Kuna singo Mother mmoja alinitongoza yeye mwenyewe kipind nikiwa na mgogoro mzito na wife.
Wife nimempumzisha nmerudisha Kwao naishi singo.
Nkaona sio kesi, hebu nimkubalie tu nipate pa kupunguzia stress.
Siku ya Kwanza TU nmekula mzigo, kesho yk ananpigia sim mwanae kalazwa aghakan.
Nmefika TU, kanilengesha bill kwa wahudumu
"Baba Mtoto ndo uyu hapa keshafika"
Wahudumu wananikabidhi bill.
NKAONA SIO KESI, nkalipa yote tukaondoka.
Siku ya nyingine, nkala mzigo.
Kesho yake ananipigia
"ukitoka kazini naomba lift, Sina nauli nmemleta mwanangu shule"
Kufika tu eneo la shule, ananambia Mtoto anadaiwa ada na isipolipwa yote Mtoto anarudishwa nyumbn.
Nkamwabia wasiliana na baba ake, akasema hawez kumtafuta maana aliikataa mimba.
Nkasema isiwe kesi, NTACHANGIA NUSU YA ADA,ILIYOBAKI UTACHANGIA MAANA UWEZO UNAO.
Akakubali kishingo upande.
Nkalipa cash nusu Deni, kwa sharti Mtoto aendelee kusoma nyingine baadae.
Baada ya hapo akaanza sarakasi, kutoa mzgo ikaanza kua mbinde,
Vijimaneno vya hapa na pale vikaanza
"Siamini Kama unanipenda, wanao wanasoma shule za gharama ila mwanangu shule ya kawaida tu afu Ada unalipa pungufu"
NKAONA MPUUZI UYU, Fadhila ameifanya imekua wajibu.
NKAONA ISIWE KESI, nkamkatia kabisa Mawasiliano.
Alipoona Nmemkatia Mawasiliano, akaanza kujileta leta leta nyumban majiran wajue ndo natoka nae.
NKAONA ASINILETEE KIWINGU UYU, nkamrudisha Mama watoto kabisa nyumban.
NA NDO UKAWA MWISHO WA MCHEPUKO ULE.
Sent using
Jamii Forums mobile app