Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Single Mama wengi Hudanganywa na mwonekano wa vijana pasi ya kuangalia Vichwani mwa vijana hao na mwishowe hujikuta kujuta,
Uzoefu wangu kwa Single mothers wengi niliokutana nao (na baadhi yao kuwala) waliwakataa vijana waliokuwa na malengo nao kisa Kijana handsome boy mwenye six pack bila hata kuangalia kichwani kuna nini,

Unakuta jamaa limezalisha mabinti kadhaa kitaa na bado halina mbele wala nyuma na bado linaendelea kuzalisha wengine, watalelewa vipi na watasomaje yeye hiyo siyo kazi yake na videmu vinaendelea kumpanulia mapaja kama kawaida,
Au Unakuta binti anapenda kijana hana mbele wala nyuma kisa tu handsome na ana mwonekano mzuri kama Game Over mwishowe anazalishwa na kutupwa mbali,
Iwe funzo. Binti usidanganywe na Uzuri wako, ukishazaa tu na kuachwa huna jipya tena hata kama una miaka 17,
Na hakuna Mwanaume anaejielewa na anaekupenda atakuzalisha akakuacha, Hayupo. Wengi wa wanaume hatutaki kabisa kuzaa na mwanawake zaidi ya mmoja..
Tatizo mkishakuwa na urembo wa teenage na hizo tamthilia mnazoangalia basi mnajikuta wajinga kabisa
Kmmk 😂
 
Mil 3 kwa kila mtoto na wako watoto 3 na hiyo ni kwa mwaka una lingine!!

ukiwa kapuku usifikiri wote wako hivyo

Kuwa kapuku na kuwa zoba ni vitu tofauti. Kugharamia fees za watoto wa mabwana wenzako huo ni uzoba.
 
Sina ukapuku wowote nna gari benzi ila kulipa fees za watoto wa mabwana zako sitaki. Tena ukiniambia hizo java unaondoka kwendraaa
Mwenzio ana Range Tena sio moja, we Ni kapuku uliyechangamka usinipotezee muda
 
Ugomvi wa wanaume na single mother haupo sana kwenye tabia zao kama ambavyo tunaaminishana ila ugomvi huu una historia ndefu kdg.Jamii nzima inashiriki hapa.

Toka zamani enzi za babu zetu wanaume walikuwa wanapenda kuoa bidhaa brand new na kipindi mwanamke alitunza bikra kweli kweli na hata siku ya fungate mashangazi walikuwa wanaenda kupima kama kweli binti alikuwa brand new..

Sasa ugomvi unaanza hapo,deep down wanaume wanapenda mwanamke ambaye hajatumika...maendeleo yalivyokuja kizazi kijeuri kikaingia katikati basi wanaume wakakata tamaa basi wakahamia kwenye binti ambaye hajatumika sana kwa maana ya kwamba atakuwa walau hana mambo mengi kiukweli wote tuliooa saivi krb 95% hatujaoa bikra tutafanyaje zama zimebadilika sana.Leo kuna watu wanakwambia sitaki mwanamke bikra.sasa ki stage mwanamke bikra JAMII imempa thamani kubwa sio tu kwetu wanaume hata wanawake wanajua hilo,anafuata mwanamke aliyetumika bila mtoto na kwanini single mother wanakuwa attacked ni kwasababu jamii inaamini huyu atakuwa katumika kwelikweli hadi kapata mtoto bila kujali ilikuaje kuaje.(No one wants the truth,people are looking for someone to blame.)

Tukumbuke huu ni mtazamo wa jamii nzima sio tu wanaume leo hii ukimwambia dada/mama ako nataka kuoa mwanamke mwenye mtoto,anaweza kukubali kama kakuzoea atakuuliza ina maana wanawake wote hawa hujawaona mpk huyu???na huyo ni mwanamke sio mwanaume...mtaani utasikia wadada wanaongea yule si alizalishwa,mwanaume akamtelekekeza kwa sauti flan km ya kumdharau hivi mwanamke mwenzake,haya wote tunayasikiaga.

Niseme tu jamii ipewe mda kuzoea wanawake wenye watoto kama ambavyo mtazamo ulitoka kwenye bikra ukaenda kwenye aliyetumika napo sawa tu basi na jamii inabidi ikubali kwamba mwanamke mwnye mtoto si alama ya kwamba eti alilala na kijiji kizima ndo mana hadi kapata mimba,Noooo huku mikoani mabinti wengi sana wanapewa mimba na wanaume waliowatoa bikra tena baada ya hapo wanatelekezwa in fact mabinti hawa walishika mimba sababu hawana mdg meaning hawakuwa vicheche..Tusisahau zmn mwnamke akipewa mimba alikuwa anafukuzwa nyumbani ni kama wanamtupa lakini leo,we ulisikia wapiiiiiii?binti kafukuzwa!!!

Picha ya pili sasa kwanini wanaume wanaogopa single maza ni sababu wana historia mbaya na wanaume,Binti aliyempenda mwanaume kwa dhati hlf mwanaume akampa mimba na kumtelekeza lzm ana historia flani chungu sana kuhusu wanaume sasa binti huyu asipojua ku make peace na past yake lazima tu atakuja kuingia kimachale machale sana kwenye mahusiano.Ni hayo machale na mtazamo wake dhidi ya wanaume ambao wanaume wanaogopa...

Dada zangu hii new trend yenu ya kuforce usingle maza eti ukiwa single maza na kazi nzuri ndo unakuwa strong woman siwashauri.Deep down hizi jinsia zetu zinavutana km sumaki kama utaweza kupata mwanaume wakufanya nae maisha bora ufanye nae maisha.Mama angu aliniambia mtunze mkeo hata kama unaona hana thamani sababu utajua thamani yake mkianza kuzeeka..na nyie wadada ukigonga 45 utaelewa why unahitaji kampani pembeni yako sijamwambia mtu ajitongozesheee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani mkuu umeandika hivi halafu hamna hata aliyekupa like??!!!..WanaJF hawaeleweki kabisa.

Kidding..
 
siku ikitokea naoa ntaenda kuoa Kijijini mtoto mdogo bikra wa miaka 15 maana sheria inaruhusu na pesa nazo za kutosha.natoa na mahari kiroho safi kabisa tena yote sibakizi hata sh.100
 
Kiukweli nimefarijika sana, kama mnakumbuka kuna uzi nilisha uleta humu wa kutafuta mtu wa kumuoa moja ya Toleo langu la single maza....aider Mungu mkubwa kuna jamaa kajitokeza kaposa tayari na kumvisha pete ya uchumba. Ambacho ndio kilikua kilio changu kuona wale wanawake nilio date nao wale wanao jielewa waolewe kwani nilikua najisikia vibaya kuwaona umri unasonga tu bila kuheshimishwa.

Ila jambo linalo nikera hawa single mom wangu nilijipinda nika wawezesha na wapo vizuri kiuchumi. Ila haka kajamaa naona kama kametelezea ganda la ndizi maana kamepitwa kiuchumi na my single mom , so hichi kitu kinanipa headache.

Ila nimeamua kuvumilia tu ,naamin ipo siku nitazoea na itakua kawaida.

Asante
 
Ukichunguza sana unaweza kukuta single mom wako ndo kajiweka kwa jamaa na hata mahari atajitolea mwenyewe. Fuatilia kimya kimya ukipata jibu ukiona kuna umuhimu wa kushea uje. Usichezee mademu wa siku hizi na ndoa. Tehe tehe tehe
 
Pole sana. Ndo maisha, kinachofata ataanza kunawiri halafu unaweza ukamtamani. Usisahau tu kuwa mke wa mtu sumu....
 
Acha kukaonea wivu kajamaa kanavyoteleza kwenye ganda la ndizi😂😂😂
 
La! La! La! La!

Ila wakiwa nyuma ya keyboard kwa wingi wao utasikia ndoa kitu gani.
Ukichunguza sana unaweza kukuta single mom wako ndo kajiweka kwa jamaa na hata mahari atajitolea mwenyewe. Fuatilia kimya kimya ukipata jibu ukiona kuna umuhimu wa kushea uje. Usichezee mademu wa siku hizi na ndoa. Tehe tehe tehe
 
Ukichunguza sana unaweza kukuta single mom wako ndo kajiweka kwa jamaa na hata mahari atajitolea mwenyewe. Fuatilia kimya kimya ukipata jibu ukiona kuna umuhimu wa kushea uje. Usichezee mademu wa siku hizi na ndoa. Tehe tehe tehe
Hii itakua kweli maan kajamaa ni fresh graduate na hata graduu hajafanya bado .

Ila ndio ishakua tutafanyaje sasa
 
Pole sana. Ndo maisha, kinachofata ataanza kunawiri halafu unaweza ukamtamani. Usisahau tu kuwa mke wa mtu sumu....
Hahaha sidhani kama kuna kunawili zaidi ya hapa maana nilisha mtengenezea mazingira ya kumiliki biashara zake na yupo vizuri si unajua tena mwanamke akiweza kula,kubadirisha nguo na nywele Kwake maisha ndio yameishia hapo hahahaa labda kajamaa kamchakaze
 
Kiukweli nimefarijika sana, kama mnakumbuka kuna uzi nilisha uleta humu wa kutafuta mtu wa kumuoa moja ya Toleo langu la single maza....aider Mungu mkubwa kuna jamaa kajitokeza kaposa tayari na kumvisha pete ya uchumba. Ambacho ndio kilikua kilio changu kuona wale wanawake nilio date nao wale wanao jielewa waolewe kwani nilikua najisikia vibaya kuwaona umri unasonga tu bila kuheshimishwa.

Ila jambo linalo nikera hawa single mom wangu nilijipinda nika wawezesha na wapo vizuri kiuchumi. Ila haka kajamaa naona kama kametelezea ganda la ndizi maana kamepitwa kiuchumi na my single mom , so hichi kitu kinanipa headache.

Ila nimeamua kuvumilia tu ,naamin ipo siku nitazoea na itakua kawaida.

Asante
Duh, bado siku saba tu, hakikisha kura zote ni kwa CCM
 
Back
Top Bottom