Shemeji yangu ana ex wake ambaye alimzalisha bila kuoa.Mtoto wa Ex wanalingana lingana umri na mtoto wa sister.Sasa siku ya Kipaimara Shem aliandaaa sherehe na Mama mtoto ambaye Ni Ex wa Shem naye alikwepo.Alikuja na mume wake mpya.Aiseewe Yule jamaa nilimuonea huruma maana alikuwa mnyonge sherehe nzima.Halafu Shem Ni Kama ana authority kubwa kwa Yule mwanamke kuliko mume wake.Dah haya Mambo magumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bila shaka huyo shemeji yako ana hela kumzidi huyo jamaa mnyonge
 
una mpango wa kuoa?
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]

121.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]dah so funny

121.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]
121.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…