Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Sijaoa na sitaoa single mother, ila sina chuki na nao kiasi cha kuwazulia visa vya uongo, ni immaturity ya hali ya juu sana, nadhani angekukosoa mwanamke ungemuita ni single mother, sio kila mtu anachuki nao,

Pengine unasumbuliwa na stress za maisha na unakuja kushambulia single mother mtandaoni ili kujifariji, pole sana
No comment
 
Kuna mmoja juzi nimekutana nae viwanja ilikuwa thursday nimemlisha bia mwisho wa siku namwomba tukalale wote akasema haiwzekani maana kesho inabid amuwaishe mtoto wake kupanda school bus...😡
 
Back
Top Bottom