Mzee Wa Kale Kabisa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 2,621
- 4,322
Kwa kupiga tu sio mbayaKuoa single mother ni sawa na kuonja sumu .
Mimi single mother hata kuwa nae katika mahusiano tu siwezi kwa sasa sembuse kuoa kabisa.
Kwa sasa nikitokea mwanamke swali namba moja ni je ana mtoto kama ikiwa ndio nakata mawasiliano kimya kimya .
Single mother wengi wao ni poison.
Tafadhar share huo MKASA mkuuWrite your reply...muhuni wangu cheddy alikufa kifo cha kizembe kisa hawa hawa single mother na tulimuonya kabisa single mother sio wanawake wa kuoa hakuskia
embu ona wivu wa mapenz ulipomfikisha ipumzike kwa amani roho yake
Tupeni story kamili basiHuyo kupashana kiporo ni changamoto, ila huyo mwanamke hatakaa kwa amani, laana ya chedi itamtafuna sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Suala sio mtoto au single maza, issue ni kuwa na mtu aliyekuwa tayari kwene mahusiano, maana kuzaa ni matokeo tu kwaiyo kufananishwa/kulinganishwa tabia ata ma ex huwa wanalinganishwa na ma current ones😎😎😎Hii ni kwa wale tuliowahi kujilipua na kua na mahusiano na hawa wanawake wenye watoto tayari (single mothers).
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee nikikumbuka nasikitika sanaaa!
Ok kwa upande wangu yule mwanamke niliyewahi kua nae alikua na mtoto mmoja, ila hizi kauli zake zilikua zinaniboa sana na nilikua namwambia aachane nazo maana ipo siku tutaachana kwa ajili ya kauli zake za kijinga kama zile maana nilikua najihisi kama nipo na MKE WA MTU.
kauli zake zilikua kama :-
1. Yaani we mtoto unaroho mbaya sijui umeitoa wapi, mbona baba yako ana roho nzuri tuu?!! (wakati anamgombeza mtoto wake hapo)
2. Yaani huyu mtoto wangu ana lips [emoji182] nzuri kama za babaake
3. Yaani unafanyia mimi hivyo?! Hata baba Corona tumeishi nae sana lakini hakuwahi kunifanyia hivyo?! (mkigombana tuu kidogo anamsifia baba wa mtoto wake)
4. Leo baby hivi viatu ulivyonunua vizuri hata baba Corona alikua navyo kama hivi ila vyake vilikua vipya kabisa alinunulia dukani!
Nikaona isiwe tabu, Ngoja nitafute ambae hajazaa.
Kama nawewe ulishawahi kuishi na single mother hembu shusha kauli hapo alizokua anazitoa lakini kwa upande wako ilikua anakukera sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kupiga tu sio mbaya
[emoji16][emoji16][emoji16] mambo yakuitwa anko wakati uwezekano wa kuitwa baba upo ni ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzio wanalea vizuri kabisa ata ukionana naye lazima atakupa pesa kanunue chakula mtoto ale...hahahhaaaa watu wanatofautiana tena bila kuombwa kabisaaaaaNilitokea kumuelewa huyu binti hata kama ni singo maza, Ila imepita siku moja tokea nimtongeze na akaanza yake
" Mtoto leo ucku ataki ugali anataka chips ukija kunisalimia uje na chips. Nikamjibu ninazalula leo sitafika.
Ikawa anapenda kuniomba ela sana nikaona ni quit.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio noma zaidiSasa kama amezaa na wababa wawili tofauti hapo itakuwaje
Labda kupiga na kupita hiviKuoa single mother ni sawa na kuonja sumu .
Mimi single mother hata kuwa nae katika mahusiano tu siwezi kwa sasa sembuse kuoa kabisa.
Kwa sasa nikitokea mwanamke swali namba moja ni je ana mtoto kama ikiwa ndio nakata mawasiliano kimya kimya .
Single mother wengi wao ni poison.
No Woman......No Crysijawahi kumuona akienda kanisa so siwezi jua tulikuwa mda mwingi tupo nae maskani ye mwenyewe ukimuuliza dini anaamini ktk amani,upendo na kufanya matendo mazuri ndo dini
alimgharamikia sana yule single mama alimlelea mwanae kama mtoto wake vile na alisaidia sana ndugu wa mwanamke kumbe yule mama anaona kisirisiri na baba mtoto kiporo kinapashwa
OkMi na stick tu hapo kwa "wanawake masingle mother ni watamu ile mbaya,,""
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mzazi mwenzie na single mother yaani mkeo akimtumia Zawadi ya chakula mkeo imekaaje?
Yaani mfano unaishi Dar na mwanamke wako, mzazi mwenzie yuko Mbeya akamtumia mchele
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni kama Mimi lakini mimi naona napata mawazo sanahujakosea bro, and we are very happy...... na mimi nlikuwa single dad
Kwa mapenzi ya kugiza, wapo vizuri...Kupiga sawa ila kauli za kulinganishwa na aliyezaa nae sipendi pia wengi wao wana mapenzi ya kuigiza sana, unaweza kukolea akakuachia manyoya sitaki kuwaamini single mother maana wengi wao wanastress za maisha.
Mawazo ya nn mkuu
Kwanza kwanini akupe umsalimie kwani anakuhusu nini[emoji23][emoji23]Mie nilikuwa nikimpigia simu akimpa mtoto simu anamwambia msalimie mjomba! Nikaona kama Mimi naitwa uncle kuna anaeitwa baba! Nikajikata ingawa haikuwa rahisi Sana kuvunja mahusiano