Heisenberg blue meth
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,310
- 1,633
Aseeeutasikia " nitafanya chochote ili mradi mtoto wangu aishi maisha ya furaha "
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa inatakiwa tuwapitie tuuUtakuta upo nae...pengine dogo akazingua kidogo halafu wewe kama mzazi ukamgombeza dogo kidogo..utasikia kitoto kinali na kwenda kwa kama yake...mamy i want dady...shenzy kabisaaa
[emoji23][emoji23][emoji23] "hata baba yake hapendi kabisa maji ya baridi! "Gesi imeisha. Mtoto hawezi kuoga maji ya baridi
No commentSijaoa na sitaoa single mother, ila sina chuki na nao kiasi cha kuwazulia visa vya uongo, ni immaturity ya hali ya juu sana, nadhani angekukosoa mwanamke ungemuita ni single mother, sio kila mtu anachuki nao,
Pengine unasumbuliwa na stress za maisha na unakuja kushambulia single mother mtandaoni ili kujifariji, pole sana
Kuna mmoja juzi nimekutana nae viwanja ilikuwa thursday nimemlisha bia mwisho wa siku namwomba tukalale wote akasema haiwzekani maana kesho inabid amuwaishe mtoto wake kupanda school bus...😡
Kwa kifupi hawako romantic muda mwingi wanawaza watoto wao....Kama alivosema mdau hapo juu hawa watu ni kupiga na kusepa haifai kutangaza nao ndoa utapata stress tu
Sasa we ulitaka aahirishe kumpeleka mtoto alale na wewe?Kuna mmoja juzi nimekutana nae viwanja ilikuwa thursday nimemlisha bia mwisho wa siku namwomba tukalale wote akasema haiwzekani maana kesho inabid amuwaishe mtoto wake kupanda school bus...😡
Kwangu mimi hapo MTOTO ndio kikwazo cha kutopata nilichokusudia kukipata...imagine angekuwa ajazaa ina maana ningepata hitaji langu....Kikwazo ni MTOTO aliezalishwa na mwanaume mwingine alietengana nae
Ulilazimishwa na nani kuwa nae?Kwangu mimi hapo MTOTO ndio kikwazo cha kutopata nilichokusudia kukipata...imagine angekuwa ajazaa ina maana ningepata hitaji langu....Kikwazo ni MTOTO aliezalishwa na mwanaume mwingine alietengana nae
Anahasira maana anajua hapo kuolewa tena ni changamoto na labda anajijua yeye ndio mwenye tatizoAsanteni sana wote mliochangia huu Uzi kuhusu single mother, hakika elimu nimeipata ya kiwango kikubwa sana.
My aunt ni single mother ana hasira sana, sijui tatizo ni nini?
Kwahiyo yeye akapashe tu huko mkewe avumilie tu!single dad ndo anahudumia familia.aliyekodi ngoma ndo anaamua wimbo gani uchezwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kifupi hawako romantic muda mwingi wanawaza watoto wao....Kama alivosema mdau hapo juu hawa watu ni kupiga na kusepa haifai kutangaza nao ndoa utapata stress tu
Sema hata wewe ubinafsi wa wanaume huo!Kwa hiyo ukiwa unahudumia familia kupasha kiporo inakuwa sio kosa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yan ana hasira kitu kidogo tu anawaka kama mbogo hadi vitu vingine ni vya ovyo yeye tayar.Anahasira maana anajua hapo kuolewa tena ni changamoto na labda anajijua yeye ndio mwenye tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app