Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
ππππππDahWalishajaribu kunivamia home siku moja nilimbonda makofi dada yao wakaniandikia family notes tukikutana town kila mtu na hamsini zake.
Mtoa mada ajaribu kuliaSio kila mtu anaweza kujiattach, some people wanathamini ile βreal connectionsβ Ile kama ya masela wakikutana kijiweni wote wanapiga story kwa usawa, haijalishi nani ni nani, na nani ni nani.
Kissing ass ni an early learned trait, kama hukujifunza hii mapema ukubwani hutaweza.
Ili usavaivi kwenye familia za namna hii, Itβs either youβre an ass kisser ufanikiwe or youβre not ujisikie kama mleta mada anavyojisikia, thereβs no inbetween.
Familia za kishua zinaishi kama (serikali ya CCM inavyo-operate) uchawa na uongo uongo.
Mi kuna siku niliuliza mbona tunaishi kama tuko kazini? Nikaambiwa nijifunze ku-navigate family politics, and just like that i was out.
Kiukweli kama huwajui hawa watu utasimplify mambo, If you have nothing inahitaji uwe mtu wa personality yao..
πππHuyo kwenye profile ni ww mkuu unaonekana hujajipata bado,wanaokudharau watakudharau tena usipopambana
DahππππNa bado ipo siku atakuuliza kwani wewe na familia yenu wote bei gani
πππππππUmeamua umgawe sasaFiction? njoo nikupee mke wangu bure staki
Lakini Yule jamaa alimpiga sana mke wake,Wewe itakuwa Kuna favor ulipokea Yale Yale mnapewa Kiwanja wakati wa harusi unaanza Kujenga apo Kwa akili kuwa ni kwangu au mnapewa nyumba na Wewe unahamia
Huyo ni Mkeo Ingekuwa Mimi apo mzee mbona angejua hajui kwanza mtu akishakuwa mke wangu Mimi ndio Nina final say nae
Sasa mzee anafanya intervention Kwasbabu Kuna sehemu ulionesha weakness narudia usi accept favor za ukweni hata uwe na shida kiasi gani this is for your own peace of mind hapo baadae ukiweza limit kabisa interaction ya familia yako na ukweni iwe kidogo sana
Kule Kenya Mike Mbuvi Sonko yule Ex governor wa Nairobi alienda Kwa mkwewe na mabaunsa Yani imagine mpaka baunsa wanampiga makofi jamaa kisa tu mtoto wa kike wa Sonko kapigwa na Mumewe, Mike Sonko alienda mbali na kumwambia jamaa kuwa anawalisha na anasomesha wajukuu zake bado anatesa mwanae
Sasa unaona huu upuuzi wote umeletwa na Ujinga wa mshikaji tu kuruhusu Favor za ukweni kwenye Maisha yetu haya kama mwanaume have some principles ukizi violate wakati huu who for just personal gain just consider it as a loan, You will pay it later miserably
Unajua wao wanapata wapi nguvu ya kufanya hivyo? Nguvu wanaipata na wana ujasiri wa kufanya hivyo kwa sababu mkeo anakudharau na wanajua.Ndio nachokipitia mkuu yaani kila nikijitahidi kujiattach na kujipendekeza pendekeza napigwa knok out nakaa pembeni kwanza ila naona dharau za mke na wakwe zangu zimezidi
Mkuu huna mkeHataki maagizo yangu yaani mpaka aamur yeye kufanya kutokufanya tendo la ndoa mpaka nimbake hii ndio kesi iliyotupeleka ukweni
Kausha ma parokwoUnamdanganya mwenzako
Haya umeyaruhusu mwenyewe. Umeruhusu mwenyewe kudharaulikaNajuta sana mkuu leo nimepigwa knok out mbaya sana hivi huyu mzee ananichukuliaje yaani
Shida sio wao, shida ni mkao wako tangu unaingia kwenye hiyo familia. Ulivyojiweka ndivyo utakavyofanywaYaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.
Leo nimeitwa kwenye kikao ukweni asubui naulizwa nina nguvu gani ya kumuamrisha mke wangu kufanya asiyojisikia kufanya Baba mkwe ananiambia kama nimemshindwa nimrudishe na mahali yao wanirudishie kwao anayo nyumba yake ataishi kwake na watoto wako wakuu hizi dharau sana nimetoka pale kwa wakwe yaani hata nyumbani kwangu sirudi nimeshushiwa heshima sana.
Bora kuoa mwanamke ambaye mnafanana uwezo ila hawa geti kali hawa tuwaone hivi barabarani ni manyanyaso tu ukiwa nao ndani.
Nimeanza kulewa.
Mna watoto wangapi?Kapeleka mashtaka kwao maana upande wao na kwetu hawaelewani ishu ilianzia siku nilivyoenda kutoa mahali kuna hela ilipungua wakaona dharau lakini kwa undani walituona ni watu maskini tu so mpaka ndoa inafungwa pande mbili kama hazisomi network mke ndani hataki kufuata maelekezo yangu anataka yake mbishi ni kiburi maana amepata nafasi mahali fulani nyeti nimechungulia mshahara mkubwa ila hajaniambia sasa hii ishakuwa nongwa.
Comrade!Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.
Leo nimeitwa kwenye kikao ukweni asubui naulizwa nina nguvu gani ya kumuamrisha mke wangu kufanya asiyojisikia kufanya Baba mkwe ananiambia kama nimemshindwa nimrudishe na mahali yao wanirudishie kwao anayo nyumba yake ataishi kwake na watoto wako wakuu hizi dharau sana nimetoka pale kwa wakwe yaani hata nyumbani kwangu sirudi nimeshushiwa heshima sana.
Bora kuoa mwanamke ambaye mnafanana uwezo ila hawa geti kali hawa tuwaone hivi barabarani ni manyanyaso tu ukiwa nao ndani.
Nimeanza kulewa.
Asikutishe wala wasikutishe,kama walikuoza mwanamke ili akunyanyase hilo usilikubali,koma huyo ni mke wako anachotakiwa ni kutii maamuzi yako,kinyume cha hapo waje tu kumchukua,utakuja kufa na mapresha bila ya sababu...Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.
Leo nimeitwa kwenye kikao ukweni asubui naulizwa nina nguvu gani ya kumuamrisha mke wangu kufanya asiyojisikia kufanya Baba mkwe ananiambia kama nimemshindwa nimrudishe na mahali yao wanirudishie kwao anayo nyumba yake ataishi kwake na watoto wako wakuu hizi dharau sana nimetoka pale kwa wakwe yaani hata nyumbani kwangu sirudi nimeshushiwa heshima sana.
Bora kuoa mwanamke ambaye mnafanana uwezo ila hawa geti kali hawa tuwaone hivi barabarani ni manyanyaso tu ukiwa nao ndani.
Nimeanza kulewa.
Kama ana akili ataelewa hii commentMambo hayapo hivyo, wewe ndio mwenye shida.
wakati anatoa mahari itakuwa alikuwa kapandisha mashetaniTena kapigwa Iv kweli bongo kuna mwanamke tena siyo bikra wa kutoa million 8 kweli jamaa kunasehemu hayuko sawa