Fohadi
JF-Expert Member
- Jul 24, 2020
- 772
- 2,421
Tumekumiss sana..si unajua ule uzi wetu pendwa kule bila uwepo wako siku hizi unapoozanipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumekumiss sana..si unajua ule uzi wetu pendwa kule bila uwepo wako siku hizi unapoozanipo
[emoji23] yameshanikuta mimi apa anayejifanya kichwa kigumu shauri yakeHawa single maza wengi wao ni umalaya tu ndio ulikuwa unawasumbua, japo si wote wengine walizalishwa kwa bahati mbaya. Ngoja niwape mfano juzi kati nilienda mkoa fulani nikakutana na mtoto mzur basii stor mbil tatu nikaingiza maneno mazur mtoto kaelewa, nikaanza kujipigia badae akaniambia mara mtoto wangu sijamwacha powa, nikamuuliza kumbe una mtoto! Akasema yap, nikamuuliza wewe uyo mtoto ulimpata lin akasema tangu yupo kidato cha pili! Nikaguna kidog yan huwez amin uyu manzi imajini alikuwa anasafir kutoka mkoa mmoja mpk mwingine yupo kidato cha pili apo anafuata mkulungenge, sasa nyie mnaojifanya mnapenda penda ovyo sana single mama endeleeni kitachowapata mtajua wenyewe
Ila we jamaaa [emoji23][emoji23] mhurumie mwenzako anatafuta hifadhi [emoji26][emoji26]Hujaujua utamu wa single mazas wewe, wanajua kuwajibika mno maana option ya kuolewa tena ni nadra.Na wahuni wanasererekea humo kwa free pumbu service.
Mi kuna mmoja alijaa akawa ananijia resi mno nikaweka, akataka kuniganda nikamfungia vioo...Alishaanza habari za kuimagine ndoa baada ya kumgongelea nchi 6 za uhakika. Well im too young to have such kind of woman, siwezi kuoa single mama aisee, as long as jukumu langu ni kutafuta pesa tu..Sitakosa mwanamke fresh nina imani!
Hata hizo simulizi zao zinaweza zisikupe hitimisho sahihi mana kila mtu atajitetea aonekane hana kosa na mwenzake ndo ana kasoro.Kabla ya kuoa single mother, mdadisi ni kwa nini asiolewe na aliyezaa nae, kisha mtafute aliyezaa nae umdadisi akueleze sababu ya kutomuoa. Jumlisha sababu za pande mbili tafuta wastani, jibu litaamua uoe au usioe.
Hata mchongoma una matunda ila haujawapigwa mawe 😛😛Aiseee single mama oyeee..mti wenye matunda ndo unapigwa mawe always ahahaahaha
Erca, mi ni singo faza, njoo tumlee huyu binti pamoja [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]Hata kuolewa na single father ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa[emoji1787][emoji1787]
Tutamlea tu vizuri SHIMBA YA BUYENZE Ila muache kutusimanga kila siku Kwan bila nyie single mothers wasingekuepoErca, mi ni singo faza, njoo tumlee huyu binti pamoja [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]
Sawa nitakusubiri. Nikukumbushe baada ya miaka mingapi?Tutamlea tu vizuri SHIMBA YA BUYENZE Ila muache kutusimanga kila siku Kwan bila nyie single mothers wasingekuepo
Ila subiri nami nimpate walau mmoja ili ngoma iwe droo[emoji23]
MiwiliSawa nitakusubiri. Nikukumbushe baada ya miaka mingapi?
View attachment 1834283
Noted. Tuombe uzima [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Miwili
AminaNoted. Tuombe uzima [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Pole jidanganye, ukiona Ameolewa anatafuta FARAJA akiona hamna faraja anaondoka, kumbuka faraja sio maneno.Mwanamke aliyezaa ana raha yake bhana.... 1: Ana adabu. 2; Anajua maisha.hata mkilala njaa yeye poa tuu. 3: Ana njia nyingi za mafanikio. 4; ni mvumilivu.... Lkn hivi vibint ambavyo havijui moja wala mbili vinakwenda kujifunzia Kwa mwanaume ni shiidaaa sana.. Vinaropoka mpk siri za ndani.....
Sent using Jamii Forums mobile app