Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahhaahah hata me namtaka jamaniMwenza ukisikia sehemu yupo wa hivyo nishtue, namtaka
Wewe hujaoa,umeolewa ndio mana unapewa majibu hayo..mwanaume huwa hajibiwa kipumbavu hivyoHivi unaweza kushea penzi kwa mke wako na lijamaa lingine? "nampa tu mara moja ananisumbua sana"
"Kwani nikimpa inaisha?" Hayo ni baadhi tu ya maneno ya mke wangu sasa ivi imekuwa ugomvi tu, hivi ukigundua mke wako amenyanduliwa na mtu wake wa zamani, unaweza kuishi naye kama hakujatokea kitu chochote?
Umejibu vzr...nadhan hapa ndio pale tunarudi kusema...Mkuu..shida Sio single mother, shida Ni Huyu mwanaume... Mwanamke unatoa wapi UJASIRi wakumwambia mwanaume...naenda KUTOMBWA tu Mara mojaa...nikimpa haiishi....Inamaana Huyu mwanaume Ni dhaifu Tena udhaifu uliopitiliza
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] We kitoto nikukukamata nitakuchapa nazo usoni hizo unazozitaja
Ahaaaaaaaaa wacha kutudanganya huyo sio mkeo.na kama ni mkeo wanaume acheni kuoa wanawake wanaowazidi vipatoHivi unaweza kushea penzi kwa mke wako na lijamaa lingine? "nampa tu mara moja ananisumbua sana"
"Kwani nikimpa inaisha?" Hayo ni baadhi tu ya maneno ya mke wangu sasa ivi imekuwa ugomvi tu, hivi ukigundua mke wako amenyanduliwa na mtu wake wa zamani, unaweza kuishi naye kama hakujatokea kitu chochote?
Aisee huna kazi ya kukuweka bizzeIkanibidi nianze kufanya uchunguzu yakinifu nikaanza kujenga ukaribu na house girls wake nikapata some ingo though sikutosheka ikabidi niwe ninafatilia nyendo za huyu shemeji yangu ebhana sikuamini kuwa yule six packs analala mule mule ndani ya nyumba ya swaiba yangu na gari anatumia ya shemeji
Unataka unipe kazi wewe single mother?Aisee huna kazi ya kukuweka bizze
Unafaa kuajiriwa FBI au MOSSADSwaiba yangu wa karibu sana anaishi Mombasa but familia yake ipo Dar huwa anakuja once in a month!
Mke wake aliwahi kuzaa before marriage na bahati mbaya sasahivi mkewe na baba mtoto wake wa kwanza/ex wamerudiana kimya kimya na wanapasha viporo.
Swaiba yangu alikuwa haishi kuniambia kama kuna mtaalamu wa natural herbs nimconnect apate dawa za kupunguza kitambi sikumwelewa!
Kumbe mkewe hapendi kitambi na huyo baba watoto wake ana six packs mbavu nene.
Nilivyobahatika kumwona kwenye birthday ya huyo mwanaye ndipo nilipopata picture baada ya kumwona yule ex amejaza kifua na six packs za hawa vijana ambao mostly are jobless nikaconnect dots.
Ikanibidi nianze kufanya uchunguzu yakinifu nikaanza kujenga ukaribu na house girls wake nikapata some info though sikutosheka ikabidi niwe ninafatilia nyendo za huyu shemeji yangu ebhana sikuamini kuwa yule six packs analala mule mule ndani ya nyumba ya swaiba yangu na gari anatumia ya shemeji yangu.
Sio siri nimeumia sana but I can't manage to tell the truth to my friend.
Ninahofia nikimwambia ukweli;
1,Nitaharibu ndoa yao
2, Nitaharibu maisha yao
3, Nitaharibu maisha ya watoto wao
4, Nitasababisha vita kali sana.
Mnanishauri nini wadau juu ya huyu swaiba yangu?
Mimi ninawashauri msioe single mothers ambao baba zao wapo hai jamani hawa watu hawaachanagi jumla na baba watoto wao.
Sent using Jamii Forums mobile app