Mwanzoni unaweza kuona kama iko poa lakini kadri siku zinavyoenda ndio utaona hasara ya hiyo kitu,wazazi wanajua ndio maana wanakuonya.Unajua shida hapo ni kuwa hao watu wengi wao wanakuwa wana majeraha ya kuachwa na jamaa zao,sasa kinachofuata anajikuta anafanya malipizi bila ya kujua kuwa wewe sio muhusika wa kuachwa kwake,kichwani mwake anakuwa anaona kila mwanaume ni mtu katili,behaviour zake ni tofauti sana na mwanamke ambaye hajakutana na hiyo hali,sisemi wote ila wengi wao ni majanga na hata ukifuatilia thread nyingi hapa JF kuhusu single mothers zinawaponda sana,hawako vyema kisaikolojia..