Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Salute to all the single mamas. Ukiona mtu anaongea ongea sana kuhusu single mothers ujue kuna issue haiko sawa upande wake. Nakupenda sana wewe single mother. If you do me the honour I'll marry you. [emoji7]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeamin sisi wanaume si watu wazuri we utakua kuna singo mama unamfukuzia humu una pretent akinasa amekwisha
Ila kinachonishangaza hii mbinu inawanasa kila siku[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unakwepa matunzo au..?

Hujui kuna wanawake wamezaa na wanajiweza kimaisha na wanao uwezo wakukutunza hata wewe mkwepa matunzo?

Kama ni hivyo mtoa mada angetoa mada yake iki-base kwa wale ambao hutegemea kutunziwa watoto wao na wanaume wanaowaoa wakiwa wana watoto.

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Ha ha haaa
Ya leo Kali dadeki
Ishu sio matunzo kifedha boss
Ishu ni physically!!!!![emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano wa Soda na Single mother wala haviendani na havina uhusiano wowote kwa kuwa soda ni kimiminika hakina hisia lakini huyo Single mother ni binadamu na ana hisia. NINGEKUWA MIMI NINGETENGUA KAULI NA KUOMBA RADHI.

Hujui amepitia wapi na mangapi huyo mama, wengine walitelekezwa, wengine wamefiwa na wapendwa wao ingawa kuna wengine walijitakia wenyewe n.k. Lakini hii haiondoi ukweli kuwa wanahitaji faraja na maisha lazima yaendelee mbele.

Wajibika Mama aishi.
Nimekupenda sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah mkuu umewananga sana hao ndugu zetu, kuwa single mother sio kumaanisha walikua malaya au labda walikua watu wa hovyo. wanaume pia tunatumika sana ni vile tu hatubebi mimba ila jiweke kwenye position hiyo uone kama ungekua hujabeba mimba na kama unalolisema ni sahihi au unakosea, binafsi mara 100 niwe kwenye mahusiano na single mom kuliko hao unaowaita wewe "soda mpya" wasiojielewa. To all single moms out there, don't ever let this nonsense get into your heart/mind, you are strong kuliko hata hivi vijamaa vinavyobwabwaja hapa ati haviwezi kuwapenda, chukueni responsibilities and raise our sons and doughters in the rightful manner, God is watching and will repay you accordingly.
 
Nasikitika kusema mleta uzi huu pasi na shaka ;
1. ana mawazo mgando,
2. hajui tafasiri sahihi ya ndoa, 3.yupo stage ya nyuma kuhusu ufahamu wa ndoa,
4. anaishi maisha ya kuigiza.
5. Hayupo halisi katika maisha.
6. Hufanya mambo ili aonekane na watu.
7. Hajakua bado (not matured), kama ni wa kiume basi He is still a boy... na kama wa kike basi ni kale kasichana kasikojielewa bado na kanakaa kwa baba na mama.
8.
9.
10.


8,9 na 10 yalikuwa ni magumu zaidi,utashi wangu umenizuia kuandika.

AKIREPLY HII NAKUJA NA 8,9 na 10.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikitika kusema mleta uzi huu pasi na shaka ;
1. ana mawazo mgando,
2. hajui tafasiri sahihi ya ndoa, 3.yupo stage ya nyuma kuhusu ufahamu wa ndoa,
4. anaishi maisha ya kuigiza.
5. Hayupo halisi katika maisha.
6. Hufanya mambo ili aonekane na watu.
7. Hajakua bado (not matured), kama ni wa kiume basi He is still a boy... na kama wa kike basi ni kale kasichana kasikojielewa bado na kanakaa kwa baba na mama.
8.
9.
10.


8,9 na 10 yalikuwa ni magumu zaidi,utashi wangu umenizuia kuandika.

AKIREPLY HII NAKUJA NA 8,9 na 10.


Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo kaachwa single mother akatake place sasa kaja hapa kupoza machungu kwa kuwaponda.
 
Kwan sio singo mama
Ye pia ni singo mama japo ni mjane
Lakin hiyo inatokea mara ngapi/asilimia ngap?
Hiyo ni special case

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama tutaanza kuongelea special case tutapindisha kila kitu, maana kila single mama ana case yake ambayo kwako inaweza isiwe special lakini kwangu ikawa special. Kiufupi hoja iliyoletwa haina mashiko
 
Kama tutaanza kuongelea special case tutapindisha kila kitu, maana kila single mama ana case yake ambayo kwako inaweza isiwe special lakini kwangu ikawa special. Kiufupi hoja iliyoletwa haina mashiko
Nshakwambia mjane =singo mom
Nimesema special case to clarify ( to show some respect) kwa yale magube gube yanayotaka kujifunika mwavuli wa ujane
Kama hujaelewa concept ndogo ka hiyo utaelewaje kubwa kama mada iliyoletwa ni wazi utaona haina mashiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema kweli NYAMUHANZI. Hata dini zinashajihisha kuwastiri wajane mana wakiachiwa bila kuolewa watakua chachu ya kizazi kisicho na nasabu pia mporomoko wa jamii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulishaongea na babako akakwambia kuwa alimkuta mamako bikira? Kama sivyo unaweza kuta na babako alioa single mama. Nyamaza kimya mkuu kama unamulika nyoka usiku anzia miguuni pako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom