Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Je ikiwa umekula chakula fulani then kikakudhuru, utaamua kuacha kula kabisa ili ufe maana kuna chakula fulani kilikudhuru?
Ndio maana hoteli ambayo ulikula na kuharisha utakuwa unaikwepa.
Singo parents wapo mama zetu, dada zetu nk.
Lakini nawaonea huruma wale wanaoanza ndoa ya Kwanza na singo maza.
Kwa miaka hii!!
Bora zamani ilikuwa ukiondoka hakuna mawasiliano mpaka mtafutane manually.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana hoteli ambayo ulikula na kuharisha utakuwa unaikwepa.
Singo parents wapo mama zetu, dada zetu nk.
Lakini nawaonea huruma wale wanaoanza ndoa ya Kwanza na singo maza.
Kwa miaka hii!!
Bora zamani ilikuwa ukiondoka hakuna mawasiliano mpaka mtafutane manually.


Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo kumbe hiyo ndio hofu yako!!
Basi chukua kiti na uketi maana chakula bado kinaandaliwa.
 
Hao wazazi kipindi wanaoana hukuwaingilia sasa inakuwaje tena wanakupangia? Mimi sipende kupangiwa ila kama kuniambia tu ruksa,
kama ukinambia nisiposikia ntajuta Mwenyewe ila sio unikataze kumuoa naemtaka.
 
Pole sana ndugu!
Kwa hatua uliyoifikia sasa , huna budi kubwaga manyanga. Kama bwawa limeingia ruba au disco kaingia mmasai. Maana maneno huumba!

Mama ana nafasi kubwa sana juu ya mwanae katka ndoa na maisha kiujumla. Mama yako anakuelewa wewe vizuri sana na anawaelewa wanawake wenzie vyema. FUATA MANENO YAKE.

Ukisoma comments zako vizuri, ni kwamba si mama yako tu bali hata baba yako hakubaliani na hilo, ila hakutaka kukukatisha tamaa.
Pia kwa mbali inaonekana kama huyo single mom amekuteza nguvu, huna sauti kwake. Ingawa nimeshindwa kuja imekuja natural, dawa , au ugeni wako katika mapenzi.

Wayforwad:
Sitisha uchumba kwake, warudie wazazi wako uwatake radhi kwa hilo. Tafuta binti mdogo chini ya umri wako, jiridhishe kama hatopata pingamizi kabla hujampeleka home.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Emmanuel Mbasha nae atakuwa na matatizo kisaikolojia au mengine zaidi. Ivi mwanamke ni flora mbasha pekee yake. Ndio maana aliachwa . Wanawake wapo wengi kabisa anashindwaje kutafuta mwanamke mwingine. Anabaki kumwongelea Flora mbasha. Hamnazo huyo jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani hujui tumebaki wanaume wachache ,wengine wasindikizaji au wanaume photocopy, .........***** mm unanitema na kwa hasira naweka mwingine kwa muda huo wakatio naendelea kutafut tunaendanae taratibu kwa ufasaha .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We umeona wapi mechii bado haijaanza tayari ushafungwa 1-0??

"[ᴬ ᵍᵒᵒᵈ ᵖˡᵃⁿ ᵛⁱᵒˡᵉⁿᵗˡʸ ᵉˣᵉᶜᵘᵗᵉᵈ ⁿᵒʷ ⁱˢ ᵇᵉᵗᵗᵉʳ ᵗʰᵃⁿ ᵃ ᵖᵉʳᶠᵉᶜᵗ ᵖˡᵃⁿ ᵉˣᵉᶜᵘᵗᵉᵈ ⁿᵉˣᵗ ʷᵉᵉᵏ"
Handcap Away 1+
 
Ktk masuala sensitive na yanahitaji kutokusikia kila analokuambia mtu haijalishi baba ama mama mzazi, ni suala la kuoa, upendo wako kwa huyo unayeona unahitaji kuwa naye, hauwez kubadilishwa na mama hata kama amekuzaa, na ndo mana siku hiz hatuchaguliwi wake, mama ana nafasi yake ktk kukushauri hatukatai lkn kuna masuala mengine anatakiwa akae kimya, mm nina ndoa ya miaka minne na mwenyewe niliwah kusema kwamba HATA MWANAMKE MWENYE WATOTO WATATU ANAYEJITAMBUA NAWEZA KUOA, na ndivyo ilivyokuja, nikakutana na mwanamke nikapenda mtoto wa watu sana haijawah tokea kwa mwanamke mwingine, wakat tunaendelea na mahusiano mwanzon sana kanitahadharisha kwamba pls faham kwamba nina mtoto mmoja na ana miaka kumi sasa, nilijibu bila hata kusita, nikamwambia, nitampenda sana mtoto cox unaishi naye na mm nimekupenda wewe...hakuna shaka, angalia hapa....SIKUWAAMBIA WAZAZ WANGU KWAMBA MTU NAYEOA ANA MTOTI, COZ NAFAHAM MOST OF PARENTS DONT LIKE SITUTAION KAMA HZO, funga ndoa mpka sasa nina amani ya kutosha na tumezaa wengine wawili, sifaham kukosa aman ndan ya ndoa kwangu, wazaz nililuja waambia baada ya miaka miwil ya ndoa, nikagundua ningewaambia kabla wangekataa.....lkn walinipa go ahead na kuniambia uzur wake bint anamfaham Mungu just endeleen ma maisha vyema.....BUT kikubwa, ukweli ndoa bila Mungu wa kweli kuna shida sana...namshukur Mungu kunipa mke, na naishi ndan ya mapenzi yake kila siku......Dhambi kwetu tunaichukia sana sana...tunaikimbia......Damu ya Yesu ndo kila kitu....usikate tamaa kama umependa chukua kama yangu.
 
Nafikiri shida itaanza baba wa mtoto atakapo muita mkeo kutoa mahitaji ya mtoto...Watapasha kipolo
 
Yawezekana na yeye yumo humu anakusoma. Je amekwambia baba wa mtoto ni nani na kwanini hakuolewa naye au alibakwa?

Huyo siyo wa kwanza tupo wengi tulioolewa na watoto na sasa tuna miaka zaidi ya 20 kwenye ndoa na tunapendwa na wakwe kwa saana tu.
 
Nimekuelewa mkuu tafuta wazee wa hekima muelezee mkasa wote,waombe wakawaelezee wazazi...amini mambo yatakua poa..
Labda kama huyo single mother alizaa na ndugu yako au ni mchepuko wa baba

Sent using Jamii Forums mobile app
Mdogo wangu alioa single mother familia wakasita baadaye akawashawishi wakakubali akaoa kwa sasa amezaa watoto watatu but now wametengana kila mtu kivyake.Ni heri ukafikiria kwa akili ya ziada kwani unamtafuta mama yako wa kudumu naye hadi kufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom