Hii dhana ya single mother ni potofu sana na dhalilishi sana kwa wanawake kwa mujibu wa tamaduni zenu na imekua mada ambayo kila kijana aliebarehe juzi na hajui undani kuhusu wanawake anakimbilia huku na kuilletea Uzi, kiufupi hakuna sababu za kimsingi zinazokufanya wewe mwanaume uliekamilika kuanza kumjudge single mother kwani wengi wao sisi wenyewe ndio chanzo cha kuwafanya wawe single mother kwani tunadate nao kwa ahadi mbali mbali mwisho wa siku akishapata ujauzito tunawatelekeza au kutokuoa kabisa hivyo kwa mwanamke anaejitambua ukimtelekeza akiwa mjamzito hawezi kuwa na mda na wewe na wala hatafikiria kukitoa kiumbe nikiwa mfu badala yake atakipambania ili kifike duniani, na kumbuka nae ni binadamu kama wewe ambae ana hisia nyingi zaidi yako wewe hivyo haitaweza kumzuia kumpata mtu wa kudate nae au kuingia nae katika ndoa.

Hivyo fikilia kabla hujamdhalilisha single mother jifikilie hata mama yako kwa baba yako hakua wa kwanza na hajaolewa akiwa bikra hivyo kuna lijamaa lilimtumia sana kabla hajakutana na baba yako na kukuzaa wewe na unaweza kuwa miongoni mwa mnaowadhalilisha hawa wanawake kumbe hata wewe mwenyewe sio mtoto halali wa huyo baba yako na ameamua kukaa na kitu moyoni kumlindia heshima baba yako, kwangu mm hizi dhana za single mother ni udhalilishaji mkubwa sana wana haki ya kuolewa na kut.....bwa na mtu yoyote yule
 
Single mama ni laana, single mama ni mkosi, single mama ni used hafai kwa matumizi ya nyumbani, single mama hivi, single mama vile, kila ubaya anabebeshwa yeye masikini.

Mungu walinde single mothers wote nchini, awe alibakwa, aliolewa akaachwa na watoto, alidanganywa, ama alipenda mwenyewe!

Nb: mtoto uliyelelewa na single mother huwezi kuthubutu kunmanga au kumdhihaki mama yako kisa yeye ni single mother!
 
kuoa single mother ni kutaka kujimilikisha kisima cha kijiji.yaani kisima cha kijiji ukiwekee uzio
 
una uzoefu katika hili?
Ndio,
Mgogoro (1):Mtoto wa kufikia hata siku moja hawezi kuwa rafiki kwako, lazima muwe maadui.
Kwa sbb hakuna connection ya Damu
(2):Kuna wazee wengi wanatembea na watoto wao wa kike wa kufikia.
(3): Huyo singo mom most likely kupigwa miti na mzazi mwenzie hasa mnapotofautiana ndani.
 
vipi ulioa kabisa?
 
Sababu ya mimi kumuoa singe mama wewe inakuhusu nini ?

Tuanzie hapo
 
Hii topic inaweza kupata "Grammy awards" kwa kupendwa kujadiliwa humu. Kila mtu aoe/aolewe na mtu wanayekubaliana kufanya hivyo.
 
Kwanza umevuka mipaka kwa kuhusisha wazazi wangu na kutaka kuamini ujinga unaoumini wewe na kuona kuwa ni udhalilishaji jambo ambalo si sahihi.
Mimi hata kama ningekuwa nimelelewa na single maza nisingeweza kutetea huu upuuzi.
Nauita upuuzi sababu unapofanya zinaa nje ya ndoa unategemea nini.

Tamaduni zipi zinazoruhusu mwanaume kuoa mwanamke aliyezalia nyumbani?
Kwa familia zenye maadili na zinazojielewa huwezi kupeleka single maza kutambulisha mbele ya wazazi maana ni kuwakosea heshima na kuwadhalilisha mbele ya jamii.
Kwahyo kijana kama unadate au umeoa single maza wewe endelea nae ila usifanye niamini unavyoamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza watu waliozaa pamoja hawaachani,
Unaoa mke wa aliyezalishwa na mhuni mmoja mtaani ukiongozana nae jamaa anajimwambafai kwamba pale nimegonga sana mpaka nikamzalisha.
Au muda mwingine mtoto anafanana na jamaa huyo na mnakaa mtaa mmoja au sehemu moja
Hiyo ni fedheha kwa kijana rijari
Tatizo siyo kuoa single mother.

Tatizo ni jamaa aliyemzalisha kupita pita mtaani huku Akijimwambafai.

Kitu ambacho ni ishara ya "Zereu"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora wewe huenda watakusikia maana unauzoefu wa kuoa single maza.
Kwahyo unawajua zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu mm single mother ni bora kuliko hao unao waita new bland
1. Single mother wengi wamesha kua matured so ni rahisi sana kufanya nao maisha mkatoboa coz wamesha graduet masters of budgeting tofauti na huto tungine
2. Pia hawa warembo wanahuruma sana, wakati wenzao wanaua watoto wao wakiwa matumbo ili tuwaone hawajawahi kuzaa, Single maza's waka ruhusu hofu ya Mungu iwatawale.
3.Ukioa hawa warembo watoto wako watapata raha kwani mama yao tayar ana expirience na uzazi na malezi.
4. Ukioa mwanamke wa aina hii, hutojutia kwasababu wanaheshima sanaa kwa wanaume walio chagua kuwaoa.
5. Ukiona umeoa mwanamke wa desine hii akakusumbua, basi jichunguze vizuri tabia zako.
NB:- CHUNGUZA KWANZA KAMA KWELI ANA MSIMAMO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
h
ahahahahahahahahahahaha huyu kenge aliyemzalisha ........................'' imenichekesha sana
 
SIKU NILIKWENDA KUMTAZAMA mwanangu ,,,,NIKAKUTANA na JAMAA ANAYEISHI NA . EX WIFE WANGU....JAMAA KUNIONA , ,,BAADA YA SALAMU alichukuwa GAZETI LA DAILY NEWS ,,KAZUGA ANASOMA HUKU KAJIZIBA USO NA GAZETI...,,NILIKAA ZAIDI YA MASAA 4 ,,BILA MAONGEZI HUKU KAJIZIBA NA GAZETI..... MIMI NIPO BUSY NA MWANANGU TUNAONGEA, ..,KIBAYA ZAIDI JAMAA HANA HATA MTOTO WA DAWA KWA EX WANGU. ..MTOTO NI YULE ,WA KWANGU MIMI ,,,,,hadi naondoka JAMAA KAWEKA GAZETI USONI,,sasa SIKUJUWA alikuwa ANASOMA HERUFI MOJA MOJA,,au ANASOMA KWA STYLE GANI....SINGLE MOTHER GEGEDA ,,,WACHANA NAE....MOYO WAKE UMESHAPATA SUGU, ,HAKUNA TENA PENZI LA KWL KWAKO.....na Mara nyingi BABA MTOTO HUWA HAACHWI....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…