Kuna wakuu wa mihimili wamepewa madaraka halaf hawajui majukumu Yao, inapofikia mahali spika anapewa Amri tena hadharani na mkuu wa mhimili mwingine, tena mtu unayetakiwa umsimamie na kumshauri ndo kwanza yeye anaanza kukusimamia na kukushauri jinsi ya kumshauri
 
Mwanzoni alianza vizuri lakini sasa hivi bunge limemshinda bora hata akikaa zungu pale huwa linakua bunge......huyu mgogo nadhani alivyoenda kutibiwa kuna screw walisahau kuzirudishia.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Walisha sema sifa zao ni kujua kusoma na kuandika. Si unamuona Rais wa Dar?
 
nimewatuma Shilawadu wafatilie kadi yake ya Kliniki huko Apollo India tujue kilichomo ndani.
Itakuwa vizuri ili stress management iwe customized kutokana na tatizo. Shilawadu wapitie pia maisha yake kwa ujumla iwe ni ndoa,familia na mengine. Kiukweli spika ni mtu mkubwa sana na anastahili kusaidiwa ikibidi ili aendelee kuifanya kazi yake kwa viwango tunavyoviona akiwa ametulia.
 
Kama tutaamua kwa nia njema tu, kwenda kumpima Ndugai kisaikolojia (psychology) majibu tutakayopewa inaweza tusiamini.

Anatatizo sana la kiaakili.
Hapaswi kulaumiwa kwani hata yeye hapendi kuwa na ile hali.

Kwa busara tu si vyema kumuamini aongoze chombo kama bunge.
 
Hautaelewa maisha yako yote
 
Nakumbuka wakati wa uchaguzi katika kura pendekezwa pale jimboni kwao, alimtandika mtu fimbo za kutosha .
 
Jamani mbona mlimsifia sana huyu Ndugai na kumponda naibu wake sasa vipi?
 
Reactions: nao
Jamani mbona mlimsifia sana huyu Ndugai na kumponda naibu wake sasa vipi?
Hawa wana mzuri basi marehemu sita, mama Anna.Ndugai, makamu wake wote wabaya yaani ni sawa na mtoto wa kambo hana shukrani hata ufanye nini utalaumiwa tu ndo hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…