zege la nyasi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 938
- 1,255
Naona singo maza mmoja kachomoa betri huku.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawah gongewa na muuza gengeMkuu kweli wanagongewa..Huyo wako hua anakuaga anaenda kumpa Muuza genge nyuchi... Atarudi na nyanya na fungu la dagaaa?
WaziSio kuwa legelege hapa haihitaji nguvu,ni maamuzi magumu tu tuachane...kila mtu afanye ya kwake
Hahahahah jamaa hela hana basi hata mkwara kuonesha uanaume wake napo pia chenga?
Watu kama ninyi wapare huwaita "cuckold".Hivi unaweza kushea penzi kwa mke wako na lijamaa lingine? "nampa tu mara moja ananisumbua sana"
"Kwani nikimpa inaisha?" Hayo ni baadhi tu ya maneno ya mke wangu sasa ivi imekuwa ugomvi tu, hivi ukigundua mke wako amenyanduliwa na mtu wake wa zamani, unaweza kuishi naye kama hakujatokea kitu chochote?
kwa kuruka viunzi tu,hujambo.Mhh hii ni mada nyingine ifungulie siledi yake, tujadiliane jinsi ya kufundisha watoto watunze bikra zao.
Sidhani kama kuna Mwanamke anaweza kumjibu Mume wake hivi ikiwa hakukuwa na ugomvi au majibizano ya hovyo miongoni mwao. Atafikaje kusema hivyo?"Kwani nikimpa inaisha" kakuonaje aisee mpaka akujibu hivyo? [emoji848]
Nipo.... 🥰[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Umepotea msweetie, yes hiyo ni kote kote una apply
My niggah😂!!! Lets drop some grown folk teach...Yan jamaa limetafuta namna ya kutuambia he is BROKE and a JIGOLO sasa ndio kaja na alternative story ila wafungua code tumeelewa, This homie needs motivation speech on how to GRIND HARD...SIO USHAURI WA KUENDELEA NA HUYO MWANAMKE....
Hivi kwenye hii mada asiejielewa ni Mwanaume au Mwanamke?Duuuuh..... Wanaume design yako wanapatikana wapi Jamani...maana Mimi nakutanaga na wanaume wanao jielewa...Dooh Mungu usinipe mwanaume Kama Huyu...Mdhaifu..
Pole Kaka...
Jamaa anaweza kuwa sio dhaifu ila Mwanamke ndio Malaya na ana maneno machafu na malezi ya hovyo.Mkuu..shida Sio single mother, shida Ni Huyu mwanaume... Mwanamke unatoa wapi UJASIRi wakumwambia mwanaume...naenda KUTOMBWA tu Mara mojaa...nikimpa haiishi....Inamaana Huyu mwanaume Ni dhaifu Tena udhaifu uliopitiliza
Point iko hapaJamaa anaweza kuwa sio dhaifu ila Mwanamke ndio Malaya na ana maneno machafu na malezi ya hovyo.
Itakuwa ndio sababu ya kuachana / kuachwa na aliyemzalisha mwanzoni
Sasa Kwanini asimuache?..Katika Hali ya kawaida mwanamke hawezi kutamka hayo maneno....Jamaa anaweza kuwa sio dhaifu ila Mwanamke ndio Malaya na ana maneno machafu na malezi ya hovyo.
Itakuwa ndio sababu ya kuachana / kuachwa na aliyemzalisha mwanzoni
Pole sana ndugu.Piga chini hiyo nyama.Hivi unaweza kushea penzi kwa mke wako na lijamaa lingine? "nampa tu mara moja ananisumbua sana"
"Kwani nikimpa inaisha?" Hayo ni baadhi tu ya maneno ya mke wangu sasa ivi imekuwa ugomvi tu, hivi ukigundua mke wako amenyanduliwa na mtu wake wa zamani, unaweza kuishi naye kama hakujatokea kitu chochote?