Bonjour.
Aisee sio poa ndugu zangu, yani siku hizi single mother zimejaa sana mtaa, daaa. Yani kila Dem nikitongoza kwa ajili kuwa nae kwenye mahusiano, katika kumi, tisa ni single mother. [emoji2]
Mpaka kuna mda na stop kwa kutongoza tongoza, na mm Dem akishaniambia ana mtoto, aise moto unakata kabisa, kwani nyie madem mnaferi wapi? Au ndio utam wa pipi bila maganda.
Na katika wanaume kumi, wanaume tisa hawataki kabisa kuoa single mother, hii ratio sio poa kabisa.
Mimi sitaki kabisa, kuja kulea bao la mwanaume mwenzangu wakati huyo mwanaume mzima na hema.
At least kwa single mother aliye fiwa na mume wake, na cheti cha kifo tukione.