku ya kwanza nimwambie mama yangu hizo habari alionesha kwa wazi kabisa kutokukubaliana nami. Ananiambia kama yeye hakuniweka tumboni miezi tisa basi nimuoe huyu single mother. Mashangazi nao na dada zangu nao wananisema chini chini.

Mdogo wangu wa kike ndo huwa ananivujishia hizo habari kuwa shangazi huwa anasema mimi ni mwanaume niliyesoma na kukamilika inakuwaje naoa mwanamke mwenye mtoto? Mama mdogo ndiyo ameniita mimi mpumbavu, hiyo nimeinyaka kwenye group lao la Whatsapp kupitia simu ya mdogo wangu.

Baba yangu kaniambia niwe makini sana kuoa mwanamke mwenye mtoto ila uamuzi nichukue mwenyewe.

Hii inaniweka njia panda sana. Najua humu kuna wamama watu wazima na wazee wenye umri mkubwa na busara, naombeni maoni yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
So tuseme wasichana ambao hawajazaa umekosa kabisa mpaka unataka kukosana na ndugu zako?,au umesharogwa tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo statement ya mzee (baba ) yako ina mengi, muulize vizuri baba kama mwanaume mwenzio. Hataki lawama lakini pia hataki uje ujilaumu baadae, go back to him and ask him what did he mean on that statement.
 
Kama hujawasikiliza wazawazi wako je humu utamskiliza nani??

Umejipima kama unauwezo wa kumuoa single mother!
Una uhakika ndugu zako hawakuoni wewe kama tegemezi na hujiwezi??
Umewapa historia ya huyo mwanamke hadi akawa single mother?
Ana watoto wangapi wa umri gani?

Kama umempenda na unahakika nayeye amekupenda muoe mkuu kwa kuwa huyo ndio utakayekula unalala naye na kuamka naye kitanda kimoja..hutalala na shangazi yako wala mdogo wako...

NB.. WAKIKUSUMBUA SANA FANYA MCHONGO MDOGO WAKO APEWE MIMBA ALAFU JAMAA AKATE
Mzazi ni Mungu wa pili. Huwa wanaona mbali sana! Tafuta mke mwingine kiongozi
 
Dah mkuu..natamani nikufuate inbox nizungumze nawe zaidi ila kwa sasa nikuulize tu;

1. Unajua na mmeshazunumza kuhusu baba wa mtoto? Yupo hai? kafa? anafanya nini? ulikuwaje uhusiano wao, ulianzaje na kwa nini ulikufa? huduma kwa mtoto? ni mtu mstaarabu? na mambo yafananayo na hayo.

2. Mmezungumza na kukubaliana juu ya malezi ya mtoto iwapo mkiwa pamoja? esp suala la nidhamu

3. Anakuheshimu?
We dogo, ukijibu vizuri maswali ya huyu jamaa hapa then utakua pia umeondoa UTATA wa baba yako hapo juu as well, nahisi kama baba yako nae hajapenda maamuzi yako but pia hataki kuingilia maamuzi yako as well, hofu ya mzee wako nahisi ipo kwenye haya maswali. Mjibu huyu jamaa either humu au PM
 
Mzazi mwenzie yupo hai

Sent using Jamii Forums mobile app
Bhasi Hiyo bhangi uliyovutaa subiri ikiisha ndo ufanye maamuzi ya Kuoaa.. Ilaa achaa huo upuuzi!! Single maza wa miaka hiii sio kabisaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yanii jakaa atakuwa anamlaa kwa kisingizio cha mtoto... jiandae kupataa tabuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom