Mwambie Huyo Dogo
 
Usinitishe narudia tena usinitishe na wala msijione ya kwamba ninyi ndio wakamilifu Tu kuliko dini zingine. Full stop
Hakutishi anakueleza ukweli pee...Hata Mimi siwapendi lakini sasa nafanyaje wakati Dunia wameishika wao?
 
Afrika inaangamia kwa ukosefu mkubwa wa maarifa. Samia na serikali yake wanaingia huo mkataba kwa sababu ambazo walizieleza kwa kina na zikaeleweka.

Hata mkatoliki mwenzangu hayati JPM aliijenga reli ya SGR kwa trilioni 17 ili ibebe mizigo mikubwa zaidi yenye kulipiwa kodi kubwa zaidi itakayokwenda kuongeza pato la TRA.

Hao maaskofu wanayo haki ya kukataa kuunga mkono azimio lakini maamuzi yao hayawezi kuiyumbisha serikali ishindwe kutekeleza matakwa ya ilani yake ya uchaguzi.
 
Hujielewi wewe... Nauwenda elim Haina faida nawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…