Namuomba Mh. Spika wa Bunge letu aache Jazba katika uongozi wake na aachie wabunge watoe mawazo tofauti zidi yake bila kuonyesha chuki zidi ya watakao mkosoa.

Kitendo cha Spika wetu kusimama na kuanza kuwatisha wabunge wenye mawazo tofauti inaonyesha wazi jinsi huyu Spika hajakomaa kiuongozi na zaidi ametawaliwa na umimi na utemi wa kishamba ambao haustaahiki kuonyeshwa na Kiongozi wa aina yake. Hivyo basi nikiwa kama Mtanzania wa kawaida "just a ordinary citizen" Nakushauri Mh.Spika Achana na ubabe huo na watumikie Watanzania wote kwa UNYENYEKEVU !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli katika maspika ambao ni kiazi nadhani huyu ataongoza, kwanza anataka aogopwe kama mungu vile, ndugu yangu punguza jazba zinakupunguzia hekima sana, tunakumbuka uliwahi kumpiga mgombea mwenzio kwenye ubunge, hapo bungeni we ni kiongozi mkuu hivyo onyesha hekima sio kila wakati we ni kuwafokea wabunge hasa wa upinzani utadhani ni watoto wa shule, pia naomba upunguze na maneno ya utani, huna silika ya utani wala hupendezi kwa hilo.
 
Ni Muumini wa Dhehebu gani huyo mtu... Hivi Tanzania kuna Makatiri wangapi? Sema Wapinzani acheni kuchokoza wenzenu... Binadamu tuna hasira
 

Ni Muumini wa Dhehebu gani huyo mtu... Hivi Tanzania kuna Makatiri wangapi? Sema Wapinzani acheni kuchokoza wenzenu... Binadamu tuna hasira


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzazi mwenzako niko nimeachishwa kazi kwenye pae ulipokuwa mjumbe wa bodi namshukuru mtoto wetu amekuwa na anaendelea vizuri. Lakini yule mwingine anayeitwa democracy amedumaa kwa ajili ya utapia mulo.
 
neno moja tu " unavofanya sasa umelewa ushabiki Wa CCM katika kazi uliyopaswa kuwa neutral pa1 unatoka CCM.

bunge limeshuka mno thamani kipindi chako?

unaongea km Lyman.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…